Teknocrat
JF-Expert Member
- Oct 20, 2018
- 4,967
- 11,056
Unauliza swali baada ya maokoto kujulikanaKuwa dereva hakuhitaji kigezo cha Degree changamsha akili hiyo jomba.
slow learner....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unauliza swali baada ya maokoto kujulikanaKuwa dereva hakuhitaji kigezo cha Degree changamsha akili hiyo jomba.
Na wewe ynahisi tu kama mm, lkn mm nahisi alikuwa mtu wa kitengo sema ndio yashamwagika sasaYule marehemu kwa umri wake inaonekana alikuwa ameanza kuajiriwa kisha akaenda kujiendeleza elimu huku akiwa kazini.
Pengine hakuchukua likizo ya masomo alikuwa on duty siku ile.
Kumbuka Kuna executive classes ambazo zina accommodate waajiriwa.
Hata ujiongeze vipi stori haiji. Uongo! Uongo! Uongo!Kwani hawezi kuwa Field?
Kama mwanachuo na yuko kazini alikiwa either field au alikuwa anafanya kazi huku anasoma labda masters
Ila nimeona hapo wameandika bachelor so what do i know
Wewe ndio mzito kuelewa.Unauliza swali baada ya maokoto kujulikana
slow learner....
Kitengo cha mauaji😔😔Inaonekana jamaa yuko Kitengo kikali sana maana si kwa utetezi ule wa vyombo
Hiyo treni inayokatika umeme na abiria kukaa porini siku nzima au kuna nyingine?Hivi treni ya umeme Dodoma imesitishwa?
Inawezekana kabisa ndio watekaji WA Mzee Kibao na wengine😔ART wameamua kutumika kufunika kombe lkn za ndani kutoka kwenye kiini ni kuwa kipepeo mweupe alikuwa katika majukumu yake ya nyuma ya pazia na siku ikawa mbaya kazini. Ndosababu unaona viranja kama wamechanganyikiwa vile, kila kiranja anatoa tamko.
Vyote ni factors,hiyo level kibongobongo bado hatujaifikia hiyo labda China huko ndio wanaweza maana kule hakuna uswahili wa treni kukatika umeme na abiris kukaa porini siku nzima baadae wanasingizia ngedere ndio wamekata umeme.Tatizo ni gharama za usafiri ama tatizo ni kuwahi Masomo Darasani ? Mkuu usiyumbe tutapoteza focus ya mjadala. Asubuhi njema
Mkuu tabia yako ya kushinda kwenye mitandao unatafuta vimakosa na kutukana watu inakufanya usijue mambo mengi ya duniani katika uhalisia wake. Mbona usomaji kama marehemu alivyokuwa anafanya ni kawaida kabisa. Aidha kwa upande mwingine binadamu sasa tuna sura na haiba tofauti inategemea yuko wapi. Mfano marehemu kwa:Pamoja na kauli zote tunazozizungumza. Tufahamu kuwa wanaoumia sana ni wanafamilia wa marehemu. Ushahidi huu hapa 👇👇
View attachment 3171628
Lakini sakata hili limeendelea kutuchanganya sana Watanzania. Tunajiuliza Kambayao alifuata nini Tegeta wakati alipaswa kuwa chuoni Dodoma CBE?
Maswali yanazidi kuchanganya umma
Maswali magumu
- Kwenye taarifa kutoka Bodi ya TRA haikusema kama alikuwa anasoma pia. Ni bahati mbaya au makusudi?
- Bachelor Degree kwa chuo kama CBE ni full time darasani, je mwanafunzi alikuwa anafanya nini Tegeta kwa Ndevu usiku ule?
- TRA walikosa picha ya marehemu kuiattach kwenye tangazo la msiba, ina maana CBE wana rekodi sahihi ya marehemu kuliko TRA. Je, marehemu hakuwahi kuajiriwa TRA?
- Serikali imepanic ama imechanganyikiwa?
- Kwenye taarifa ya CBE hawajasema kama marehemu alikuwa pia mwajiriwa wa TRA. Ni bahati mbaya, kujisahau au ndo ukweli?
Poleni wafiwa
UPDATE...
View attachment 3172005
Hii ni kwa mujibu wa X kurasa ya Maria Sarungi
Tunaendelea kuleta updates.
Kwani inakatika umeme na kushinda porini kila siku?Hiyo treni inayokatika umeme na abiria kukaa porini siku nzima au kuna nyingine?
