Inasikitisha! Mmoja wa viongozi wa vyuo vikuu vyetu nchini anavuta bangi

Acha wivu, wewe focus na wanaweke au uji.
Kila mtu ana starehe yake.

Kwani umewah sikia kazingua mahala kwa sababu ya Bhangi?
 
Ndio wakasema kwamba walimfukuza Seminari kisa walimfuma anamsukutua Buffalo Soja?
 
Mbona Pasta Tony na Mke wake wanavuta na wako sawa tu wanamuhubiri yesu
 
Mi mwenyewe navuta na naamsha amsha mbaya😝 Nina Mpango wa kupata pesa kupitia huu mradi😜😜😜😜
 
Mbona Pasta Tony na Mke wake wanavuta na wako sawa tu wanamuhubiri yesu
Yule mtoto wa Mama anaegawa Baiskeli, Pikipiki za Kinglion na Mitungi ya Gesi kisha anarudi tena kwa wale wale aliowapa Baiskeli, Pikipiki na Mitungi ya Gesi kuwaambia wampe Billion 100 anavuta bangi, tangu akiwa shule moja kubwa sana mjini Dusalamu wanasoma watoto wa wakubwa tu na alikua na vituko tangu akiwa Shule umarekani mwingi sana yeye alikua anatembea na dollars tu mfukoni
 
Ni sawa na kusema " mmoja wa viongozi anakunywa pombe" shida Yako ni nini hasa?

Alafu Mwanaume kufuatilia mambo ya watu sio ishara nzuri
 
Amekosea nini? Kitu kipi hasa alichokosea?
 
Amekosea nini? Kitu kipi hasa alichokosea?
Kutokumpa na yeye avute ndicho anachosema mleta mada kwamba kwanini anavutaga mwenyewe kwanini akiwa anavuta na yeye asimpasie kijiti?
 
Vigogo wengi na watu wenye nyadhifa zao wakurugenzi wanapuliza na wanafanya mambo yao kama kawaida

Ova
 
Na bange imemsaidia yeye katoa baiskeli alafu kawaomba aliowapa baiskeli wampe Billion 100 zote hizi ni busara nzuri ya bange
 
Nimetamani kucheka ila nipo kwenye kikao bibi yetu kapewa mimba huku.
 
mimi mwenyewe bangi nmevuta sana nimeacha miaka 14 huko iliyopita
Ova
 
Vigogo wengi na watu wenye nyadhifa zao wakurugenzi wanapuliza na wanafanya mambo yao kama kawaida

Ova
Mbona kuna mkuu wa chombo cha ulinzi na usalama anavuta bange ila hapendi kuongea kama wenzake waliopita ila lips zimekua nyeusi kwasababu ya kuchoma mmea na yuko sawa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…