Inawezekana Jaribio la Kumuua Lissu lilimkasirisha sana Mungu

Aisee, we mpumbavu mungu yuko busy na mambo ingine limuumize la huyo pimbi mkimbizi?.
We pumbavu sana katika wote niliowasoma mwaka huu.
Mkimbizi wa majanga ya mabadiliko ya tabia ya nchi sio ? Kama kimbunga mafuriko nk
 
Wee mzee unazeeka vibaya sana
Yaani Mungu aanze kupoteza muda kwa ajili ya mtu ambaye hata wapiga kura wake huko ikungi kawakimbia zamani tu.acha incident iliyotokea dom. Na kakimbia tena kujibanza ubalozi mpk kakimbia leo anakula kuku tu(cheap)
Bado we unamuuliza mungu afanye nini na hawa wachumia tumbo?
Muacheni mungu afanye kazi zingine.
 
Swali gumu hapa ni kuwa gari la Lissu lililoshambuliwa lilikuwa left or right handed?

Kama ni magari yetu haya ambayo bos hukaa kushoto, iweke Lissu aliumia mguu wa kulia badala ya kushoto ili hali dereva wake hakuumia?

Wajuvi wa mambo hebu andikeni kwa vina nipate kuelewa.

Povu si busara wapendwa.

..lissu ameumia maeneo mengi.

..ameumia mkono wa kushoto.

..pia ameumia mkono wa kulia.

..risasi zimempata miguu yote miwili.

..pia zipo risasi zilizompata tumboni.

..Na kuna nadharia kwamba jeraha la risasi huwa dogo risasi ilipoingia na kubwa ilipotokea.

..upo uwezekano kwamba Lissu aligeuka ktk kujaribu kujikinga, au kishindo cha risasi alizorushiwa kiligeuza mwili wake, au yote mawili.

..jambo la msingi hapo ni kwamba Lissu alipigwa risasi.

..masuala ya risasi zilipigwa toka upande upi yangekuwa na msingi kama waliomshambulia wangekuwa wamekamatwa halafu baadhi yao wakawa wanakana kwamba hawakufyatua silaha zao.

..Jambo la kushangaza ni kwamba Polisi hawana suspect hata mmoja.

..Kwa maoni yangu aliyeondoa walinzi wa area D siku aliyeshambuliwa Lissu anawafahamu wahusika wa tukio lile.
 
Hivi wewe unamjua Mungu kweli? Unadhani Mungu ni kama mwanadamu kiasi kwamba kuna matukio huwa yanamshitukiza bila yeye kujua?
Kwa taarifa yako Mungu ni "All knowing", anajua mambo yote hata kabla hayajatokea, kwa hiyo hakuna kitu chochote kinachoweza kutokea na kumrusha roho!
Halafu kwa nini ashitushwe na tukio la lisu peke yake, yeye ni nani? Naye si binadamu wa kawaida tu kama wengine; mdhambi tu kama wewe na watu wengine walivyo?!
Msimuingize Mungu kwenye mambo yenu ya kipuuzipuuzi.
 
Namba 1 kipindi cha Lissu- Deportivo la Corunia ilifanya yake
Duh, hii Depotivo yako ni karma
Namba mbili kipindi cha Lissu- Alijawa na huruma akaenda kumsalimia Lissu nairobi Mungu akampa Urais
This could be true, na ndio mambo ya karma, ukitenda mema unalipwa mema!. Huyu Mama ni mwema kweli.
Katibu Mkuu kiongozi kipindi cha Lissu- Huyu ndo anasimamia shughuli za Tiss nae deportivo la corunia ilifanya yake
Duh...!. Hii karma hii...
Kipilimba na Musalika- DG na DDG TISS- hawa wote hawapo kwenye nafasi zao
Duh...!
Mambosasa- Huyu alizuia maombi juu ya Lissu sasa haijulikani kama kastaafu au la
Duh...!.
Balozi sokoine- Huyu aliondolewa ubalozi ubelgiji baada ya kwenda hospitali kumsalimia Lissu. Leo ni Katibu Mkuu mambo ya nje cheo kikubwa kuliko balozi
Tutende wema, tutalipwa mema!
Kalemani ambae inasemwa alikuwa jirani wa Lissu na alihusika kutoa cctv camera za tukio la Lissu nae sio waziri tena
Karma hii
Job Ndugai- Huyu alizuia pesa za matibabu za Lissu na kuzuia mshahara wa Lissu, Kwa yanayoendelea sasa CCM inaonekana hata mwezi machi hakanyagi akiwa Spika. Katiba inasema spika akipata uspika kutokana na kuwa mbunge akipoteza ubunge anapoteza uspika. Je, CCM watamvua uanachama hivyo kukosa ubunge na uspika? Tusubiri
Hapana, CCM hawawezi kumvua ubunge kwasababu hana kosa lolote kubwa la kustahili kuvuliwa uanachama. Kitu kinachoweza kufanyika ni wahavithina wa CCM wanaweza kushinikiza avuliwe uspika lakini sio kuvuliwa ubunge.
Waliotenda wema kwa Lissu, Mungu kawabariki, waliotenda ubaya kawaadhibu! Sasa Je jaribio la kumuua Lissu lilimkasirisha sana Mungu?
Karma acts both ways, ukitenda mema unalipwa mema, ukitenda uovu unalipwa uovu. Lissu naye sii malaika, hivyo kilichomtokea Lissu pia kinaweza kuwa ni malipo ya karma ya mambo yake maovu ya sirini, mfano walivyomsulubu yule mlinzi wa Dr. Slaa, kufukuza watu bila kufuata katiba, kumsingizia Lissu usaliti, akina sisi wazee wa karma, tuliwapa angalizo... Opinion: Kung'atuka Kwa Zitto, CHADEMA, Msishangilie, Mkajisahau, Jiandaeni kwa "Karma!"
Mwisho Naona Lissu akirejea Mama Samia atamteua kuwa Mbunge ili kumfuta machozi!
Naunga mkono hoja, tena hili, hata makada contemporary wa CCM, tulimshauri JPM
Hili naamini Hili kukifanyika, litasaidia sana kuwapooza na kumfuta sio tuu machozi, bali atamfuta machozi, jasho na damu ile ya zile pyu pyu alizomiminiwa!.
Happy New Year.
P
 
