Inawezekana Jaribio la Kumuua Lissu lilimkasirisha sana Mungu


kwahiyo Mungu akikasirika anaua watu!!!!

[emoji16][emoji16][emoji16]kutompenda magufuli na utawala wake haimaanishi mtumie micundu kufikiri.
 
Kwani Chacha Wangwe ilikuwaje?
Aliomba katiba ya chama ifuatwe. Mwenyekiti akae madarakani kwa vipindi viwili vya miaka mitano mitano kama ilivyokuwa kwa wenyeviti wengine. Kauli ambayo ilimchukiza mwenyekigoda wa chama na kuamua kumshughulikia ili asije kujitokeza mungine wa kutaka demokrasia ya kweli ndani ya chama. Sasa huenda kesi hizi ni mwanzo tu wa yale mengi yaliofanywa na mwenyekigo huyo. Tusubiri.
 
Kwani Mungu alimfanya nini Sauli?
kwahiyo Mungu akikasirika anaua watu!!!!

[emoji16][emoji16][emoji16]kutompenda magufuli na utawala wake haimaanishi mtumie micundu kufikiri.
 
Duuh basi nae mwenyekigoda ajiandae
 
Umenikumbusha timu ngumu miaka ile Depotivo la Coruna "Super Depo" ya akina Walter Pandiani, Roy Makaay nk
 
Kila kitu kimepangwa, Tundu Lisu na Samia wote wamoja, ukweli utakuja kujulikana pale ambapo Tundu Lisu hatopewa alichoaahodiwa au kidogo ya kile alichotarajia hapo ndipo moto utakapowaka, na wananchi kupata mwanya wa kuanza connect dotes, na hilo linakuja kwani matarajio ni makubwa watu wanaosubiri ni wengi nafasi walizoadiana ni chache, isitoshe Corona karibia inaisha na Mzungu hatakuwa na maslahi mengine yoyote Tanzania …
 
Umeongea kama nabii unajua watu wengi hasa ccm hawafatili anachoongea lissu , yeye huwa anashauri serikali ila kwa lugha ya kukera. kama rais atafata ushauri wa tundu lissu atafaidika sana.
 
UPO SAHIHI Hasira ya MUNGU Bado IPO Mpaka WAHUSIKA WOTE WAFE
 
Hio aya ya mwisho iondoe kabisaaaa, eti apewe ubunge kumfuta machozi?,unadhani jamaa anahongeka kirahisi hivyo ?....
 
Nonsense [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Kwanini hawakuwa na msimamo kama wale mama Jusi watatu wakati wa Herode?
 
Hivi wewe unaamini katika nchi hii kiongozi wa upinzani anaweza kutekeleza mauaji ya mtu maarufu kama Wangwe akabaki salama? Kweli?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kwani unateseka ukiwa wapi?
 
Je ameandika uongo? Raja hata moja ambalo c la kweli Kati ya hayo aliyoandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…