Inashangaza kuona Naibu Waziri anaeshutumiwa kuwaamuru askari wa uhifadhi wawaachie ng'ombe waliokamatwa bonde la Ihefu bado yupo ofisini

Huyu Mashimba unahangaika bure kumtetea,ukweli ni kwamba Waziri wa mifugo ni mzigo,tuweke usukuma pembeni huyu waziri anapwaya kwenye hii wizara
Sawa, je hizo familia 12 ni kina nani?

Ova
 
Huyu Mashimba unahangaika bure kumtetea,ukweli ni kwamba Waziri wa mifugo ni mzigo,tuweke usukuma pembeni huyu waziri anapwaya kwenye hii wizara
Tuanze na MAKAMBA, nape na Mwigulu kama Kweli tuna dhamira ya dhati.
 
Hao wahariri walishindwa nn kutaja majina ya hao 12?
Hii story inafanana na ile eti watu walibeba kwenye viroba hela za PAP,, 😄,hadi leo hakuna cha footage, iwe mnato au video
 
Huyu Mashimba unahangaika bure kumtetea,ukweli ni kwamba Waziri wa mifugo ni mzigo,tuweke usukuma pembeni huyu waziri anapwaya kwenye hii wizara
Amepwaya kwa reference ama comparison zipi? Performance ratings zipi zinakupa uhalali wa kusema waziri Mashimba kapwaya?

Tusicheze midundo ya ngoma za wahuni na mafisadi.
 
Magufuli the Man...
Mlimesema vibaya sasa mnasema bora yeye....sio huyo Naibu tu hata hao Ma RC waliovamia na Kuleta janga kwa Nchi nzima Hii walitakiwa kuwa jela
 
Salaam wanajamvi,

Juzi kulikuwa na mkutano ulioitishwa na wahariri wa vyombo vya habari mkoani Iringa ambao mgeni rasmi alikuwa ni mh Makamu wa Rais.

Mkutano huu dhima yake mahususi wahariri walilenga kumpatia Mh Makamu wa Rais taarifa juu ya kile walichobaini nini chanzo cha kukauka kwa mto Ruaha mkuu ambao yapata siku 120 sasa hautiririshi maji kabisa.

Kwa wasiofahamu mto Ruaha mkuu unachangia 25% ya maji yanayotarajiwa kutumika kwenye bwawa la Mwl Nyerere. Pia mto huu pia ndio chanzo kikuu cha Maji kwenye bwawa la Mtera ukisaidiana na mto Kizigo ambayo yote imekauka.

Kwenye mkutano huo wahariri walimueleza mh Makamu wa Rais kwamba kadhia yote hii inatokana na shughuli zakibinadamu zinazofanyika kwenye bonde la Ihefu ambazo ni ufugaji na kilimo ambao wengi wa watuhumiwa ni familia 12 za vigogo.

Wahariri wameweka wazi kwamba yupo naibu waziri aliwaamuru askari wa uhifadhi awaachie kundi la ng'ombe lilokamatwa ifadhini kwenye bonde la Ihefu jambo ambalo linapelekea ugumu kwa wahifadhi kwenye kufanya majukumu yao.

Mh Rais kuendelea kukumbatia viongozi wa aina hii inatia hasira sana kwa sisi wananchi wako ambao leo tumeingia kwenye kadhia ya mgao wa umeme huku chanzo kikiwa na watu wachache ambao wanajali maslahi yao kuliko maslahi ya nchi.

Mh Rais naikumbuka speech moja ya baba wataifa alieleza kuliwahi kuwa na waziri mmoja nchini uingereza alipotuhumiwa tu na kashfa ya umalaya mamlaka yake ya uteuzi ilichagua na kumuapisha mtu mwingine pasipo hata kumjulisha mtuhumiwa.

Nyerere alitaka kuwaeleza mawaziri kwamba wanatakiwa wawe watu safi kwani wao ni kioo, kitendo cha kuwa na kashfa za hovyohovyo ni kosa.

