Inawezekana kosa la Kakoko ni kuzuia mradi wa Bandari ya Bagamoyo

Kwamba Jiwe alikuwa hakosei? Yeye alivyoingia alipiga chini miradi mingapi ya Mkwere? Jiwe ameshakufa habari zake zimeshaisha...
 
Mwizi tu hana lolote

Anawatesa watumishi wa uma yeye na jamaa zake wanakula pipi
 
Una mtetea kaka yako ... Haahaha
 
Upo sahihi 100%
 
Mwambieni Mkwere atuache tujenge nchi yetu,, kama miaka 10 aliyokua madarakani haikumtosha basi,, imeisha hiyo
Kungekuwa na possibility ya "multiple likes" ningekuwekea.

Kuna watu wanapaswa kutanguliza mbele maslah ya nchi kuliko kulinda mkate uliochacha walioutafuna miaka 10 iliyopita
 
hakuna usahihi hao, mkurungezi ana mamlaka gani ya kuzuia mradi uliopitishwa na baraza la mawaziri,hayo ni maamuzi ya mwendakwao
W
hakuna usahihi hao, mkurungezi ana mamlaka gani ya kuzuia mradi uliopitishwa na baraza la mawaziri,hayo ni maamuzi ya mwendakwao
Wewe ni mpuuzi bado una akili za kitundu Lissu
 
Kichaa nasikia yupo aandaliwa na bomu la kujilipua.

Kichaa atatumia njia tofauti kufikisha ujumbe kwa watanzania na hakika nchi itatikisika na itayumba.
 
most umechangia kama GT, big up
 
Umenena ukweli, Mungu wa kweli yu nasi
Inafikirisha.

1. Fasta zinaenea habari kakutwa na mabilioni maskani
2. Fasta anatolewa
3. Fasta bandari tuliyoambiwa haifai kujengwa inaanza kupigiwa chapuo ijengwe
Tatizo ni kuwa wasoga walisha kula cha mchina, wanataka kulipa kwa damu ama kwa maji
Msoga clan itaiyumbisha sana nchi hii,naamini angekuwepo Chinga one wasingeweza ,sasa wote hawapo ni uwanja wao kucheza wanavyotaka, eh Mungu tuepushe na hii cartel
 
Mambo ya huyu muhuni sio poa
 
Hahahaha hadi wewe leo humuamini CAG? Umefikia huku? Yaani haya yanayoendelea msimamo na imani yako ndik hii? Really?

Duh aisee yule jamaa aliweza kuwafanya muwe brainwashed kiasi hiki?

JokaKuu
Nafikiri mara nyingine si kuwa brainwashed, ni kufikiri nje ya sanduku: kwanini hoja kuu ziwe kwenye miradi ya kipaumbele na si kwa previous⁉️, hii huashiria kuwa taarifa ilikuwa abenda maalum(huenda ovu) na si taarifa huru
 
Nafikiri mara nyingine si kuwa brainwashed, ni kufikiri nje ya sanduku: kwanini hoja kuu ziwe kwenye miradi ya kipaumbele na si kwa previous⁉️, hii huashiria kuwa taarifa ilikuwa abenda maalum(huenda ovu) na si taarifa huru
Unataka kusema mwendazake kafariki 17th, CAG na team yake imeweza kukusanya hizo taarifa na kuandika ndani ya wiki 2?? March 31 wakakabidhi??

Basi nia ovu ilianza mapema wakati mwendazake yupo hai. Nitakuwa wa mwisho kuamini hiyo miradi imefanyiwa ukaguzi na report within 2 weeks.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Yeye na kamati yake ndio waliofanya majadiliano na wachina yakavunjika baada ya kushindwa kufikia muafaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…