HesabuKali
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 2,791
- 5,687
Ukisoma hiki uichoandika unagundua una maradhi makubwa mno, Unasema Azm kaweka chaneli za dini ya kikirsto kwa shingo upande, mpaka hapo utangundua wewe ni zaidi ya mjinga anayeongozwa na chuki. Tutajie hizo media nyingine zilizoajiri Waislamu wengi kuliko wakirsto wakati zinamilikiwa na wasio Waislamu.Kuna wapuuzi wamekuwa wakitetea kijinga upuuzi huu ambao hautakiwi katika nchi ambayo haiongozwi kwa misingi ya dini. Azam ajifunze kwa washindani wake ambao wanaajiri bila kujali misingi ya kidini. Kuna media zimejaza waislam huku wamiliki wake si waislam na hawana mpango wa kuajiri wafanyakazi wa imani yao tu. Kuna dini na madhehebu yasiyo ya kiislam utakuta wanaajiri mpaka waislam. Azam hata king'amuzi chake anaweka chaneli za dini isiyo yake kwa shingo upande na kutaka kuridhisha wateja wa bidhaa zake huku akijua anatumia masafa ya umma katika nchi isiyeongozwa kwa misingi ya dini. Ni kama anafanya hivyo kwa shinikizo tu ili aendelee kulikamata soko la bidhaa zake. Ana udini na ukanda sana