kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Wale waliotaka kupindisha katiba wakati wa kifo cha JPM wana uwezo kweli kulingana na nafasi zao? Walishindwa kuelewa katiba inasemaje? Tena imeandikwa kwa kiswahili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida hapo ni namba 2 kuwa mwanamke. Yaani waliwaza sana itakuwaje mwanamke kuwa Rais; na hata jinsi ya kumtaarifu iliwawia vigumu. Na sidhani kama hawakujua Katiba inasemaje, na pengine walitaka kuvunja Katiba kama walivyozoea kwa mambo mengine! Hongera kwa CDF msataafu.Mahojiano aliyofanya CDF Mstaafu Venance Mabeyo yamenifundisha kitu.
Nchi hii tuna shida kubwa sana ya watu kuwa kwenye nafasi za juu za maamuzi na uongozi ambao hawastahili kuwepo kwenye nafasi hizo kwa kukosa uwezo.
Hivi inakuwaje kwenye nchi tena yenye miaka zaidi ya 60 ya uhuru watu kwenye nafasi za juu kabisa za maamuzi hawajui kuwa kwenye chain of Command baada ya Rais ni Makamu wa Rais?
Hivi inakuwaje Rais anafariki wa kwanza kutarifiwa ni Mkuu wa Majeshi na sio Makamu wa Rais?
Inakuwaje na Mkuu wa Majeshi anaingia Kuanza kusema nimfaarifu Waziri Mkuu au Katibu Mkuu Kiongozi na sio Makamu wa Rais?
Inakuwaje tuna viongozi kwenye nafasi za juu kabisa ambao hawajui hata Katiba ya Nchi inasemaje?
How comes wanaotuongoza hawaijui Katiba?
Kituko zaidi ni mtu aliyefika hadi kuwa Rais wa Nchi anaamuru Mkuu wa Majeshi aamuru atolewe hospitali na kupelekwa kijijini kwake?
Hivi alikuwaje Rais na hajui hata mipaka ya madaraka na uongozi?
Kusema kweli tuna tatizo kubwa kwenye hii nchi na hii ni kansa ambayo kusema kweli itatutafuna na kutumaliza kabisa.
CDF ameeleza vizuri tu kuwa alikuwepo hospital muda wote siku ya kifo na aliitwa baada ya mgonjwa kuzidiwa
By the way unawajua vizuri wanawake walivyo wanapopata taarifa ya msiba!!
Walielewa katiba. Hawakutaka kuifuata.Wale waliotaka kupindisha katiba wakati wa kifo cha JPM wana uwezo kweli kulingana na nafasi zao? Walishindwa kuelewa katiba inasemaje? Tena imeandikwa kwa kiswahili.
Mkuu tatizo kubwa katika utawala wa JPM ilikuwa ni kukosekana mifumo imara ya kitaasisi, ukiwemo wa urais, na huku nchi ikiendeshwa kwa "one man show". Inaonyesha JPM hakumuamini makamu wake, kitu ambacho hata wasaidizi wake wa karibu wakajikuta nao wakiwa wameingia katika mkumbo huo.Mahojiano aliyofanya CDF Mstaafu Venance Mabeyo yamenifundisha kitu.
Nchi hii tuna shida kubwa sana ya watu kuwa kwenye nafasi za juu za maamuzi na uongozi ambao hawastahili kuwepo kwenye nafasi hizo kwa kukosa uwezo.
Hivi inakuwaje kwenye nchi tena yenye miaka zaidi ya 60 ya uhuru watu kwenye nafasi za juu kabisa za maamuzi hawajui kuwa kwenye chain of Command baada ya Rais ni Makamu wa Rais?
Hivi inakuwaje Rais anafariki wa kwanza kutarifiwa ni Mkuu wa Majeshi na sio Makamu wa Rais?
Inakuwaje na Mkuu wa Majeshi anaingia Kuanza kusema nimfaarifu Waziri Mkuu au Katibu Mkuu Kiongozi na sio Makamu wa Rais?
Inakuwaje tuna viongozi kwenye nafasi za juu kabisa ambao hawajui hata Katiba ya Nchi inasemaje?
How comes wanaotuongoza hawaijui Katiba?
Kituko zaidi ni mtu aliyefika hadi kuwa Rais wa Nchi anaamuru Mkuu wa Majeshi aamuru atolewe hospitali na kupelekwa kijijini kwake?