Mh Rais tafadhali huyu naibu waziri hakustahili kuwepo ofisini leo kwani ni siku ya tatu sasa tangu jambo hili liibuliwe na wahiriri.

Tadhali chukueni hatua.

Asante.
HUYU HATA 12 BORA Za...RUAHA TUPO
 
Amepwaya kwa reference ama comparison zipi? Performance ratings zipi zinakupa uhalali wa kusema waziri Mashimba kapwaya?

Tusicheze midundo ya ngoma za wahuni na mafisadi.
Moja ya wiraza ambazo kwa miaka mingi huwa zinakosa watu makini basi ni wizara ya mifugo,kama wewe sio mfugaji haya huwezi yajua.

Nchi hii ina maabara chache mno za mifugo kitu ambacho ni kituko.Tena huwenda maabara hizi zipo mikoani tu tena hazipo vizuri kivifaa.

Madtari wetu wa mifugo wanatibu wanyama wetu kama wapiga ramli.
Maabara hizi hazikupaswa kukosekana kwenye ngazi ya wilaya.Najua utaniuliza mbona mtangulizi wake hajazileta, acha wawe wanapigwa chini labda siku moja atapatikana alie timamu.

Tatizo lako unathaminisha ubora wa kiongozi kwakuangalia uzalendo tu,hii haitoshi tunahitaji matokeo.

Huyu mashimba ni mzigo na nakuhakikishia hana safari huyu.Nilishamsikia mama akilalamika mara kwa mara,huyu hana safari.
 
Nchi hii ina maabara chache mno za mifugo kitu ambacho ni kituko.Tena huwenda maabara hizi zipo mikoani tu tena hazipo vizuri kivifaa.

Madtari wetu wa mifugo wanatibu wanyama wetu kama wapiga ramli.
Maabara hizi hazikupaswa kukosekana kwenye ngazi ya wilaya.
Upungufu wa maabara na madaktari wa mifugo ndiyo kipimo unachotumia kumuita Mashimba kuwa mzigo?

Hivi nani alikudanganya kuwa kazi ya waziri ni kuzalisha madaktari wa mifugo na kujenga maabara?

Huoni kuwa Hilo ni tatizo la mfumo na vipaumbele vya kitaifa? Na ndiyo maana mwenyewe umekiri kwamba ni tatizo la muda mrefu. Sasa iweje useme Mashimba ni mzigo? Nilitegemea utaje mapungufu mahususi ya kiutendaji ya waziri Mashimba Ndaki na siyo hizi lawama za jumla
 
Hata aliyemteua ni msafi?
Kila mmoja anajua kuwa kila aliyepo kwenye nafasi ya uongozi wa kuchaguliwa awamu hii ni matokeo ya uharamia uliofanyika kwenye uchaguzi wa 2020. Kusafishika kwao, kwanza yabidi wakiri kuwa wao zao la uharibifu. Pili wajutie wao kuwa zao la uovu. Tatu, wawe na dhamira ya wao wenyewe kubadilika na kuweka mifumo ambayo utazuia njia ovu waluzopitia. Watakaofanya hivyo wanastahili msamaha.
 
Jambo usilolijua ni kuhusu hizo familia 12 na yalikotoka maamuzi ya naibu waziri. Kafatilie ujue hizo familia ni akina nani na useme idadi kubwa ya hizo ng'ombe ni wanani. Ukipata majibu hayo urudi Kwa naibu waziri alikotoa maamuzi hayo.
Kama ni ukweli mambo mengine yanasikitisha!
Ni ile tunasema Kizazi cha sasa kinajali BMW, wengine mtajijua wenyewe!
 
