Inawezekana tuna watu wasio na uwezo katika nafasi wanazozitumikia?

Una uhakika kuwa Samia ndo kawapa green light Makamba na Mabeyo kusema waliyosema au unahisi tu kuwa kawatuma waseme hivyo?

For all we know, she could also have been an anti-Magufuli
 
Hakusema hizo sababu unazozisema wewe kuhusu kwa nini makamu wa Rais hakuwepo spitalini Mzena na kwa nini mke wa Magufuli naye hakuwepo hapo Mzena.
Sasa mkuu ulitaka Mabeyo aseme "Magufuli alimtenga Samia hata kabla ya kuumwa, na alimtuma Tanga ili awe mbali na kwa Mzena wakati wanaume wanapanga mustakabali wa nchi" ?

Huwezi kuunganisha dots beef la Magufuli na Samia na kujua kuwa Magufuli alimtuma Samia Tanga kwa makusudi na wala hakumuita aje hospitali kwa sababu alitaka Samia awe mbali na kwa Mzena?

Magufuli kawaita CDF, IGP, DGIS, Paroko, Kardinali, kashindwaje kumuita VP?

Huoni alifanya makusudi hapo?
 
Una uhakika kuwa Samia ndo kawapa green light Makamba na Mabeyo kusema waliyosema au unahisi tu kuwa kawatuma waseme hivyo?

For all we know, she could also have been an anti-Magufuli
She is an anti-Magufuli, that is why she is giving the green light.

Otherwise, Makamba asingeruhusiwa kusema vile. Mabeyo asingeruhusiwa kusema vile.

Hizi habari zote mbili zinamchafua Magufuli na kumuonesha Samia kama victim wa Magufuli.

Ya Makamba inamuonesha VP aliyetengwa na serikali ya Magufuli.

Ya Mabeyo inamuonesha VP aliyetengwa na Rais pamoja na vyombo vya jeshi kiasi cha kukaribia kuporwa haki yake ya kidemokrasia ya kumrithi Rais.

Huoni kwamba hii ni kampeni ya pande nyingi ya kuonesha Samia alivyoonewa na alivyoibuka mshindi hata baada ya kuonewa?
 
Magufuli aliwaita yeye mwenyewe hao watu watatu? Aliwaitaje? Aliwapigia simu? Aliwaandikia SMS? Alitumia WhatsApp?

Conjecture tu…..
 
Sina hakika kama Samia ni anti-Magufuli.

Ila, kama ni anti-Magufuli, basi ilikuwa ni sahihi ilivyotokea.

Kwa nini umuweke karibu na wewe mtu anayekuhujumu?

Still, it’s all conjecture. If it’s not conjecture, then it’s a one-sided story.
 
Magufuli aliwaita yeye mwenyewe hao watu watatu? Aliwaitaje? Aliwapigia simu? Aliwaandikia SMS? Alitumia WhatsApp?

Conjecture tu…..
Logical non sequitur. Point kubwa ni kwamba hakumuita VP.

Kamuita Paroko na Kardinali lakini hakumuita mtu ambaye kikatiba anatakiwa kuchukua nchi baada yake.

Kwa nini?
 
Magufuli alipandikiziwa tu Samia, hakumpenda tangu mwanzo.

Magufuli was a misogimynist. Hata alivyokuwa anaongea na wanawake kama rais ni kama anawabashia.

Sasa, huyo ndiye alianza kumbagua Samia, Samia hana ubavu wa kuwa anti-Magufuki out if nowhere. Ile ilikuwa ni reaction ya kubaguliwa.
 
Umekwepa swali!!!

Conjecture ipo palepale.
Siyo nimekwepa swali, nimekuonesha kwamba swali ni irrelevant. Either answer does not change my bigger logic.

Nikifanya immanent critique, hata nikikukubalia nikisema kwamba Magufuli hakuwaita hao wakuu wa majeshi, aliwaita Paroko na Kardinali.

Sasa, kwa nini kawaita Paroko na Kardinali lakini hakumuita VP?

Huoni kwamba na yeye amejiweka katika sehemu ya kulaumiwa kuwa ndiye alikuwa anapanga Samia asipewe nchi, na ndiyo maana akamtuma Tanga na kukataa kumuita kwa Mzena?
 
Ndiyo maana tunaambiwa chezea kila kitu siyo familia na nyumbani kwako. Utarudi tu.
 
Mahojiano nimeyasikiliza kwa kuyarudiarudia kwa makini. Mabeyo ni mtu makini sana ninamjua. Lakini kwa maoni yangu mahojiano hayo hayakuwa yanalenga kueleza kilichotokea wakati ule wa immediately kabla ya kifo cha JPM na mara baada ya kifo chake bali yanaashiria kinachoendelea huko ndani ambacho kwa maoni yangu hakina tofauti sana na sababu ya kuundwa kwa nafasi ya Naibu Waziri Mkuu na nafasi hiyo kupewa Doto Biteko.
 
Mkuu,

Umeweza kusikiliza kwa umakini yaliyosemwa na ambayo hayajasemwa.

Watu wengi wanafikiri haya maongezi ni historia ya kifo cha Magufuli.

Wakati haya maongezi ni maongezi ya kumsimika Samia na kuonesha jinsi Samia alivyotengwa na kuonewa mpaka ilikuwa kidogo katiba ipindishwe ili asipate urais.

Hapa umeongelewa urais wa Samia kuliko kifo cha Magufuli, ila wengi hawataelewa hilo.

Hii ni sehemu ya "power consolidation" ya Samia akijipanga na 2025.

Na hizi albamu zinaachiwa nyingi tu.

Ukisikiliza ile hotuba ya Makamba Italy akimkaribisha Samia utaona maudhui ni yale yale tu.
 
Power consolidation ni ukweli mmoja lakini usisahau na Power struggle.
 
Power consolidation ni ukweli mmoja lakini usisahau na Power struggle.
Power struggle watagombea kuwa chawa wa mama, CCM huyo mama kashapita. Hawana utamaduni wa kumuondoa an incumbent president.

Tena mwenyewe kashasema ni yeye mpaka 2030.

As if 2025 hakuna uchaguzi.
 
Power struggle watagombea kuwa chawa wa mama, CCM huyo mama kashapita. Hawana utamaduni wa kumuondoa an incumbent president.

Tena mwenyewe kashasema ni yeye mpaka 2030.

As if 2025 hakuna uchaguzi.
Wanalenga 2025 na 2030 bila kubagua. Hakuna formula kwenye siasa. Ni political re-alignment strategy.
 
Uko vizuriii
Endelea kutoa elimu hii kwa jamii.
[emoji120]
 
Baada ya rais ni Makamu wa Rais kwenye uongozi wa nchi.

Ndiyo maana rais akifa, Makamu wa Rais anachukua madaraka.

Hiyo movie yote ya wakuu wa majeshi kuchukua process ya kumuuguza rais ilikuwa unnecessary militarism.

Kwa sababu rais alitamani kuwa IGP tu.

Rais ana daktari wake.
 
Mimi najiuliza mpaka sasa je Mabeyo alikuwa na haja gani ya kuyasema haya ?

Je nj kitu gani kipo nyuma ya pazia kimemfanya aseme hivyo ?

Je kunyamaza haikuwa best option kwake ?
Kuna watu wamekuwa preempted towards 2025 elections,CDF hawezi tu kujiamulia kutoa siri kama hizo kwenye vyombo vya habari.

ukimuona kobe juu ya mti ujue kapandishwa
 
Kwa kuwa wewe unajua katiba na chain of command, gombea urais ,2025. Kura yangu na watanzania wenye mawazo kama yako unazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…