Namba 1 kipindi cha Lissu- Deportivo la Corunia ilifanya yake

Namba mbili kipindi cha Lissu- Alijawa na huruma akaenda kumsalimia Lissu nairobi Mungu akampa Urais

Katibu Mkuu kiongozi kipindi cha Lissu- Huyu ndo anasimamia shughuli za Tiss nae deportivo la corunia ilifanya yake

Kipilimba na Musalika- DG na DDG TISS- hawa wote hawapo kwenye nafasi zao

Mambosasa- Huyu alizuia maombi juu ya Lissu sasa haijulikani kama kastaafu au la

Balozi sokoine- Huyu aliondolewa ubalozi ubelgiji baada ya kwenda hospitali kumsalimia Lissu. Leo ni Katibu Mkuu mambo ya nje cheo kikubwa kuliko balozi

Kalemani ambae inasemwa alikuwa jirani wa Lissu na alihusika kutoa cctv camera za tukio la Lissu nae sio waziri tena

Job Ndugai- Huyu alizuia pesa za matibabu za Lissu na kuzuia mshahara wa Lissu, Kwa yanayoendelea sasa CCM inaonekana hata mwezi machi hakanyagi akiwa Spika. Katiba inasema spika akipata uspika kutokana na kuwa mbunge akipoteza ubunge anapoteza uspika. Je, CCM watamvua uanachama hivyo kukosa ubunge na uspika? Tusubiri

Waliotenda wema kwa Lissu, Mungu kawabariki, waliotenda ubaya kawaadhibu! Sasa Je jaribio la kumuua Lissu lilimkasirisha sana Mungu?

Mwisho Naona Lissu akirejea Mama Samia atamteua kuwa Mbunge ili kumfuta machozi!
Bwana Mungu huwainua wenye Haki.

Asante kwa bandiko Murua. Kwa uchambuzi huu nadhani wameelewa
 
Unazungumzia mungu au MUNGU. Mungu sio athumani anayechagua wa kumjudge. Unajijudge mwenyewe Lea matendo yako. Wema na ubaya wako au wa Lissu, au mimi uko wazi kwa ajuaye yote. So kama uonevu ungekuwa unapewa majibu ya ghafla kwa manufaa ya wanyonge nahisi Afrika ingekuwa ndo ulaya na marekani. Maana hao ndo wametunyonya sana. Wameua Pia viongozi kwa manufaa yao.

So Sijui kama nimewahi kumsoma mtu mpumbavu na mjinga kama wewe. Very subjective kufit itikadi yako ya kisiasa. Unatia Aibu. Ungempa kwanza mkeo asome kabla ya kuppst.
 
Umeandika Vyema sana ila Umemaliza Kiboya sana
 
Hkuna

Mwisho Naona Lissu akirejea Mama Samia atamteua kuwa Mbunge ili kumfuta mac
Munhu ambaye ndiye asili ya w

Mungu ambaye ndiye asili ya wema wote hawezi kufurahia kuuwawa kwa mtu asiye na hatia. Ndiyo maana anakemea hata vita visivyo vya haki!!
 