Viongozi wote kwa ujumla mwanchi kama Mwananchi hana sauti yeyote Ile, ukiona kaachwa au kuhamishwa ujue ni wao kwa wao katika kupanua wigo wa kufaidi keki ya taifa. Kwa ujumla wetu tulikosea mno kushabikia kuvurugika kwa bunge la Katiba huku wengine wakifikiri kuwa hatua chanya ingewanufaisha Chadema.
 
Upungufu wa maabara na madaktari wa mifugo ndiyo kipimo unachotumia kumuita Mashimba kuwa mzigo?

Hivi nani alikudanganya kuwa kazi ya waziri ni kuzalisha madaktari wa mifugo na kujenga maabara?

Huoni kuwa Hilo ni tatizo la mfumo na vipaumbele vya kitaifa? Na ndiyo maana mwenyewe umekiri kwamba ni tatizo la muda mrefu. Sasa iweje useme Mashimba ni mzigo? Nilitegemea utaje mapungufu mahususi ya kiutendaji ya waziri Mashimba Ndaki na siyo hizi lawama za jumla
Mashimba anakipi ambacho amekifanya kinachoweza kuonesha ubunifu unaoweza saidia wafugaji kwenye wizara ya mifugo?
Kama mashimba anaona kwamba mifumo iliomuweka ofisini inamkwamisha kwanini hajiuzuru anaendelea kung'ang'ania ofisi?
 
Salaam wanajamvi,

Juzi kulikuwa na mkutano ulioitishwa na wahariri wa vyombo vya habari mkoani Iringa ambapo mgeni rasmi alikuwa ni mh Makamu wa Rais.

Mkutano huu dhima yake mahususi wahariri walilenga kumpatia Mh Makamu wa Rais taarifa juu ya kile walichobaini nini chanzo cha kukauka kwa mto Ruaha mkuu ambapo yapata siku 120 sasa hautiririshi maji kabisa.

Kwa wasiofahamu mto Ruaha mkuu unachangia 25% ya maji yanayotarajiwa kutumika kwenye bwawa la Mwl Nyerere. Pia mto huu pia ndio chanzo kikuu cha Maji kwenye bwawa la Mtera ukisaidiana na mto Kizigo ambayo yote imekauka.

Kwenye mkutano huo wahariri walimueleza mh Makamu wa Rais kwamba kadhia yote hii inatokana na shughuli zakibinadamu zinazofanyika kwenye bonde la Ihefu ambazo ni ufugaji na kilimo ambapo wengi wa watuhumiwa ni familia 12 za vigogo.

Wahariri wameweka wazi kwamba yupo naibu waziri aliwaamuru askari wa uhifadhi aachie kundi la ng'ombe lilokamatwa ifadhini kwenye bonde la Ihefu jambo ambalo linapelekea ugumu kwa wahifadhi kutekeleza majukumu yao.

Mh Rais kuendelea kukumbatia viongozi wa aina hii inatia hasira sana kwa sisi wananchi wako ambao leo tumeingia kwenye kadhia ya mgao wa umeme huku chanzo kikiwa watu wachache ambao wanajali maslahi yao kuliko maslahi ya nchi.

Mh Rais naikumbuka speech moja ya baba wataifa alieleza kuliwahi kuwa na waziri mmoja nchini uingereza alipotuhumiwa tu na kashfa ya umalaya mamlaka yake ya uteuzi ilichagua na kumuapisha mtu mwingine pasipo hata kumjulisha mtuhumiwa.

Nyerere alitaka kuwaeleza mawaziri kwamba wanatakiwa wawe watu safi kwani wao ni kioo, kitendo cha kuwa na kashfa za hovyohovyo ni kosa.

Mh Rais tafadhali huyu naibu waziri hakustahili kuwepo ofisini leo kwani ni siku ya tatu sasa tangu jambo hili liibuliwe na wahiriri.

Tadhali chukueni hatua.

