Inawezekana Jaribio la Kumuua Lissu lilimkasirisha sana Mungu

Inawezekana Jaribio la Kumuua Lissu lilimkasirisha sana Mungu

Hiyo ni faulty and hopeless thinking! Lissu sio Mtanzania wa kwanza (na hawezi kuwa Mtanzania wa mwisho) kushambuliwa criminally. Wapo watu wengi wasiokuwa na hatia waliopata (na watakaopata) kushambuliwa criminally na wengine hata kuuawa kabisa!

Mseme kama kwenu Lissu ndiye Yesu (mwana pekee wa Mwenyezi Mungu)!
Unaubariki unyama wa mashambulizi criminally, kwa sababu yeyote ile ?!.

Kwanini umshambulie mtu kisa mnatofautiana mawazo !!
 
Hiyo ni faulty and hopeless thinking! Lissu sio Mtanzania wa kwanza (na hawezi kuwa Mtanzania wa mwisho) kushambuliwa criminally. Wapo watu wengi wasiokuwa na hatia waliopata (na watakaopata) kushambuliwa criminally na wengine hata kuuawa kabisa!

Mseme kama kwenu Lissu ndiye Yesu (mwana pekee wa Mwenyezi Mungu)!
Wivu utakuua. Watu wanaongea na kuweka mifano wewe unatia maneno matupu
 
Kijana hata kama una njaa, jaribu kutumia njia nyingine nzuri ya kujipatia riziki ya halali. Acha kumuhusisha Mungu na upuuzi wako. Ila kama wachawi na waganga wa kienyeji nao hujifanya kumtanguliza mungu ktk ushenzi wao, basi sishangai kwa mleta mada kumuhusisha ktk upuuzi wake. Najua katibu mkuu atakutumia bando na buku 5 ya kula, lkn huko ulipo utaendelea kuteseka, kwa kosa la kuuza utu wako sababu ya njaa yako.
Jibu hoja, wacha kuroroja
 
Mbona hio efficiency ya mode of operation ya unayosema ni asilimia kama mbili (2%.).., Yaani kama ni mashine wakati wengine wanatumia Nuclear Power wewe unatumia nguvu za kuku kuvuta mkokoteni....
 
Wivu utakuua. Watu wanaongea na kuweka mifano wewe unatia maneno matupu

Sio bure; una uvivu mkubwa wa kufikiri!

Dr. Ulimboka hakushambuliwa? Major General Imran Kombe hakuuawa? Journalist Daudi Mwangosi hakuuawa? The list of victims is endless!
 
Sio bure; una uvivu mkubwa wa kufikiri!

Dr. Ulimboka hakushambuliwa? Major General Imran Kombe hakuuawa? Journalist Daudi Mwangosi hakuuawa? The list of victims is endless!
Sisi tuna reference ya Lissu na mlolongo wa matukio yaliyoambatana. Wewe leta ya kwako.
 
Sisi tuna reference ya Lissu na mlolongo wa matukio yaliyoambatana. Wewe leta ya kwako.

Ndiyo maana nimesema andiko juu ya huo mlolongo wa matukio ni matokeo ya faulty and hopeless thinking, because we know for sure that Lissu isn’t the only child of God. Mseme kama Lissu ndiye Yesu wenu!
 
Namba 1 kipindi cha Lissu- Deportivo la Corunia ilifanya yake

Namba mbili kipindi cha Lissu- Alijawa na huruma akaenda kumsalimia Lissu nairobi Mungu akampa Urais

Katibu Mkuu kiongozi kipindi cha Lissu- Huyu ndo anasimamia shughuli za Tiss nae deportivo la corunia ilifanya yake

Kipilimba na Musalika- DG na DDG TISS- hawa wote hawapo kwenye nafasi zao

Mambosasa- Huyu alizuia maombi juu ya Lissu sasa haijulikani kama kastaafu au la

Balozi sokoine- Huyu aliondolewa ubalozi ubelgiji baada ya kwenda hospitali kumsalimia Lissu. Leo ni Katibu Mkuu mambo ya nje cheo kikubwa kuliko balozi