Hivi alikuwaje Rais na hajui hata mipaka ya madaraka na uongozi?
Kusema kweli tuna tatizo kubwa kwenye hii nchi na hii ni kansa ambayo kusema kweli itatutafuna na kutumaliza kabisa.
Mkuu ni saidie kirefu cha DGISVijana hamna akili, wanasiasa wanakuja na kuondoka, vyombo vya ulinzi na usalama ndio roho ya nchi. Kuna mambo CDF na DGIS wanajua lakini rais na wanasiasa wengine hawayajui na hawatokuja kuwajua.
- Sioni sababu kwako kutomtaja Mabeyo ikiwa yeye ndie mhusika mkuu kwenye hii habari.Mkuu,
Here are facts.
1.Hakuna popote nilipomtaja CDF Mabeyo.
2.CDF Mabeyo mwenyewe kasema kuna watu walitaka kupindisha utaratibu.
3. Kwa mujibu wa CDF Mabeyo Makamu wa Rais alirukwa kabisa kwenye updates za kutoka hospitalini, habari alikuwa anapewa Waziri Mkuu Majaliwa. Licha ya kwamba Makamu wa Rais ndiye mrithi wa Rais, ikiwa Rais atafariki, kikatiba.
4. Habari hii ya CDF ina corroborate habari ya Makamba kwamba Ofisi ya Makamu wa Rais ilitengwa.
Sasa unataka kukataa maneno ya CDF kwamba kuna watu walitakankupindisha katiba Makamu wa Rais asiwe Rais?
Unataka kusema January Makamba kasema uongo mbele ya Rais Samia, Makamu wa Rais na watu wa Ofisi yaje hawakutengwa? Mbona haya mambo tuliyasikia tangu Magufuli yupo hai?
Unachobisha ni kipi hasa?
Mie ningekua Mobeyo, ningekaa kimya tu. Cheap minds ndo zinamsifia ila hana tofauti sana na wale wengine, hata na yy alikua ameinhiwa na kishawishi cha kupindisha mambo ila akakishinda, na najua anajilaumuMahojiano aliyofanya CDF Mstaafu Venance Mabeyo yamenifundisha kitu.
Nchi hii tuna shida kubwa sana ya watu kuwa kwenye nafasi za juu za maamuzi na uongozi ambao hawastahili kuwepo kwenye nafasi hizo kwa kukosa uwezo.
Hivi inakuwaje kwenye nchi tena yenye miaka zaidi ya 60 ya uhuru watu kwenye nafasi za juu kabisa za maamuzi hawajui kuwa kwenye chain of Command baada ya Rais ni Makamu wa Rais?
Hivi inakuwaje Rais anafariki wa kwanza kutarifiwa ni Mkuu wa Majeshi na sio Makamu wa Rais?
Inakuwaje na Mkuu wa Majeshi anaingia Kuanza kusema nimfaarifu Waziri Mkuu au Katibu Mkuu Kiongozi na sio Makamu wa Rais?
Inakuwaje tuna viongozi kwenye nafasi za juu kabisa ambao hawajui hata Katiba ya Nchi inasemaje?
How comes wanaotuongoza hawaijui Katiba?
Kituko zaidi ni mtu aliyefika hadi kuwa Rais wa Nchi anaamuru Mkuu wa Majeshi aamuru atolewe hospitali na kupelekwa kijijini kwake?
Hivi alikuwaje Rais na hajui hata mipaka ya madaraka na uongozi?
Kusema kweli tuna tatizo kubwa kwenye hii nchi na hii ni kansa ambayo kusema kweli itatutafuna na kutumaliza kabisa.
Kifo cha Magufuli na jinsi Samia alivyokuja kuwa rais, na hizi figisu, na mpaka upinzani dhidi ya Samia kwa sababu ni mwanamke vinatuonesha jambo moja.Shida hapo ni namba 2 kuwa mwanamke. Yaani waliwaza sana itakuwaje mwanamke kuwa Rais; na hata jinsi ya kumtaarifu iliwawia vigumu. Na sidhani kama hawakujua Katiba inaseamaje, na pengine walitaka kuvujna Katiba kama walivyozoea kwa mambo mengine! Hongera kwa CDF msataafu.
