Inatarajiwa Ijumaa Samia atakutana na Makamu wa Rais wa Marekani. Kwanini isiwe Rais mwenziye?

Inatarajiwa Ijumaa Samia atakutana na Makamu wa Rais wa Marekani. Kwanini isiwe Rais mwenziye?

Mbona Maguful alikuwa anamtuma Makamu wake kwenda kwenye vikao vya Wakuu wa Nchi?.

..Ni kwasababu alikuwa anadharau vikao na wakuu wenzake.

..pia alikuwa anaogopa kuzungumza KIINGEREZA.
 
Taarifa muhimu ,USA kumwaga ngano Afrika kufidia pengo la ngano ya Vladimir.
 
Duru zinatabanaisha huenda Samia atakutana na Haris makamu wa Rais wa Marekani.

Maoni yangu;

Hii siyo dharau kwa Rais Samia kusakiziwa kukutana na mtu asiye sawia ki wadhifa wake?

Na kwanini asikutane na Biden ambaye siku hiyo atakuwa palepale White house?

Huenda Samia amepuuzwa na mamlaka za USA 🇺🇸?!

Asingekutana na yeyeote tunge semaje! Utamaduni wa kulalamika tu. Hii sio safari ya kualikwa ni safari ya kutangaza nchi
 
Duru zinatabanaisha huenda Samia atakutana na Haris makamu wa Rais wa Marekani.

Maoni yangu;

Hii siyo dharau kwa Rais Samia kusakiziwa kukutana na mtu asiye sawia ki wadhifa wake?

Na kwanini asikutane na Biden ambaye siku hiyo atakuwa palepale White house?

Huenda Samia amepuuzwa na mamlaka za USA [emoji631]?!
Acha udwanzi
 
Upumbavu huu wa kujadili jinsia na ukabila unaliangamiza Taifa.
Ilishanenwa watu wanaangamia kwa kukosa maarifa!
Umekariri ndio maana unaongea kama mwendawazimu...

Mtu akiongea kitu think, hata dk moja ndio ujibu. Sio ukisikia kitu tu unapanua mdomo.
 
Kwanini usifikirie kwamba Samia ndo kamchagua ili amuingize kingi.
Kwanini huwa mnajiona lesser?

Inferiority complex kwa watanganyika is so real.

Mtanganyika muda wote anawaza kuonewa tu, haamini uwezo wake na hawazi ushindi.

Kwa sababu hizi hizi wanakataa uraia pacha utasikia "tutaibiwa", "tutaporwa ajira" wenyewe hawawazi kuwashinda wengine wanawaza kushindwa tu.
 
Wew kweli ni mpumbavu( ashak’um sio tusi) .makamu wa Rais wa Marekani ni hadhi kubwa sana tena tushukuru Rais wetu ameheshimishwa kukutana na VP wa The US. Kusema Rais wa Marekani ana hadhi sawa na Rais wa Tz au nchi yoyote duniani ni kuwa mpumbavu au mtu uliyetawaliwa na chuki! Mathalani leo hii Biden na Ramaphosa( Rais wa nchi kubwa Afrika) wakienda China hawatapata mapokezi sawa
Ningekuwa waziri wa mambo ya ndani na nikawa na uhakika wewe ni raia wa Tanzania. Ningetumia vyombo husks vikuhoji kwa nini usiadhibiwe kwa kuidhiaki mamlaka ya nchi yetu.
====
Hivi tunaweza kupata taarifa fupi ya malengo ya zaira hii ya Rais wetu Mpendwa?
 
Duru zinatabanaisha huenda Samia atakutana na Haris makamu wa Rais wa Marekani.

Maoni yangu;

Hii siyo dharau kwa Rais Samia kusakiziwa kukutana na mtu asiye sawia ki wadhifa wake?

Na kwanini asikutane na Biden ambaye siku hiyo atakuwa palepale White house?

Huenda Samia amepuuzwa na mamlaka za USA [emoji631]?!
Hoja yako ni ya kipuuzi. Rais Samia akutane na Biden au makamu wake au foreign secretary, siyo tatizo. Cha muhimu ni agenda aliyoendea. Kama ajenda aliyoendea inaweza kuwa addressed na Makamu wa Rais au waziri, kuna tatizo gani?

Kwanza ni kujitia uwendawazimu kuamini kwamba Rais wa hivi vinchi vyetu maskini eti ni sawa na Rais wa US, Germany, China, Italy, n.k. Ni kujipa imani isiyoishi.
 
Duru zinatabanaisha huenda Samia atakutana na Haris makamu wa Rais wa Marekani.

Maoni yangu;

Hii siyo dharau kwa Rais Samia kusakiziwa kukutana na mtu asiye sawia ki wadhifa wake?

Na kwanini asikutane na Biden ambaye siku hiyo atakuwa palepale White house?

Huenda Samia amepuuzwa na mamlaka za USA [emoji631]?!
Kwani Biden anahusika na Royal Tour?
 
Labda awe ni Rais wako pamoja na mke wako🐒🐒🐒
View attachment 2187143
Habari za hapo Bujumbura Mkuu, sasa wewe hauoni kama inflation imekuwa ni global issue? leo U.S.A anatoa akiba yake ya mafuta ku cover gap na bado anataka atoe ngano ili ku feed Africa kwako wewe hauoni kama hii ni global issue?
 
Duru zinatabanaisha huenda Samia atakutana na Haris makamu wa Rais wa Marekani.

Maoni yangu;

Hii siyo dharau kwa Rais Samia kusakiziwa kukutana na mtu asiye sawia ki wadhifa wake?

Na kwanini asikutane na Biden ambaye siku hiyo atakuwa palepale White house?

Huenda Samia amepuuzwa na mamlaka za USA [emoji631]?!

Labda atakutana na Mange Kimambi.
Hivi alikwenda kumpokea?
IMG_0843.png
 
tukiiba kuku tunafungwa ila wanaojipimia kuiba hawafungwi R.i.P MAGHUFULI ndiyo maana walikuwa wanakuchukia sana
 
Back
Top Bottom