Nyumba si inaweza jengwa ndani ya mwezi mmoja? Mpeni Prof. Ubunge wa jimbo huenda akapewa nafasi kubwa zaidi ya aliyonayoAfu ujue kabudi anapigiwa kampeni wazi wazi tena kwao kilosa, Baba wa kabudi alikaa kilosa kama mwinjilisti ndio jamaa kazaliwa kule lakini ni mgogo leo hii anaitwa mtu wa kilosa na jimbo anapewa na hana hata kibanda pale anafikia hotel
Ndiyo kapatikana sasa hata kugombea wanaccm wanalazimika kuomba ruhusa kwa Yesu wao.Mimi naamini hakuna mtu wa kuzuia ndoto ya mwingine
Kila zama na vitabu vyake. Achia nafasi nenda kagombee, kuna watu wana elimu kazi hawana,waachie wewe nenda kagombeeNimejiuliza, Rais wetu mpendwa alipokuwa Mwalimu pale Sengerema Secondary School, alipoomba Ruhusa ya kwenda kugombea Ubunge kule Biharamulo. Je, aliachishwa kazi? Watu wanaomba ruhusa ili wakajaribu bahati zao, badala ya kupewa ruhusa wanatumbuliwa. Hii mnaionaje raia?
Binafsi naona sio sawa jamani au kwa vile ni nafasi za kuteuliwa? Najiuliza wale wa kwenye sector zisizo za kuteuliwa i.e watumishi wengine mfano walimu n.k wakiomba ruhusa nao wataachishwa kazi badala ya kupewa ruhusa. It means ukishindwa imekula kwako.
Hii ndo Tanzania ya Magufuli.
Kama double standards vile, kina Kabudi nao wataachishwa
Walimu nao ni wateule wa mkulu?Nimejiuliza, Rais wetu mpendwa alipokuwa Mwalimu pale Sengerema Secondary School, alipoomba Ruhusa ya kwenda kugombea Ubunge kule Biharamulo. Je, aliachishwa kazi? Watu wanaomba ruhusa ili wakajaribu bahati zao, badala ya kupewa ruhusa wanatumbuliwa. Hii mnaionaje raia?...
Nimemsikia ITV live Magu akiwapiga vijembe vya RUKSA kwa wale wanaotaka kutia nia.Lakini sijui kama wataambulia kitu.Mchezo ndio kwanza umeanza.This is not fair. Kamishina wa Elimu angemnyima ruhusa enzi zile,mpaka sasa si angekuwa anakamata chalk ?
Sasa wakati wewe umeomba ruhusa huku nyuma kazi zako afanye nani? Serikali hii umeshaambiwa kauli mbiu yake ni HAPA KAZI TU?
Hujui lolote. Kwanza Magufuli hakuwa anafundisha Iringa,pili Magufuli kishawahi kushindwa kura za maoni kule Biharamulo mara mbili,hadi lilipogawanywa ndo akaja akapita kura za maoni .Naona unaleta story za vijiweni kwenye Gahawa.
Sawa Mimi Sijui lolote wewe unajua inaonekana upo jikoni, Subiri teuzi.Hujui lolote. Kwanza Magufuli hakuwa anafundisha Iringa,pili Magufuli kishawahi kushindwa kura za maoni kule Biharamulo mara mbili,hadi lilipogawanywa ndo akaja akapita kura za maoni .Naona unaleta story za vijiweni kwenye Gahawa.
Kuna kuomba kibali UTUMISHI kama unataka kugombea. Ukishapitishwa na chama chako kama mgombea, utumishi wako unakomaIlikuwaje Magufuli alipoenda Biharamulo akashindwa kura za maoni then akarudi kushika chalc ?What about Dr Mwele mwaka 2015 aliomba ruhusa kwenda kugombea Urais aliposhindwa akarudi kwenye ukurugenzi wake?
Mkapa alipita chato huo mwaka 1995 kama nani kiasi cha kuona pako primitive na kumchagua magufuli kugombea ubunge?Magufuli Alichaguliwa na Mkapa kugombea ubunge 1995, Baada ya Mkapa kupita Chato na kuona pako very Primitive, ndiyo akauliza ninani anaweza kuwa mbunge ambaye anatoka pale kjijini, ndiyo wazee wakampendekeza Magufuli kipindi hicho Ni Mwalimu iringa.
Note: Tofautisha Kuomba Ruhusa na Kuchaguliwa.
Huyo si mkaguru+mgongo, Ndiyo akajenge Sasa mwenzake mkulo yuko huko na Ana mji wake piaAfu ujue kabudi anapigiwa kampeni wazi wazi tena kwao kilosa, Baba wa kabudi alikaa kilosa kama mwinjilisti ndio jamaa kazaliwa kule lakini ni mgogo leo hii anaitwa mtu wa kilosa na jimbo anapewa na hana hata kibanda pale anafikia hotel
Alipita wakati wa Kampeni Mkuu. Una lingine??Mkapa alipita chato huo mwaka 1995 kama nani kiasi cha kuona pako primitive na kumchagua magufuli kugombea ubunge?
Mkuu hivi Magufuli si alikua Mwalimu na aligombea mara mbili akashindwa lakini aliendelea na ualimu baadae? Au Historia ya huku imebadirika tangu 2015?Acheni tamaa wengine hawana ajira bado mnawazongazonga mtaka yote hukosa yote. Hii inaonyesha wazi kwamba mnafanya kazi ambazo.
Sio profession zenu. Wewe ni mwalimu alafu unataka siasa basi ualimu sio profession yako unaganga njaa tu alafu unalaumu.
Acha wafu wazikaneNimejiuliza, Rais wetu mpendwa alipokuwa Mwalimu pale Sengerema Secondary School, alipoomba Ruhusa ya kwenda kugombea Ubunge kule Biharamulo. Je, aliachishwa kazi? Watu wanaomba ruhusa ili wakajaribu bahati zao, badala ya kupewa ruhusa wanatumbuliwa. Hii mnaionaje raia?
Binafsi naona sio sawa jamani au kwa vile ni nafasi za kuteuliwa? Najiuliza wale wa kwenye sector zisizo za kuteuliwa i.e watumishi wengine mfano walimu n.k wakiomba ruhusa nao wataachishwa kazi badala ya kupewa ruhusa. It means ukishindwa imekula kwako.
Hii ndo Tanzania ya Magufuli.
Wakati huo Magufuli alikuwa contender wa ubungeAlipita wakati wa Kampeni Mkuu. Una lingine??
Jiwe anamuogopa na kumchukia SANA mpaka leo pamoja kuwa alikuwa keshamtumbuaIlikuwaje Magufuli alipoenda Biharamulo akashindwa kura za maoni then akarudi kushika chalc ?What about Dr Mwele mwaka 2015 aliomba ruhusa kwenda kugombea Urais aliposhindwa akarudi kwenye ukurugenzi wake?