Inasikitisha na kustua sana. Marehemu Kambayao wa TRA alikuwa pia Mwanachuo CBE Dodoma

Damu yake haitaenda bure itaenda na watu jela
Watu wakionewa kiuonevu machozi yao pia hayataisha bure wa kulaumiiwa ni serikali ya ccm na wabunge (bunge) walioruhusu raia kutekwa kishamba bila kuchukua hatua au bunge kuihoji serikali matokeo yake raia wameamua kujilinda wenyewe dhidi ya wasiojulikana.kwani katika nyakati hizi za kutekana nani angejua hao wanyatiaji wa usiku ni TRA na sio watu wasiojulikana?
 
Ni mtumishi wa TRA as a driver, na CBE ni mwanafunzi, so kila ofisi ime response kwa namna wanavyorelate naye.
Akiwa TRA ni mtumishi dereva while akiwa CBE ni mwanafunzi
WEWE KUNA UOVU UNATETEA.
TUSEME NI DRIVER,AMEPATAJE KUSOMA CBE ACCOUNTANCY?

MARA SUA ALUMNI,MARA CBE,MARA DRIVER.

HAYA NI MWANAFUNZI,KWANINI ALIKUWA KAZINI WAKATI ANATAKIWA KUWA NA STUDY LEAVE KISHERIA ?
 

Hawa tatizo Lao ni moja, hawajipi mda kuja na Tamko lenye kuzingatia damage control, kila mtu ana kurupuka, mwisho wa siku it’s out of hands!

Hivi TRA walisemaje wana mamlaka ya ku arrest bila Police? Wana mahali pa kuweka watu Maabusu? Let’s assume watapeleka Police, Question: documents za arrest zitaanzia wapi?
 


Keshakufa huyo mtekaji kama umeumia sana mfufue, kifo ni kifo tu au haukuusikia huo ujumbe?
Mob justice utamkamata Nani labda mwenye BMW
Kama alivyoshughulikiwa huyo mtekaji, so three wrongs make it right according to your level of understanding.
Ulishakaririshwa ukabweteka! Pole.
Sasa unamfokea nani!!??
Walijuaje kuwa tra? Mwenye bmw unaambiwa alipiga kelele kuwa anatekwa.
 
Alikuwa Ni Dereva na alikuwa kwenye kazi kwa vitendo
 
Afisa kipenyo
 
Kwani hawezi kuwa Field?
Kama mwanachuo na yuko kazini alikiwa either field au alikuwa anafanya kazi huku anasoma labda masters
Ila nimeona hapo wameandika bachelor so what do i know
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Bachelor ya long distance sijawahi kuiona labda Open University ila kwa CBE nina mashaka
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Bachelor ya long distance sijawahi kuiona labda Open University ila kwa CBE nina mashaka

Labda alikuwa auditor, hawa auditors wa serikali wanafanya kazi popote mkoa wowote, as long as anareport ofisi husika.

Again what do i know

Conspiracies at best
 
WEWE KUNA UOVU UNATETEA.
TUSEME NI DRIVER,AMEPATAJE KUSOMA CBE ACCOUNTANCY?

MARA SUA ALUMNI,MARA CBE,MARA DRIVER.

HAYA NI MWANAFUNZI,KWANINI ALIKUWA KAZINI WAKATI ANATAKIWA KUWA NA STUDY LEAVE KISHERIA ?
Hili nalo linaleta alert, maana mtu ambaye anasomeshwa na serikali lazma awe likizo ya masomo, huyu dogo ina maana alikuwa anatumika kama kishoka kwenye mission za ajabuπŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…