Sio kila siku ila halitabiriki,sasa assume ndio unakwenda kufanya final exams halafu linazimika mnakaa porini masaa 6 au 8 utaiwahi hiyo mitihani?Kwani inakatika umeme na kushinda porini kila siku?
Kimbwenelehi haujamaliza kusema yote.Mkuu tabia yako ya kushinda kwenye mitandao unatafuta vimakosa na kutukana watu inakufanya usijue mambo mengi ya duniani katika uhalisia wake. Mbona usomaji kama marehemu alivyokuwa anafanya ni kawaida kabisa. Aidha kwa upande mwingine binadamu sasa tuna sura na haiba tofauti inategemea yuko wapi. Mfano marehemu kwa:
- TRA- Mwajiriwa
- CBE- Mwanafunzi
- Nyumbani- Baba wa familia
- Kanisani-Muumini NK
Ni assumptions na haziwezi kuzuia kutimiza baadhi ya mambo kwa hofu ya matokeo ya baadae. Nafikiri timetable ya vipindi na mitihani alikuwa nayo yeye sisi wengine tuna assume na kuingilia maamuzi ya mtu juu ya maisha yake.Sio kila siku ila halitabiriki,sasa assume ndio unakwenda kufanya final exams halafu linazimika mnakaa porini masaa 6 au 8 utaiwahi hiyo mitihani?
You are very stupid...CHADEMA tulieni. Hii nchi ni ya kila mmoja. Acheni kuichafua TRA
Unauliza Ujinga,Pamoja na kauli zote tunazozizungumza. Tufahamu kuwa wanaoumia sana ni wanafamilia wa marehemu. Ushahidi huu hapa 👇👇
View attachment 3171628
Lakini sakata hili limeendelea kutuchanganya sana Watanzania. Tunajiuliza Kambayao alifuata nini Tegeta wakati alipaswa kuwa chuoni Dodoma CBE?
Maswali yanazidi kuchanganya umma
Maswali magumu
- Kwenye taarifa kutoka Bodi ya TRA haikusema kama alikuwa anasoma pia. Ni bahati mbaya au makusudi?
- Bachelor Degree kwa chuo kama CBE ni full time darasani, je mwanafunzi alikuwa anafanya nini Tegeta kwa Ndevu usiku ule?
- TRA walikosa picha ya marehemu kuiattach kwenye tangazo la msiba, ina maana CBE wana rekodi sahihi ya marehemu kuliko TRA. Je, marehemu hakuwahi kuajiriwa TRA?
- Serikali imepanic ama imechanganyikiwa?
- Kwenye taarifa ya CBE hawajasema kama marehemu alikuwa pia mwajiriwa wa TRA. Ni bahati mbaya, kujisahau au ndo ukweli?
Poleni wafiwa
UPDATE...
View attachment 3172005
Hii ni kwa mujibu wa X kurasa ya Maria Sarungi
Tunaendelea kuleta updates.
Mkuu kasome ulichoandika hasa maswali ya kijinga uliyouliza- ni matusiKimbwenelehi haujamaliza kusema yote.
Kabla hatujasonga mbele, weka japo nusu ama robo tusi nililotukana.
Jambo la pili, umeumia kama Mwigulu alivyoumia, kama Muliro alivyoumia, kama Mombo alivyoumia.
Cha msingi, jifunze katika makosa madogo ndani ya akili yako. Walio huko ndiyo wanaotujulisha tulioko huku.
Endelea kukaa kwa shemeji
Mimi nimejibu specific questions kwanini statement haijasema ni mfanyakazi wa TRA au kwanini ni mwanafunzi hayupo darasani au kwanini TRA haikusema ni mwanafunzi. Hayo mengine yanatoka wapi?Na ile operation iliyokuwa kinyume na utaratibu majibu yake ni yapi?
-Kwanini hakupigiwa simu aende ofisini kwao?
-Kwanini hawakutumia police traffic office wakamatwe gari?
-Wamemkimbiza kama jambazi waliyemkurupusha kwenye scene ya ujambazi, iweje kama kilikuwa na jinai wasiende na polisi ambao wana mamlaka kisheria ya kukamata wahalifu?
-Vipi kuhusu sheria inayowapasa kwenda na polisi wenye sare rasmi wakati wa operation zao?
NB: Kongole nyingi kwa raia wema kufanikiwa kuokoa Mtanzania mwenzao asitekwe alipoomba msaada. Polisi wangewakana wahusika kama zoezi la utekaji lingefanikiwa na moja ya mifano ni Ali Kibao aliyechukuwa kwa mtindo huohuo waliokuja nao kwa driver wa X6.