Inauma sana na haivumiliki

Ukiamua Kutoa,toa bila kutarajia Malipo. Stress zitakaa mbali nawe[emoji120]
 
Naamini mwanamke ananza then mafanikio maana wengi hufanikiwa wakiwa na miaka 35+ so unakuta mtu tayali yupo kwenye mahusiano au alikuwa kwenye mahusiano
siyo kweli. yanaanza mafanikio kisha anakuja mwanamke. ushawahi kumuona chizi anamiliki mwanamke? Dunia hii hakuna mwanamke ambaye anaweza ishi na mwanamme asiye na kitu chochote cha thamani.

Kwahiyo kwa kifupi ni kwamba kila mwanamme mwenye mafanikio ni lazima kuna wanawake kibao nyuma yake wanafukuzia mafanikio yake.

Na siyo kwamba mwanamme aliyefanikiwa kuna mwanamke nyuma yake aliyemsaidia kupata hayo mafanikio.

kama unabisha, nitajie mwanamme yeyote duniani aliyepata mafanikio kupitia kwa mke wake.
 
Me kiukweli mwanamke anayenivumilia kwenye shida, nikijipata hataniona. Anivumilie at her own risk of wasting her time. Niache kutafuta pisi kali nifanye yale nilishindwa kufanya kipindi sina hela kisa mtu kunivumilia kweli, hapana kabisa.
 
Dada ni mara ngapi tukuambie kuwa masikini hawekewi kiapo?

Wanawake wenzio wanaoangalia pesa usifikiri wajinga, wameona na wameshuhudia. Hautaishi miaka mingi kihivyo kiasi kila kitu mpaka kikutokee wewe ndio ujifunze, we learn through others.

Mtu asiguse comment yangu. 😅
 
Hakuna la kumfanya kwanini wewe mzazi wake...huwa mnalazmisha kusema mmepotezewa muda wewe log out utapata type yako peponi
 
Huku ndiyo kukua kimahusiano mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…