Inasikitisha sana. Kwanini Azam Media inaendekeza udini namna hii?

Inasikitisha sana. Kwanini Azam Media inaendekeza udini namna hii?

Una kichaa wewe kama sio utindio wa akili kabisa, Azam iiyojaa Waislamu unailinagnisha na Agape, IPP, Sahara kulikojaa kina nyinyi unajiona una akili timamu? Kuna wezi wakubwa kwenye hizi taasisi kama nyinyi? Unafikri kile alichosema Much. Kimaro kaongopa? Nitajie taasisi 2 tu unadhani zinafanya vizur sana zimejaa kina nyinyi dhidi ya 2 zilizojaa Waislamu halafu tuone tija yenu iko wapo.
Wenzetu nyinyi mna Elimu ya makaratasi ila ufanisi na tija nyinyi ni hovyo, wezi, wanafiki, wachonganishi, watu wa kujipendekeza.
Wanajipendekeza kama Hamisi Mwinjuma aka Fa.
 
We jamaa una upotoshaji wa Hali ya juu Sana kwenye comments zako. Na isivyo bahati unaowaquote wanakuwa wepesi,hawawezi kutetea hoja.

Swala la kcmc ambalo unaliongelea kila comment ili kujustify inshu ya Azam TV mbona haviendani? KCMC ni hospitali ya dini ya kikristo. Ile siyo hospital ya serikali. Na wao serikali kutoa ruzuku haifanyi ile hospital isiwe ya dini na/au isiwe na misingi ya dini. The same applies kwa SAINT WARBURGA HOSPITAL (Nyangao hospital) Lindi,ambayo serikali inatoa ruzuku Kama hiyo KCMC na imeifanya kuwa hospital ya wilaya. Lakini ukweli unabaki kwamba hospitali ya Nyangao na Ndanda hospital ni hospitali za kikristo(kikatoliki).

Endeleeni kubishana swala lenu la Azam,acha kuingiza vitu visivyohusiana na mada yenu.
Kwa hiyo Azam ni kampuni ya serikali mpaka mumpangie namna ya kuajiri?
 
Kama dini ni kipaumbele chao wa kuajiri mkuu au umesahau aliyekuwa mchungaji wa kijitonyama Eliyona Kimaro anawaamini vijana wa kiislam na kufanya nao kazi kuliko vijana wa kikristo

Ongezeko la nyuzi za kidini ni mbegu inayomea Pole Pole ila madhara yake itamgusa Hadi mwenye forum na uongozi wake ambao wanafurahi haya mambo kuendelea
 
Kwa mara ya kwanza nilipoomba kazi ndani ya Azam Media (Tv na Radio) watu wengi waliniambia si rahisi kupata kazi katika makampuni ya Bakhresa kama wewe si Muislamu. Walioomba kazi hiyo tulikuwa Wakristo 8 na Waislamu 4. Lakini nafasi zilikuwa 13. Cha ajabu kwa Wakristo alichukuliwa mtu mmoja tu lakini Waislamu wote walichukuliwa hata ambao hawakuwa na sifa stahiki.

Hatua hii ilinisukuma na wenzangu kufanya uchunguzi wa kitaaluma. Loh! Yani asilimia 79.4 ya wafanyakazi katika chombo hiki cha habari ni Waislamu. Ni asilimia 19.6 tu ndio wa dini na madhehebu mengine.

My take: Hata kama wewe ni wa dini fulani lakini kama umewekeza katika jamii mchanganyiko si busara kuwabagua wafanyakazi wako kwa udini, ukabila, jinsia nakadhalika maana unaowauzia bidhaa zako si wa Imani yako pekee. Bakhresa lichunguze hili isije ikawa hata wewe hujui ila ni maamuzi ya wakubwa uliowaweka humus ndani.
Kafanye kazi ya kampuni ya Yesu achana na ya Bakhresa
 
Kwa mara ya kwanza nilipoomba kazi ndani ya Azam Media (Tv na Radio) watu wengi waliniambia si rahisi kupata kazi katika makampuni ya Bakhresa kama wewe si Muislamu. Walioomba kazi hiyo tulikuwa Wakristo 8 na Waislamu 4. Lakini nafasi zilikuwa 13. Cha ajabu kwa Wakristo alichukuliwa mtu mmoja tu lakini Waislamu wote walichukuliwa hata ambao hawakuwa na sifa stahiki.