LInk mkuuNa ndo maana Nimeanza kuamini ile Story ya Yoga ya Dark days aisee
Wewe hujui hata kufuatilia habari kimantiki na hivyo siwezi kujibizana nawe kimantiki.- Sioni sababu kwako kutomtaja Mabeyo ikiwa yeye ndie mhusika mkuu kwenye hii habari.
- Mabeyo amesema kuna watu walitaka kupindisha utaratibu, hajasema utaratibu kwenye jambo gani...
Kama ni hili suala la kutoa taarifa kwa VP, nani kati yenu anayejua kama kweli VP alinyimwa taarifa zinazomhusu Hayati Magufuli? au ndio unaegemea hiyo kauli ya Makamba walikuwa hawapewi salamu?! Kwangu thatz not enough. Mhusika mkuu Samia ndie athibitishe hili.
Sioni maana ya kuegemea maneno ya Makamba kwenye jambo linalomhusu Samia ikiwa nae yupo, na wala huo sio ubishi kama unavyoita, ni kutaka uthibitisho usioacha shaka.
Ndugu, hili unaliona leo? Nchi hii tunaowaita viongozi, hawaijui Katiba ya nchi japo huapa kuilinda na kuitetea, bali si kuitii na kufuata maagizo yaliyomo ndani yake! Wanafuata maneno yatokayo mdomoni mwa aliye kiongozi wao hasa wa ccm.Mahojiano aliyofanya CDF Mstaafu Venance Mabeyo yamenifundisha kitu.
Nchi hii tuna shida kubwa sana ya watu kuwa kwenye nafasi za juu za maamuzi na uongozi ambao hawastahili kuwepo kwenye nafasi hizo kwa kukosa uwezo.
Hivi inakuwaje kwenye nchi tena yenye miaka zaidi ya 60 ya uhuru watu kwenye nafasi za juu kabisa za maamuzi hawajui kuwa kwenye chain of Command baada ya Rais ni Makamu wa Rais?
Hivi inakuwaje Rais anafariki wa kwanza kutarifiwa ni Mkuu wa Majeshi na sio Makamu wa Rais?
Inakuwaje na Mkuu wa Majeshi anaingia Kuanza kusema nimfaarifu Waziri Mkuu au Katibu Mkuu Kiongozi na sio Makamu wa Rais?
Inakuwaje tuna viongozi kwenye nafasi za juu kabisa ambao hawajui hata Katiba ya Nchi inasemaje?
How comes wanaotuongoza hawaijui Katiba?
Kituko zaidi ni mtu aliyefika hadi kuwa Rais wa Nchi anaamuru Mkuu wa Majeshi aamuru atolewe hospitali na kupelekwa kijijini kwake?
Hivi alikuwaje Rais na hajui hata mipaka ya madaraka na uongozi?
Kusema kweli tuna tatizo kubwa kwenye hii nchi na hii ni kansa ambayo kusema kweli itatutafuna na kutumaliza kabisa.
Kifo cha Magufuli na jinsi Samia alivyokuja kuwa rais, na hizi figisu, na mpaka upinzani dhidi ya Samia kwa sababu ni mwanamke vinatuonesha jambo moja.
Watanzania wengi hawako serious kwenye uongozi, wanakwenda kwa mazoea.
Yani, walimkubali Samia awe Makamu wa Rais wakijua huyu atakuwa Makamu wa Rais pambo tu, mambo yote atafanya Rais Magufuli.
Hawakujua kwamba Makamu wa Rais yupo "one heart beat away" from becoming president.
Yani hata kwa rais ambaye ana matatizo ya moyo yaliyojulikana miaka mingi sana kama Magufuli, watu hawakufikiria kwamba Magufuli anaweza kufia madarakani hakafu Samia akawa Rais kwa mujibu wa katiba.
Watanzania wengi waliona Rais wa Tanzania hawezi kufia madarakani, it is against the laws of physics.
Ndiyo maana wengine mpaka leo wanamuona Samia kama si Rais kamili. Wengine wanadiriki hata kusema si Rais halali, kwa sababu hajawa Rais kwa uchaguzi.
Wengi hawaelewi concept ya "running mate" kuwa katika ticket moja na presidential candidate maana yake ni kuwa, unapopiga kura, unaipigia kura ticket nzima, si mtu mmoja, hivyo mandate ya kuongoza Magufuli ina extend mpaka kwa Samia, wale wawili walikuwa ni "a packaged deal".
