Inawezekana kupika rosti/mchuzi mzito bila nyanya.

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Wapika rosti ya kiswahili, mchuzi au makange wamekariri sana kuweka nyanya nyingi ili kuifanya rosti au mchuzi kuwa mzito na wenye ladha nzuri. Kwa wajuzi wa mapishi wanaweza kupika mchuzi mzito kabisa bila nyanya hata moja.
 
Bila nyanya hapo sidhani. Roast mwenzie nyanya na nyanya ya kopo
Kuna wengine huweka unga wa ngano lkn sijui utaalamu wake unakuwaje hapo
Ngoja waje wajuzi
 
Wapika rosti ya kiswahili, mchuzi au makange wamekariri sana kuweka nyanya nyingi ili kuifanya rosti au mchuzi kuwa mzito na wenye ladha nzuri. Kwa wajuzi wa mapishi wanaweza kupika mchuzi mzito kabisa bila nyanya hata moja.
wahdzabe ndio zetu, hakuna haja na nyanya but ni mwendo wa rosti ya maana na nyama choma 🐒
 
Nipo kwenye group ambalo ukitoa nyanya, kitunguu, karoti na hoho jikoni sijui kitu 😁
Ila naamini Wakali wa michemsho, karanga na viungo vingine wanaweza. Haya JF sweethearts ambao huwa mnasema jikoni mpo vizuri. Challenge hii kwenu sasa 🔥🔥
 
Wapika rosti ya kiswahili, mchuzi au makange wamekariri sana kuweka nyanya nyingi ili kuifanya rosti au mchuzi kuwa mzito na wenye ladha nzuri. Kwa wajuzi wa mapishi wanaweza kupika mchuzi mzito kabisa bila nyanya hata moja.
Inawezekana Kuichakata kipochi MANYOYA bila ya utelezi?.if yes the answer is YES and If no then answer is NO then
 
Back
Top Bottom