mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Sawa, je hizo familia 12 ni kina nani?Huyu Mashimba unahangaika bure kumtetea,ukweli ni kwamba Waziri wa mifugo ni mzigo,tuweke usukuma pembeni huyu waziri anapwaya kwenye hii wizara
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa, je hizo familia 12 ni kina nani?Huyu Mashimba unahangaika bure kumtetea,ukweli ni kwamba Waziri wa mifugo ni mzigo,tuweke usukuma pembeni huyu waziri anapwaya kwenye hii wizara
Tuanze na MAKAMBA, nape na Mwigulu kama Kweli tuna dhamira ya dhati.Huyu Mashimba unahangaika bure kumtetea,ukweli ni kwamba Waziri wa mifugo ni mzigo,tuweke usukuma pembeni huyu waziri anapwaya kwenye hii wizara
Hii story inafanana na ile eti watu walibeba kwenye viroba hela za PAP,, 😄,hadi leo hakuna cha footage, iwe mnato au videoHao wahariri walishindwa nn kutaja majina ya hao 12?
Amepwaya kwa reference ama comparison zipi? Performance ratings zipi zinakupa uhalali wa kusema waziri Mashimba kapwaya?Huyu Mashimba unahangaika bure kumtetea,ukweli ni kwamba Waziri wa mifugo ni mzigo,tuweke usukuma pembeni huyu waziri anapwaya kwenye hii wizara
HUYU HATA 12 BORA Za...RUAHA TUPOSalaam wanajamvi,
Juzi kulikuwa na mkutano ulioitishwa na wahariri wa vyombo vya habari mkoani Iringa ambao mgeni rasmi alikuwa ni mh Makamu wa Rais.
Mkutano huu dhima yake mahususi wahariri walilenga kumpatia Mh Makamu wa Rais taarifa juu ya kile walichobaini nini chanzo cha kukauka kwa mto Ruaha mkuu ambao yapata siku 120 sasa hautiririshi maji kabisa.
Kwa wasiofahamu mto Ruaha mkuu unachangia 25% ya maji yanayotarajiwa kutumika kwenye bwawa la Mwl Nyerere. Pia mto huu pia ndio chanzo kikuu cha Maji kwenye bwawa la Mtera ukisaidiana na mto Kizigo ambayo yote imekauka.
Kwenye mkutano huo wahariri walimueleza mh Makamu wa Rais kwamba kadhia yote hii inatokana na shughuli zakibinadamu zinazofanyika kwenye bonde la Ihefu ambazo ni ufugaji na kilimo ambao wengi wa watuhumiwa ni familia 12 za vigogo.
Wahariri wameweka wazi kwamba yupo naibu waziri aliwaamuru askari wa uhifadhi awaachie kundi la ng'ombe lilokamatwa ifadhini kwenye bonde la Ihefu jambo ambalo linapelekea ugumu kwa wahifadhi kwenye kufanya majukumu yao.
Mh Rais kuendelea kukumbatia viongozi wa aina hii inatia hasira sana kwa sisi wananchi wako ambao leo tumeingia kwenye kadhia ya mgao wa umeme huku chanzo kikiwa na watu wachache ambao wanajali maslahi yao kuliko maslahi ya nchi.
Mh Rais naikumbuka speech moja ya baba wataifa alieleza kuliwahi kuwa na waziri mmoja nchini uingereza alipotuhumiwa tu na kashfa ya umalaya mamlaka yake ya uteuzi ilichagua na kumuapisha mtu mwingine pasipo hata kumjulisha mtuhumiwa.
Nyerere alitaka kuwaeleza mawaziri kwamba wanatakiwa wawe watu safi kwani wao ni kioo, kitendo cha kuwa na kashfa za hovyohovyo ni kosa.
Mh Rais tafadhali huyu naibu waziri hakustahili kuwepo ofisini leo kwani ni siku ya tatu sasa tangu jambo hili liibuliwe na wahiriri.
Tadhali chukueni hatua.
Asante.
Moja ya wiraza ambazo kwa miaka mingi huwa zinakosa watu makini basi ni wizara ya mifugo,kama wewe sio mfugaji haya huwezi yajua.Amepwaya kwa reference ama comparison zipi? Performance ratings zipi zinakupa uhalali wa kusema waziri Mashimba kapwaya?
Tusicheze midundo ya ngoma za wahuni na mafisadi.
Upungufu wa maabara na madaktari wa mifugo ndiyo kipimo unachotumia kumuita Mashimba kuwa mzigo?Nchi hii ina maabara chache mno za mifugo kitu ambacho ni kituko.Tena huwenda maabara hizi zipo mikoani tu tena hazipo vizuri kivifaa.
Madtari wetu wa mifugo wanatibu wanyama wetu kama wapiga ramli.
Maabara hizi hazikupaswa kukosekana kwenye ngazi ya wilaya.
Makonda alipowataja hadharani wauza madawa ya kulevya, wewe ulikuwa wa kwanza kulalamikaHao wahariri walishindwa nn kutaja majina ya hao 12?