Hatua hii ilinisukuma na wenzangu kufanya uchunguzi wa kitaaluma. Loh! Yani asilimia 79.4 ya wafanyakazi katika chombo hiki cha habari ni Waislamu. Ni asilimia 19.6 tu ndio wa dini na madhehebu mengine.

My take: Hata kama wewe ni wa dini fulani lakini kama umewekeza katika jamii mchanganyiko si busara kuwabagua wafanyakazi wako kwa udini, ukabila, jinsia nakadhalika maana unaowauzia bidhaa zako si wa Imani yako pekee. Bakhresa lichunguze hili isije ikawa hata wewe hujui ila ni maamuzi ya wakubwa uliowaweka humu ndani.
Tupe ratio ya Tbc na Clouds tuone ikoje kwanza
 
Waislam wangekuwa wengi kama wa dini zingine.
Dunia ingekuwa siyo mahali salama kwa kuishi.
PEW RESERCH (USA)
WORLWIDE Catholics 2.3 bilion Muslims 1.85 billios na hiyo mmoja alitangulia miaka mia sita mbele🤔
 
Na hayo niliyoakuandikia ndio yanayosikika sana
Hapana Shida ni kua kuna upande mmeuchagua.

Inamana hujawi sikia kuhusu kuwafanyia wema majirani?

Ina maana hujawahi sikia kuhusu kuishi na watu vizuri?

Ina maana hujawahi sikia kuhusu kunyanyapaa mwanaadam mwenzio kua ni makosa hayo katika uislam.

Mbona video ziko nyingi ebu nenda you tube alaf uone.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wee shoga mbona nimeandika kiswahili chepesi umeshindwa kuelewa, haya katawaze uje nikupakate...
Management ya Azam inawalalamikia kilasiku kuhusu akili zenu fupi, unanikasirikia mimi ndio mmilik wa Azam..? Punguza asila binti yangu mjini hapa utaendelea kulala njaa kwa kutegemea ajila za udini
Na ndio maana amekuuliza nyinyi wenye akili mbona taasisi mlizo jazana ndo taasisi za hovyo ndani ya nchi hii?
 
Kuna shida moja. Muislamu hata asome vipi lazima awe na ujinga Fulani🏃🏃🏃🏃🏃
 
Kuna ubaya muislam aliewekeza mtaji wake binafsi akiwainua waislam wenzake?

Ingekuwa taasisi ya kiserikali hapo ungekuwa na hoja ya kujibiwa.
Hata wewe huna hoja!!!kulingana na sheria za ajira Tz hiyo kitu hairuhusiwi kabisa achana na katiba.Kama ni muislam apewe tu kwakuwa ana sifa hizo hata wawe ni 80% haina shida.Kama hilo unalolisema linawezekana basi wajaribu kutangaza kwenye sifa ya muombaji awe muislam tu,kwakuwa kiwanda cha muislam uone kama sheria haita mbana!!?
 
We jamaa una upotoshaji wa Hali ya juu Sana kwenye comments zako. Na isivyo bahati unaowaquote wanakuwa wepesi,hawawezi kutetea hoja.

Swala la kcmc ambalo unaliongelea kila comment ili kujustify inshu ya Azam TV mbona haviendani? KCMC ni hospitali ya dini ya kikristo. Ile siyo hospital ya serikali. Na wao serikali kutoa ruzuku haifanyi ile hospital isiwe ya dini na/au isiwe na misingi ya dini. The same applies kwa SAINT WARBURGA HOSPITAL (Nyangao hospital) Lindi,ambayo serikali inatoa ruzuku Kama hiyo KCMC na imeifanya kuwa hospital ya wilaya. Lakini ukweli unabaki kwamba hospitali ya Nyangao na Ndanda hospital ni hospitali za kikristo(kikatoliki).