Kalemani ambae inasemwa alikuwa jirani wa Lissu na alihusika kutoa cctv camera za tukio la Lissu nae sio waziri tena

Job Ndugai- Huyu alizuia pesa za matibabu za Lissu na kuzuia mshahara wa Lissu, Kwa yanayoendelea sasa CCM inaonekana hata mwezi machi hakanyagi akiwa Spika. Katiba inasema spika akipata uspika kutokana na kuwa mbunge akipoteza ubunge anapoteza uspika. Je, CCM watamvua uanachama hivyo kukosa ubunge na uspika? Tusubiri

Waliotenda wema kwa Lissu, Mungu kawabariki, waliotenda ubaya kawaadhibu! Sasa Je jaribio la kumuua Lissu lilimkasirisha sana Mungu?

Mwisho Naona Lissu akirejea Mama Samia atamteua kuwa Mbunge ili kumfuta machozi!
Katika vitu nimegundua kuwa jamaa alikuwa ni shetani kabisa, ni ile alivyoamuru baada ya uchaguzi wa mkuu Tundu Lissu auawe. Yaani hakukata tamaa ile ya kwanza alivyomkosa akataka ammalize Tena! Mungu akamtumia balozi wa ujerumani kumuokoa Lissu. Yule mwendazake alikuwa pepo chafu
 
Ndiyo maana nimesema andiko juu ya huo mlolongo wa matukio ni matokeo ya faulty and hopeless thinking, because we know for sure that Lissu isn’t the only child of God. Mseme kama Lissu ndiye Yesu wenu!
Unajua kama Nabii Daniel aliokolewa kwenye Shimo la Simba? Jaribu na wewe ukacheze na sharubu za Simba ndio utalewa kama Daniel was the only son of God au La!
 
Unajua kama Nabii Daniel aliokolewa kwenye Shimo la Simba? Jaribu na wewe ukacheze na sharubu za Simba ndio utalewa kama Daniel was the only son of God au La!

That isn’t the point! Alipomuokoa Nabii Daniel, Mungu aliwaangamiza simba wote au aliwafanya nini?
 
alimpa upofu wa macho kabla sauli aanze kumtumikia.

kifo sio adhabu ya Mungu kwa waovu,jifunzeni mambo basic tu haya katika imani.
Wewe unajifanya kujua lakin hamna kitu yoyote, Soma Mwanzo 38: 1-25 Kisa Cha Eri na Onani. Kuna wakati Mungu huwa anachukia anamuua mtu anaefanya chukizo kwake palepale.. mbona hizo zipo nyingi tu.
 
Mimi nilimuona kwa Short Distance Mara ya Kwanza Kawe Tanganyika parkers siku ya kufunga kampeni. Kuna namna nilikuwa najisikia isiyo ya kawaida.

Sisi watu wa kiroho tunamchukulia tofauti kabisa na watu wengine wanavyomuona.
Hata Askofu Mwingira amewahi kuzungumzia ishu ya Lissu kuwa wa tofauti. Maccm tu ndo hayawezi kuona ajabu mtu anaweza kupigwa risasi 16 na akaweza kuishi. Angeweza kuvuja damu tu na kufa. Tena kwa bunduki za kivita..
 
Tembo anapigwa moja tu na kulala mazima
 
Wewe unajifanya kujua lakin hamna kitu yoyote, Soma Mwanzo 38: 1-25 Kisa Cha Eri na Onani. Kuna wakati Mungu huwa anachukia anamuua mtu anaefanya chukizo kwake palepale.. mbona hizo zipo nyingi tu.
Hata watoto wa Kuhani Eli walimchukiza Mungu na akaamua kuwaondoa. Finiasi na Ofiri
 
Wewe unajifanya kujua lakin hamna kitu yoyote, Soma Mwanzo 38: 1-25 Kisa Cha Eri na Onani. Kuna wakati Mungu huwa anachukia anamuua mtu anaefanya chukizo kwake palepale.. mbona hizo zipo nyingi tu.

nyinyi ndio mnafanya bible ionekane haiekeweki,kumbe shida ni vichwa vyenu.

swali la ufahanu kwako,ikiwa Mungu huua anayemchukiza??wewe unemchukiza nini???
 
Back
Top Bottom