Inasikitisha na kustua sana. Marehemu Kambayao wa TRA alikuwa pia Mwanachuo CBE Dodoma

Yule marehemu kwa umri wake inaonekana alikuwa ameanza kuajiriwa kisha akaenda kujiendeleza elimu huku akiwa kazini.
Pengine hakuchukua likizo ya masomo alikuwa on duty siku ile.
Kumbuka Kuna executive classes ambazo zina accommodate waajiriwa.
Na wewe ynahisi tu kama mm, lkn mm nahisi alikuwa mtu wa kitengo sema ndio yashamwagika sasa
 
ART wameamua kutumika kufunika kombe lkn za ndani kutoka kwenye kiini ni kuwa kipepeo mweupe alikuwa katika majukumu yake ya nyuma ya pazia na siku ikawa mbaya kazini. Ndosababu unaona viranja kama wamechanganyikiwa vile, kila kiranja anatoa tamko.
Inawezekana kabisa ndio watekaji WA Mzee Kibao na wengine😔
 
Tatizo ni gharama za usafiri ama tatizo ni kuwahi Masomo Darasani ? Mkuu usiyumbe tutapoteza focus ya mjadala. Asubuhi njema
Vyote ni factors,hiyo level kibongobongo bado hatujaifikia hiyo labda China huko ndio wanaweza maana kule hakuna uswahili wa treni kukatika umeme na abiris kukaa porini siku nzima baadae wanasingizia ngedere ndio wamekata umeme.
 
Mkuu tabia yako ya kushinda kwenye mitandao unatafuta vimakosa na kutukana watu inakufanya usijue mambo mengi ya duniani katika uhalisia wake. Mbona usomaji kama marehemu alivyokuwa anafanya ni kawaida kabisa. Aidha kwa upande mwingine binadamu sasa tuna sura na haiba tofauti inategemea yuko wapi. Mfano marehemu kwa:
  1. TRA- Mwajiriwa
  2. CBE- Mwanafunzi
  3. Nyumbani- Baba wa familia
  4. Kanisani-Muumini NK
 
Kimbwenelehi haujamaliza kusema yote.
Kabla hatujasonga mbele, weka japo nusu ama robo tusi nililotukana.

Jambo la pili, umeumia kama Mwigulu alivyoumia, kama Muliro alivyoumia, kama Mombo alivyoumia.

Cha msingi, jifunze katika makosa madogo ndani ya akili yako. Walio huko ndiyo wanaotujulisha tulioko huku.

Endelea kukaa kwa shemeji
 
Sio kila siku ila halitabiriki,sasa assume ndio unakwenda kufanya final exams halafu linazimika mnakaa porini masaa 6 au 8 utaiwahi hiyo mitihani?
Ni assumptions na haziwezi kuzuia kutimiza baadhi ya mambo kwa hofu ya matokeo ya baadae. Nafikiri timetable ya vipindi na mitihani alikuwa nayo yeye sisi wengine tuna assume na kuingilia maamuzi ya mtu juu ya maisha yake.

Hivi imagine weekend inakaribia uko chuoni na una uhitaji wa pesa. Halafu unapigiwa simu toka ofisi uliyoajiriwa kuwa mtakuwa na operation fulani na ina posho kiwango fulani hutaenda?

Kuhusu ratiba za chuo huyo jamaa mlikuwa mnamlaumu bure. Haya mambo ya kusafiri kutoka eneo la chuo kwenda mkoa mwingine tumeshafanya sana na yanaendelea kufanyika. Ikifika Alhamis mtu anachungulia ratiba anaona vipindi anavyoweza kuskip anaondoka then Jpili jioni anarudi na J3 anakuwa yupo chuo since morning. Hata wengine huwa wanasafiri hizo siku kwenda kufanya kazi za kuuza mwili mikoa mingine mbali na kilipo chuo.
 
Unauliza Ujinga,
Ina maana vyuo hawafungi wanasoma siku 365 zote??
 
Mkuu kasome ulichoandika hasa maswali ya kijinga uliyouliza- ni matusi
 
Mimi nimejibu specific questions kwanini statement haijasema ni mfanyakazi wa TRA au kwanini ni mwanafunzi hayupo darasani au kwanini TRA haikusema ni mwanafunzi. Hayo mengine yanatoka wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…