Hkuna
Namba 1 kipindi cha Lissu- Deportivo la Corunia ilifanya yake

Namba mbili kipindi cha Lissu- Alijawa na huruma akaenda kumsalimia Lissu nairobi Mungu akampa Urais

Katibu Mkuu kiongozi kipindi cha Lissu- Huyu ndo anasimamia shughuli za Tiss nae deportivo la corunia ilifanya yake

Kipilimba na Musalika- DG na DDG TISS- hawa wote hawapo kwenye nafasi zao

Mambosasa- Huyu alizuia maombi juu ya Lissu sasa haijulikani kama kastaafu au la

Balozi sokoine- Huyu aliondolewa ubalozi ubelgiji baada ya kwenda hospitali kumsalimia Lissu. Leo ni Katibu Mkuu mambo ya nje cheo kikubwa kuliko balozi

Kalemani ambae inasemwa alikuwa jirani wa Lissu na alihusika kutoa cctv camera za tukio la Lissu nae sio waziri tena

Job Ndugai- Huyu alizuia pesa za matibabu za Lissu na kuzuia mshahara wa Lissu, Kwa yanayoendelea sasa CCM inaonekana hata mwezi machi hakanyagi akiwa Spika. Katiba inasema spika akipata uspika kutokana na kuwa mbunge akipoteza ubunge anapoteza uspika. Je, CCM watamvua uanachama hivyo kukosa ubunge na uspika? Tusubiri

Waliotenda wema kwa Lissu, Mungu kawabariki, waliotenda ubaya kawaadhibu! Sasa Je jaribio la kumuua Lissu lilimkasirisha sana Mungu?

Mwisho Naona Lissu akirejea Mama Samia atamteua kuwa Mbunge ili kumfuta mac

kwahiyo Mungu akikasirika anaua watu!!!!

[emoji16][emoji16][emoji16]kutompenda magufuli na utawala wake haimaanishi mtumie micundu kufikiri.
Soma biblia adhabu alizokuwa akiwapa wanaomuasi au kumkosea utaona. Ni kufa tu.
 
Acha kumhusisha Mungu na unafiki wenu lisu ni nani sasa yu bora kuliko watanzania waliokufa kibiti au chacha wangwe
 
Namba 1 kipindi cha Lissu- Deportivo la Corunia ilifanya yake

Namba mbili kipindi cha Lissu- Alijawa na huruma akaenda kumsalimia Lissu nairobi Mungu akampa Urais

Katibu Mkuu kiongozi kipindi cha Lissu- Huyu ndo anasimamia shughuli za Tiss nae deportivo la corunia ilifanya yake

Kipilimba na Musalika- DG na DDG TISS- hawa wote hawapo kwenye nafasi zao

Mambosasa- Huyu alizuia maombi juu ya Lissu sasa haijulikani kama kastaafu au la

Balozi sokoine- Huyu aliondolewa ubalozi ubelgiji baada ya kwenda hospitali kumsalimia Lissu. Leo ni Katibu Mkuu mambo ya nje cheo kikubwa kuliko balozi

Kalemani ambae inasemwa alikuwa jirani wa Lissu na alihusika kutoa cctv camera za tukio la Lissu nae sio waziri tena

Job Ndugai- Huyu alizuia pesa za matibabu za Lissu na kuzuia mshahara wa Lissu, Kwa yanayoendelea sasa CCM inaonekana hata mwezi machi hakanyagi akiwa Spika. Katiba inasema spika akipata uspika kutokana na kuwa mbunge akipoteza ubunge anapoteza uspika. Je, CCM watamvua uanachama hivyo kukosa ubunge na uspika? Tusubiri

Waliotenda wema kwa Lissu, Mungu kawabariki, waliotenda ubaya kawaadhibu! Sasa Je jaribio la kumuua Lissu lilimkasirisha sana Mungu?

Mwisho Naona Lissu akirejea Mama Samia atamteua kuwa Mbunge ili kumfuta machozi!
Very interesting mkuu. Sikuyajua haya Asante kwa kunifumbua macho.
 
Unazungumzia mungu au MUNGU. Mungu sio athumani anayechagua wa kumjudge. Unajijudge mwenyewe Lea matendo yako. Wema na ubaya wako au wa Lissu, au mimi uko wazi kwa ajuaye yote. So kama uonevu ungekuwa unapewa majibu ya ghafla kwa manufaa ya wanyonge nahisi Afrika ingekuwa ndo ulaya na marekani. Maana hao ndo wametunyonya sana. Wameua Pia viongozi kwa manufaa yao.

So Sijui kama nimewahi kumsoma mtu mpumbavu na mjinga kama wewe. Very subjective kufit itikadi yako ya kisiasa. Unatia Aibu. Ungempa kwanza mkeo asome kabla ya kuppst.
Hata uwatetee vipi
 
Back
Top Bottom