Asante.
Kuna wazii mmoja ana ng'ombe zaidi ya elfu mbili kule Kigosi,mawaziri na viongozi wengi ndio vyanzo vya uharibifu wa mazingira na vyanzo vya migogoro nchini
 
Nchi ya CCM. Monkey business, monkey sees, monkey does. Wanaona rushwa na ufisadi, wanauishi huo
 
Hii story kwa mtu mwenye akili na kufikiria vizuri hawezi kuiamini na inaonekana ni majungu matupu, kwanza inawezekana vipi shughuli za familia 12 zikaushe mto mkubwa kama Ruaha mpaka ushindwe kutiririsha maji, Ruaha is a mighty river ina maji kama bahari ndio maana inaitwa THE GREAT RUAHA RIVER, hizo familia utakuta ni watu wadogo wadogo na vishamba vyao kama maelfu ya wananchi wengine wanaoishi mto unapopita na kutumia maji kwa shughuli zao, acheni kutafuta majibu rahisi na kusingizia visivyohusika, huyo waziri ana akili sana na hapendi ujinga, njoo na sababu nyingine sio ng'ombe au familia 12
 
Salaam wanajamvi,

Juzi kulikuwa na mkutano ulioitishwa na wahariri wa vyombo vya habari mkoani Iringa ambapo mgeni rasmi alikuwa ni mh Makamu wa Rais.

Mkutano huu dhima yake mahususi wahariri walilenga kumpatia Mh Makamu wa Rais taarifa juu ya kile walichobaini nini chanzo cha kukauka kwa mto Ruaha mkuu ambapo yapata siku 120 sasa hautiririshi maji kabisa.

Kwa wasiofahamu mto Ruaha mkuu unachangia 25% ya maji yanayotarajiwa kutumika kwenye bwawa la Mwl Nyerere. Pia mto huu pia ndio chanzo kikuu cha Maji kwenye bwawa la Mtera ukisaidiana na mto Kizigo ambayo yote imekauka.

Kwenye mkutano huo wahariri walimueleza mh Makamu wa Rais kwamba kadhia yote hii inatokana na shughuli zakibinadamu zinazofanyika kwenye bonde la Ihefu ambazo ni ufugaji na kilimo ambapo wengi wa watuhumiwa ni familia 12 za vigogo.

Wahariri wameweka wazi kwamba yupo naibu waziri aliwaamuru askari wa uhifadhi aachie kundi la ng'ombe lilokamatwa ifadhini kwenye bonde la Ihefu jambo ambalo linapelekea ugumu kwa wahifadhi kutekeleza majukumu yao.

Mh Rais kuendelea kukumbatia viongozi wa aina hii inatia hasira sana kwa sisi wananchi wako ambao leo tumeingia kwenye kadhia ya mgao wa umeme huku chanzo kikiwa watu wachache ambao wanajali maslahi yao kuliko maslahi ya nchi.

Mh Rais naikumbuka speech moja ya baba wataifa alieleza kuliwahi kuwa na waziri mmoja nchini uingereza alipotuhumiwa tu na kashfa ya umalaya mamlaka yake ya uteuzi ilichagua na kumuapisha mtu mwingine pasipo hata kumjulisha mtuhumiwa.

Nyerere alitaka kuwaeleza mawaziri kwamba wanatakiwa wawe watu safi kwani wao ni kioo, kitendo cha kuwa na kashfa za hovyohovyo ni kosa.

Mh Rais tafadhali huyu naibu waziri hakustahili kuwepo ofisini leo kwani ni siku ya tatu sasa tangu jambo hili liibuliwe na wahiriri.

Tadhali chukueni hatua.

Asante.
wapo wengine wamempelekea taarifa Rais eti kugawa eneo la msitu hapo morogoro kwa wananchi.

Hii nchi tuna wanasiasa wa hovyo sana ambao kazi ni kufanya maamuzi kwa kuangalia siasa ila sio mustakabali mwema wa nchi yetu

Hii nchi uhovyo wake ni kwa sababu ya wanasiasa tu
 
Back
Top Bottom