Inawezekana Jaribio la Kumuua Lissu lilimkasirisha sana Mungu

1.Swali gumu kwann wale walinzi waliofungua geti hadi sasa awajakamatwa au kuhojiwa, kwann waliwafungulia geti magaidi.
2.Baada ya tukio kwann waliondoa cctv camera iliyonasa matukio.
3.Kwann awataki wachunguzi wa kimataifa waje.
4.Kwann waliwazuia wabunge kwenda hospital kumuona.
5.Kwann waliwazuia na kuwakamata watz kujitolea damu na kumuombea Lisu.
6.Kwann ndugai alimnyima Lisu haki zake ikiwemo pesa za matibabu.
7.Kwann jalada la upelelezi ishu ya Lisifungwe.
kwann wale walinda geti walipewa uhamisho baada ya tukio
9.
 
Kwahiyo waliokufa hawakupata neema?
Ukipoteza ulichopewa na Mungu Ina maana Neema ya Mungu imekutosha au imeishia hapo. Hivyo waliotangulia mbele za haki Neema ya Mungu imeishia hapo.
 
kwahiyo wewe usiye nwovu unatarajia kuishi miaka mingapi ndugu yetu roho mtakatifu[emoji23][emoji23]

mnapenda kuiparamia bible kama mti wa mpera na mmevaa madela huku hamjavaa chupi.
Hakuna dhambi isiyosameheka isipokuwa ya kumkufuru roho Mtakatifu. Ni dhambi mbaya umefanya ya kufanya utani kwa kumuhusisha roho Mtakatifu, hilo litabaki nafsini mwako hata ukilala usingizi. Unamlinganishaje mwanadamu na roho Mtakatifu?.

Unamfanyia utani roho Mtakatifu Halafu unadai nimeiparamia Biblia. Hauna uhalali wa kunihoji kuhusu Biblia Kama unaifanyia dhihaka nafsi ya tatu ya Mungu. Kwa dhambi uliyoifanya nimwachie Mungu anayehukumu kwa yote.

Wewe Ni wa kuhurumiwa maana hata hujui umtanie Nani na wapi?

Kwa swali laki, mimi nategemea kuishi miaka ya kibiblia 70 mpaka 80. Mungu akinipendelea zaidi 130. Halafu haku
 
Makonda anaesemekana ni muongoza kikosi cha jaribio hilo la mauaji sio tena RC,pia ni miongoni wa watuhumiwa waliokatazwa kukanyaga US,he is wanted in and out of the country...hana amani
 
Acha dharau na kiburi, Nani anasoma Biblia Kama kitini. Ungeijua Biblia usingemdhihaki Roho Mtakatifu. Mimi nimekupa mifano, wewe ungeleta mifano badala yake vijembe vimekujaa na dharau. Biblia naifahamu kwa kiasi chake Hadi Biblia ilivyogawanywa kimafungu na jinsi ya kuitafsiri. Punguza dharau kabisa.

Wewe unajichanganya Sana. Daudi alipofanya dhambi ya Uzinzi Mungu alipomtuma nabii wake alimwambiaje?. Alimwambia Hakika utakufa, ndipo Daudi akatubu na Mfalme Sauli alipokataa kutii maagizo ya Mungu alikufa.

Swali langu kwako Ni hili, hivi kizazi Cha Nuhu kilikuja baada ya gharika au kabla ya gharika. Sodoma na ghomorrah walikuwepo kabla au baada ya gharika, na waamaleki walikuwepo kabla au baada ya gharika?.Kasome vizuri kuhusu ahadi aliyoitoa Mungu baada ya gharika maana unachanganya. Je ahadi ilikuwa kuangamiza kwa maji au la?.

Mungu huchukia wenye dhambi lazima uelewe Hilo, ndio maana Yesu Kristo anasema tawi lisilozaa matunda mema hukatwa na kutupiliwa mbali. Wizi Ni dhambi haijalishi aliyefanya.
 
Hio aya ya mwisho iondoe kabisaaaa, eti apewe ubunge kumfuta machozi?,unadhani jamaa anahongeka kirahisi hivyo ?....
Kama hahongeki kwanini alibadili gia angani kuhusu madini yetu? Mi namwombea awe Rais kabisa ili tuone kama atafanya hata robo ya alichofanya hayati...Mungu huwaumbua wanafiki!
 
Usiwaze sana. Hayo ni maswali rahisi kabisa. Majibu anayo Mbowe.
 
Lile jaribio lilifanywa na wapumbavu waliokuwa na uwezo wa kupata silaha sababu ya vyeo vyao thus halikuwa la weledi
Lakini watawala walitakiwa walifanyie kazi kuwapata hao wapumbavu. Watawala kulikalia kimywa tukio hilo na kuzidi kumtesa mhanga wa tukio kwa kumnyima matibabu na kuzuia watu wasiende kumuona Nairobi, hiyo ilimaanisha watawala walikua sehemu ya wapumbavu.
 
We ni fala kweli, mambo ya vijiweni unaleta hadharani? Kwa hiyo Mwenyekiti alishirikiana na serikali ya CCM kuendesha ile kesi ya Mallya hadi akafungwa miaka mitatu kwa reckless driving iliyosababisha kifo cha Wangwe?
Upuuzi ukiendekezwa unapofusha, upumbavu huu ulisha kuwa outdated
 
Unaambiwa baada ya dereva kuiona hiyo hatari ya washambuliaji, alimshauri Tundu Lissu kulaza kiti na hivyo Tundu Lissu aligeuka na kulalia tumbo yaani kifudifudi (sasa waweza kuiona picha ni kwa nini aliumia zaidi upande wa kulia). Dereva alishuka akawa chini bila washambuliaji kumuona na akaenda kujibanza kwa gari iliyokua karibu, kwakua washambuliaji walikua wanafanya kitendo kwa haraka, hawakuweza kuwa na muda kutambua dereva yumo ndani ya gari au la. Baada ya washambuliaji kuondoka, alirudi kuja kutoa msaada. Kama kiti kisingelazwa, Tundu Lissu angeuwawa, maana target ya washambuliaji ilikua zaidi usawa wa mtu aliyekaa. Gari kuwa na tinted ndiyo ulikua msaada zaidi kwa kuwafanya washambuliaji wasiweze kuona ndani ya gari.

Mengine jiongeze zaidi.

Cc Ame Avriel
 
Cc Ame Avriel
 
Una tabia zote za mwanaume. Asante.
 
Mbona ninyi makada wa CCM contemporary hamukwenda kumuangalia Lissu Nairobi?
 
Hoja yangu haipo katika kujadili kuwa alipigwa au hakupigwa na nani...Hoja yangu ni kwenye root of the problems not outcomes...Kwanini ameshiriki dhambi ya kumsaliti mtu asiye kuwa na hatia? I.e mtanzania wa kawaida asiyejua kulia wala kushoto? Hayo mengine atajuana na waovu wenzako...Why is he playing a victim yet he is the cause of all this confusion?

Hata yeye karma haitamwacha kama ipo...God is justice, sovereign and all mighty!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…