Inasikitisha sana. Kwanini Azam Media inaendekeza udini namna hii?

Kwa Mfano hapa TZ mikoa inayoongoza kwa matukio ya kiuhalifu, mauwaji ya Albino, vikongwe, kuuwa watoto kwa kuiba fedha au chakula, wizi, ujambazi..., ni ile yenye waislamu wengi?
Hapo alipo anatafakari atawaambia nini majnun wenzake wakati ashawaaminisha ujinga. Leo Marekani ndio mshari mkubwa hapa duniani lakini Waarabu wakijihami wanaitwa watu wa shari. Muone Putin na wanzake wanachokifanya tena bila huruma ila jamaa akili zao hazipo
 
Sasa unaongea nini na unapinga nini?

So unakubali kuwa kauli ya kusema muislamu ndugu yake ni muislamu ni kauli inayosemwa kweli na sio kama mnazushiwa.... point yako ya kuuliza nilisikia wapi ilikuwa na mashiko gani?

Ulitaka kuipinga kuwa sio ya kweli endapo ingeonekana sina ushahidi wa kuonesha wapi niliposikia?
 
Una kichaa wewe kama sio utindio wa akili kabisa, Azam iiyojaa Waislamu unailinagnisha na Agape, IPP, Sahara kulikojaa kina nyinyi unajiona una akili timamu? Kuna wezi wakubwa kwenye hizi taasisi kama nyinyi? Unafikri kile alichosema Much. Kimaro kaongopa? Nitajie taasisi 2 tu unadhani zinafanya vizur sana zimejaa kina nyinyi dhidi ya 2 zilizojaa Waislamu halafu tuone tija yenu iko wapo.
Wenzetu nyinyi mna Elimu ya makaratasi ila ufanisi na tija nyinyi ni hovyo, wezi, wanafiki, wachonganishi, watu wa kujipendekeza.
 
Mdini namba moja ni bakhresa mwenyewe na hayo ni maelekezo maalumu ya kidini na udini, jipiganie na wakristo waache ufala
 
Ulicho kisema wewe na kukupinga ni kuifanya hiyo kauli ndio pekee inayo pewa airtime kuliko nyingine wakati si kweli kuna madu alikupa aya ukasema ila aya haisemwi sana kama hiyo kauli ulio ileta na usijifanye huelewi

Lengo lako ni kua kupitia kauli hiyo ndio maana waislam wanaajili wenzeao

Naona unasahau hata mada inazungumzia nini na unajifanya hujui nilicho kipinga ni kipi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hapa tunaweza kusema kwamba si kwamba una/mnabaguliwa ila nyinyi waislamu mnalazimisha udini sehemu zisizohitaji udini.

Nakupa mfano kupitia mifano uliyotoa;

Jamaa kaenda posta kwenye ofisi kuomba kazi,dress code ni suruali ya kitambaa na shati na chini kiatu cheusi. Kinyume chake yeye kaenda na kanzu na kiremba kichwani akakosa kazi. Huyu jamaa kakaja na malalamiko kabaguliwa kisa muislamu . Lakini asichojua Ni kwamba ubaguzi ni zaidi ya vile alivyotafsiri,maana kwa kitendo Cha kuvaa tofauti na wengine na kujihesabia wewe ni wa dini fulani,tayari huo ni udini maana amewabagua wasio waislamu.

Kuna ishu ya waislamu kule ujerumani kulazimisha kuvaa ijab kwenye nchi isiyo na misingi ya kiislamu,Hadi wakaleta vurugu na kuandamana kwamba wanabaguliwa. Lakini ukilitazama hili swala kwa undani unagundua kwamba wao ndiyo wabaguzi maana katka nchi ambayo wameweka misingi yao,wewe wa kuja ukaja na msingi wako ili ujitofautishe na wenyeji huo ni ubaguzi tayari.

Mkuu adriz ubaguzi ni zaidi ya tunavyoutafsiri. Na asilimia kubwa ya waislamu wanaolalamika kubaguliwa,ukweli Ni kwamba wao ndiyo wabaguzi maana wakifika sehemu wanalazimisha kuibadili misingi ya Hilo eneo na kuleta itikadi zao ambazo Ni tofauti na wenyeji,wakikemewa wanaolalamika kubaguliwa. Ubaguzi unaanzia ndani ya mtu kwa kuanza kujitenga na wengine.