Kila mmoja anajua kuwa kila aliyepo kwenye nafasi ya uongozi wa kuchaguliwa awamu hii ni matokeo ya uharamia uliofanyika kwenye uchaguzi wa 2020. Kusafishika kwao, kwanza yabidi wakiri kuwa wao zao la uharibifu. Pili wajutie wao kuwa zao la uovu. Tatu, wawe na dhamira ya wao wenyewe kubadilika na kuweka mifumo ambayo utazuia njia ovu waluzopitia. Watakaofanya hivyo wanastahili msamaha.Hata aliyemteua ni msafi?
Kama ni ukweli mambo mengine yanasikitisha!Jambo usilolijua ni kuhusu hizo familia 12 na yalikotoka maamuzi ya naibu waziri. Kafatilie ujue hizo familia ni akina nani na useme idadi kubwa ya hizo ng'ombe ni wanani. Ukipata majibu hayo urudi Kwa naibu waziri alikotoa maamuzi hayo.
Acha upumbavu na wewe unafukiri huyo bint na Ni Kweli kalambwa makofi au uzushi tu na husdaMwache Naibu Waziri aendelee kulamba asali,mbona DC wa Songwe kumjerui Binti kwa makonde na bado yupo ofisini!!
Muungano☺️Haya ni matunda ya mfumo mbovu alioujenga Nyerere
Wahariri walimkabidhi VP orodha ya waovu wote.Hao wahariri walishindwa nn kutaja majina ya hao 12?
Mashimba anakipi ambacho amekifanya kinachoweza kuonesha ubunifu unaoweza saidia wafugaji kwenye wizara ya mifugo?Upungufu wa maabara na madaktari wa mifugo ndiyo kipimo unachotumia kumuita Mashimba kuwa mzigo?
Hivi nani alikudanganya kuwa kazi ya waziri ni kuzalisha madaktari wa mifugo na kujenga maabara?
Huoni kuwa Hilo ni tatizo la mfumo na vipaumbele vya kitaifa? Na ndiyo maana mwenyewe umekiri kwamba ni tatizo la muda mrefu. Sasa iweje useme Mashimba ni mzigo? Nilitegemea utaje mapungufu mahususi ya kiutendaji ya waziri Mashimba Ndaki na siyo hizi lawama za jumla
Kuna wazii mmoja ana ng'ombe zaidi ya elfu mbili kule Kigosi,mawaziri na viongozi wengi ndio vyanzo vya uharibifu wa mazingira na vyanzo vya migogoro nchiniSalaam wanajamvi,
Juzi kulikuwa na mkutano ulioitishwa na wahariri wa vyombo vya habari mkoani Iringa ambapo mgeni rasmi alikuwa ni mh Makamu wa Rais.
Mkutano huu dhima yake mahususi wahariri walilenga kumpatia Mh Makamu wa Rais taarifa juu ya kile walichobaini nini chanzo cha kukauka kwa mto Ruaha mkuu ambapo yapata siku 120 sasa hautiririshi maji kabisa.
Kwa wasiofahamu mto Ruaha mkuu unachangia 25% ya maji yanayotarajiwa kutumika kwenye bwawa la Mwl Nyerere. Pia mto huu pia ndio chanzo kikuu cha Maji kwenye bwawa la Mtera ukisaidiana na mto Kizigo ambayo yote imekauka.
Kwenye mkutano huo wahariri walimueleza mh Makamu wa Rais kwamba kadhia yote hii inatokana na shughuli zakibinadamu zinazofanyika kwenye bonde la Ihefu ambazo ni ufugaji na kilimo ambapo wengi wa watuhumiwa ni familia 12 za vigogo.
Wahariri wameweka wazi kwamba yupo naibu waziri aliwaamuru askari wa uhifadhi aachie kundi la ng'ombe lilokamatwa ifadhini kwenye bonde la Ihefu jambo ambalo linapelekea ugumu kwa wahifadhi kutekeleza majukumu yao.
Mh Rais kuendelea kukumbatia viongozi wa aina hii inatia hasira sana kwa sisi wananchi wako ambao leo tumeingia kwenye kadhia ya mgao wa umeme huku chanzo kikiwa watu wachache ambao wanajali maslahi yao kuliko maslahi ya nchi.
Mh Rais naikumbuka speech moja ya baba wataifa alieleza kuliwahi kuwa na waziri mmoja nchini uingereza alipotuhumiwa tu na kashfa ya umalaya mamlaka yake ya uteuzi ilichagua na kumuapisha mtu mwingine pasipo hata kumjulisha mtuhumiwa.
Nyerere alitaka kuwaeleza mawaziri kwamba wanatakiwa wawe watu safi kwani wao ni kioo, kitendo cha kuwa na kashfa za hovyohovyo ni kosa.
Mh Rais tafadhali huyu naibu waziri hakustahili kuwepo ofisini leo kwani ni siku ya tatu sasa tangu jambo hili liibuliwe na wahiriri.
Tadhali chukueni hatua.
Asante.
Nchi ya CCM. Monkey business, monkey sees, monkey does. Wanaona rushwa na ufisadi, wanauishi huoSalaam wanajamvi,

wapo wengine wamempelekea taarifa Rais eti kugawa eneo la msitu hapo morogoro kwa wananchi.Salaam wanajamvi,