Inasikitisha sana. Kwanini Azam Media inaendekeza udini namna hii?

Mimi ni Mkatoliki. Lakini marafiki zangu wengi ni Waislam. Tena wengine tumefikia hatua ya kuwa kama ndugu. Hao waislam wenye msimamo huu watakuwa wana matatizo bila shaka.
Wapo wengi, hao unaowasema wanaonekana na wenzao kama sio waislamu. Mm pia ninao Ila wanaonekana kama sio waislamu
 
Mkuu nimeuliza tu wala tangazo sijaliona.
Mi mwenyewe tangazo sijaliona, ila nimekosoa maoni yako yanayoonesha kukubaliana na jambo hilo la ubaguzi wa kidini kwenye taasisi ambayo haihusiani na udini
 
Kuna ubaya muislam aliewekeza mtaji wake binafsi akiwainua waislam wenzake?

Ingekuwa taasisi ya kiserikali hapo ungekuwa na hoja ya kujibiwa.
Kama ni hivyo anatakiwa awe muwazi basi. Yaani katika vigezo vyake vya kuajiri, aweke na hiki kipengele cha kuwainua Waislam wenzake! ili kuepusha usumbufu na malalamiko yasiyo ya lazima.
 
Unajifunga moja kwa moja wapi uislamu unaruhusu ubaguzi .

Mbona pale KCMC Tuliacha kulea shobo japo serikali inayoa ruzuku
Uislamu unaruhusu ubaguzi 100% kama wewe siyo muislamu ukachanganya nao basi utabaguliwa kwa kila kitu. Siyo kama watakufanyia matendo mema ili uvutiwe uslimu hapana. Watakutenga kama chakula, hawatataka ule nao, kulala hivyo hivyo, kupiga nao story hawataki na wanatengeneza umoja wao.
Muislam ndugu yao ni muislam.
 

Kama una muda msikilize huyu, anaelezea Jewish economy as a Jewish expert.

Ndege wanaofanana huruka kundi moja, very natural...
 
Yeye ndiye amepanga hvyo alaf unasema alichunguze , huwa wanaelekezwa ni haramu kumruka muislamu mwenzako dhidi ya kafri
 
Sasa wewe unataka kumpangia cha kufanya, yaani aache kusaidia Waislamu wenzake sio, hata wewe huwezi kuacha kusaidia ndugu zako.
 
Tupia vyeti vyako tuvione
 
Upuuzi mtupu! Nani aliwaambia mbinguni kuna kuoa au kutolewa au kuna kula na kunywa? Hawa watu watafute namna ya kwenda mbinguni wakaone huo uongo waliodanganywa na huyo Kiongozi wao aliyekufa (Mohammed)
Hahahahha unapingana mpaka na yesu mlivyo hamjitambui

Hujui yesu nae anaitamani mbingu yenye msosi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hahahahah umeulizwa swali umejibu utumbo ndivyo hivyo wakristo wanatembea uchi kwa sababu wameamrishwa na dini yao.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwa waislamu wakristo sio binadamu. Hili niliwahi kuliona kabisa kwa macho yangu, hoja yao ilikuwa eti muislamu ndugu yake ni muislamu
Sio kweli kabisa umefanya tafiti kwa waislamu wangapi ?

Unadahani hakuna waislamu wanaofanyiwa vitendo kama hivyo na wakiristo je na wao wakigeneralize kihivyo ni sawa ?

 
Shida ni ma HR na mameneja ukute ata bakhresa mwenyewe haelewi haya mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…