Focus.
 
sasahilo lina ubaya gani kwani hata kama angeajiri asilimia zote waislamu kwani unampangia mtu na hela zake na je unayafahamu malengo ya taasisi yao labda wamelenga kuwainua watu hao,.
Tumeanza lini kupangiana mamba ya kufanya aisee? hata wewe unao uhuri wa kufuatilia vipindi ama kuacha ndio maana kuna media zingine pia.
Je umeshaenda kuchunguza huko wasafi, efm, etv, ipp media nako kukoje?
Mimi ninachokiaona ni chuki zako tu kwa waislamu na kama hoja hiyo kuwa waislamu ni wengi inaweza kuwa kweli lkn si kwa kiwango ulichotaja hapo, maana tunawaona akina Ivona, Gudluck Jonathan, Kennedy Moses, Hilder Foya, Raymond Nyamwihula na list ni ndefu sana
 
🤣🤣🤣Hata ulichaondika hujui ,ebu rudia kusoma angalau .

Kwa hyo Azam ni wakristo sio? 🤣🤣Kwa nn KCMC iwe ya kikristo ? Kwa sababu mmiliki wake ni mkristo the same kwa Azam mnamuona mdini kwa vile ni muislamu.

Mbona upumbavu wenu wa KCMC hamuongelei na mnapokea ruzuku kwa hyo serikali ni ya kikristo na kusapot ukristo tu?

Punguza ujinga unaonekana mpumbavu mbele ya wanajielewa.

Wenzio wengi wanapandikizwa chuki bila ya kujielewa ndo maana hawana majibu.
 
Huwezi Kuta mwalm mkristo kwenye shule zao
Shule ya kiislam waajiri Mwalimu mkristo ili akafundishe ukristo , jameni haya mnataka kufundisha Hadi madrasa

Mkuu shule ya dini ya kikristo ,muislam hawezi fundisha
 
Lengo la kauli ya kusema "muislamu ndugu yake ni muislamu ni nini kama sio utabaka?

Maana yake asiye muislamu hawezi kuwa ndugu yako

Kwa hiyo kwenye circumstances kama iliyomkuta mtoa mada ataona kauli mbiu ile ya waislamu kutambuana wao kwa wao kuwa ndio ndugu ni kweli imekosesha vigezo vya kupata kazi
 
kama nikikupiga, ukanipiga hapo tunapigana
ITV na EA, wale pale, wakiomba 10, mkobazi anachukuliwa mmoja tu,

na kama ni mkobazi wa kike, basi haruhusiwi kuvaa ushungi au akae kwao
vipi hapo ?
That's racism too
 
aisee hiyoakili yako ni shida sana! Aliyekwqmbia uislamu ni kanzu nani aisee hilo ni vazi lenye asili ya nchi za waarabu na wala sio dini ukitaka kujua hilo enda kwenye nchi kama ya Jordani utaweza kuona namna hata wakristo ni vazi rasmi kwao jna wanaingia nalo mpk kanisani huko nawala sio issue.
Hiyo hoja kwamba kwenye hizo nchi kama ujerumwni unasem mtu kuvaa hijabu ni ubaguzi! kwani wao wanaovaa hizo hijabu wanamlazimisha mtu mwingine kuvaa au wanavaa wao wenyewe au wanammvalisha na mtu mwingine asiyependa kuvaa?
Haalafu hizo si ndo nchi mnaaita kuwa walioendelea na kuna uhuru na demokrasi kuwa watu wako huru mpk kuatumia miili yao vile wamnaona inafaa hata wanaume wanaoana sasa inawkuwaje wanazuia uhuru watu wengine kuvaa vile wanatka?
 
Sasa mkuu kama ni hivyo je namimi ninae amini suit ni vazi la wakristo sijabaguliwa kuhusu imani yangu?

Je ikiwa imani yangu imenitaka nivae hijabu alafu wewe ukataka kusema hapana hapa hijab hairuhusiwi huo nao sio ubaguzi

Kifupi taasisi nyingi hazitaki waislam wafate taratibu zao na huo ndio ubaguzi wenyewe

Kama mtu anajua kabisa hijabu ni vazi la lazima kwa muislam wa kike kuvaa Alafu analazimishwa asivae.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ndipo maana mnatakiwa muyasome mambo kwanza kabla hamja yajadili

Kwenye uislam kuna aina nne zu udugu

Ila alieleta comment aliichagua hiyo tu na wewe ukamsapoti pasi na kua na elimu ya jambo

1. Kuna udugu wa Kuzaliwa
2. Kuna udugu wa ujirani.
3. Kuna udugu wa kiimani.
4. Kuna udugu asili kwamba wote sisi ni ndugu kupitia Adam.

Ungelielewa hili kwanza usingekimbilia kusapoti tu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ukinywa mchuzi wa kuku ni tayari umekula kuku.
 
Sasa hayo sisi hatuyasikii, tunachosikia ni bicho ambacho nimekuandikia
 
Ipo documentary nimeona uturuki wakristo wanavyobaguliwa, kazi zao kuzibua vyoo na vibarua,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…