Endeleeni kubishana swala lenu la Azam,acha kuingiza vitu visivyohusiana na mada yenu.
Point sn, kuna chuo cha MU pale Morogoro ni waislamu watupu hatulalamiki sababu ni chuo cha kiislamu
 
naomba kuongezea pia ni washari, waswahili na wagomvi sana. Miaka ya 2010 kuna Quran ilichanwa Canada ila waislamu wa hapa Bongo wakachoma makanisa eti "wanaitetea imani"
Wameshindwa kutetea imani yao kuhusu siku ya EID. Hawa wanasheherekea leo, na wengine kesho..!!! Lakini ukiwaambia wakatetee imani kwa maana ya kupiga au kuuwa wengine, LAZIMA WAENDE
 
Hata wewe huna hoja!!!kulingana na sheria za ajira Tz hiyo kitu hairuhusiwi kabisa achana na katiba.Kama ni muislam apewe tu kwakuwa ana sifa hizo hata wawe ni 80% haina shida.Kama hilo unalolisema linawezekana basi wajaribu kutangaza kwenye sifa ya muombaji awe muislam tu,kwakuwa kiwanda cha muislam uone kama sheria haita mbana!!?
Kwanini wanatusumbua hawa vilaza? tunaweza kudeal nao vizuri sn
 
Hapana Shida ni kua kuna upande mmeuchagua.

Inamana hujawi sikia kuhusu kuwafanyia wema majirani?

Ina maana hujawahi sikia kuhusu kuishi na watu vizuri?

Ina maana hujawahi sikia kuhusu kunyanyapaa mwanaadam mwenzio kua ni makosa hayo katika uislam.

Mbona video ziko nyingi ebu nenda you tube alaf uone.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
We unautaja uislamu wakati mimi nawataja waislamu

Utofauti wa mimi na wewe upo hapo
 
🤣🤣🤣Hata ulichaondika hujui ,ebu rudia kusoma angalau .

Kwa hyo Azam ni wakristo sio? 🤣🤣Kwa nn KCMC iwe ya kikristo ? Kwa sababu mmiliki wake ni mkristo the same kwa Azam mnamuona mdini kwa vile ni muislamu.
Unaandika kwa kutumia masaburi badala ya akili?wewe ndiyo usome Tena nilichokujibu badala ya kunijibu hovyo na kuniwekea dysphoric emojis.
Mbona upumbavu wenu wa KCMC hamuongelei na mnapokea ruzuku kwa hyo serikali ni ya kikristo na kusapot ukristo tu?
Narudia tena kuhusu swala lako la kufananisha KCMC hospital na Azam media.

Ni hivi;

KCMC ni hospitali ya dini ya kikristo Kama ilivyo hospitali ya kiislamu Tanga. Azam media ni private media ambayo haiko based na mifumo ya dini ya kiislamu,na endapo Azam media wangesema moja ya sifa za kuajiri uwe muislamu maana yake mleta mada hoja yake ingekufa na angeonekana ana matatizo ya akili kulalamika. Mfano wako ulipaswa ulinganishe Kati ya Imani tv(Imani media) na Upendo tv(upendo media) inge- make sense. Ila wewe umeleta ujinga kufananisha hospital ya dini na media isiyo ya dini. Unaona kosa lako lilipo Sasa hivi au mtu akuzibue kibao Kisha akili ikukae sawa ndiyo uelewe hoja yangu?
Punguza ujinga unaonekana mpumbavu mbele ya wanajielewa.

Wenzio wengi wanapandikizwa chuki bila ya kujielewa ndo maana hawana majibu.
Focus.
 
Back
Top Bottom