Ndiyo maana inasikitisha sana kusikia kuna watu wanamnyanyapaa Samiankwa sababu mwanamke.
Kama wanawake hawafai uongozi Tanzania, mlikubalije Samia awe running mate wa Magufuli na hivyo kuwa na potential ya kuwa Rais siku yoyote Magufuli akifia madarakani?
Aisee, umeiweka vizuri sana hii. Na kimsingi huwezi kutenganisha kura za Mgombea na Mgombea mwenza; hawa wote wanabebana!Kifo cha Magufuli na jinsi Samia alivyokuja kuwa rais, na hizi figisu, na mpaka upinzani dhidi ya Samia kwa sababu ni mwanamke vinatuonesha jambo moja.
Watanzania wengi hawako serious kwenye uongozi, wanakwenda kwa mazoea.
Yani, walimkubali Samia awe Makamu wa Rais wakijua huyu atakuwa Makamu wa Rais pambo tu, mambo yote atafanya Rais Magufuli.
Hawakujua kwamba Makamu wa Rais yupo "one heart beat away" from becoming president.
Yani hata kwa rais ambaye ana matatizo ya moyo yaliyojulikana miaka mingi sana kama Magufuli, watu hawakufikiria kwamba Magufuli anaweza kufia madarakani hakafu Samia akawa Rais kwa mujibu wa katiba.
Watanzania wengi waliona Rais wa Tanzania hawezi kufia madarakani, it is against the laws of physics.
Ndiyo maana wengine mpaka leo wanamuona Samia kama si Rais kamili. Wengine wanadiriki hata kusema si Rais halali, kwa sababu hajawa Rais kwa uchaguzi.
Wengi hawaelewi concept ya "running mate" kuwa katika ticket moja na presidential candidate maana yake ni kuwa, unapopiga kura, unaipigia kura ticket nzima, si mtu mmoja, hivyo mandate ya kuongoza Magufuli ina extend mpaka kwa Samia, wale wawili walikuwa ni "a packaged deal".
Ndiyo maana inasikitisha sana kusikia kuna watu wanamnyanyapaa Samiankwa sababu mwanamke.
Kama wanawake hawafai uongozi Tanzania, mlikubalije Samia awe running mate wa Magufuli na hivyo kuwa na potential ya kuwa Rais siku yoyote Magufuli akifia madarakani?
Mabeyo amefanya kitu kimoja nikaitwa KOSA LA KIUFUNDI....Mahojiano aliyofanya CDF Mstaafu Venance Mabeyo yamenifundisha kitu.
Nchi hii tuna shida kubwa sana ya watu kuwa kwenye nafasi za juu za maamuzi na uongozi ambao hawastahili kuwepo kwenye nafasi hizo kwa kukosa uwezo.
Hivi inakuwaje kwenye nchi tena yenye miaka zaidi ya 60 ya uhuru watu kwenye nafasi za juu kabisa za maamuzi hawajui kuwa kwenye chain of Command baada ya Rais ni Makamu wa Rais?
Hivi inakuwaje Rais anafariki wa kwanza kutarifiwa ni Mkuu wa Majeshi na sio Makamu wa Rais?
Inakuwaje na Mkuu wa Majeshi anaingia Kuanza kusema nimfaarifu Waziri Mkuu au Katibu Mkuu Kiongozi na sio Makamu wa Rais?
Inakuwaje tuna viongozi kwenye nafasi za juu kabisa ambao hawajui hata Katiba ya Nchi inasemaje?
How comes wanaotuongoza hawaijui Katiba?
Kituko zaidi ni mtu aliyefika hadi kuwa Rais wa Nchi anaamuru Mkuu wa Majeshi aamuru atolewe hospitali na kupelekwa kijijini kwake?
Hivi alikuwaje Rais na hajui hata mipaka ya madaraka na uongozi?
Kusema kweli tuna tatizo kubwa kwenye hii nchi na hii ni kansa ambayo kusema kweli itatutafuna na kutumaliza kabisa.
Hivi umeshamsahau jinsi alivyokua akiabudu jeshi?!!Kama unataka kufia kwako si umwambie daktari? Kwa nini umwambie CDF? Yeye na masuala ya matibabu wapi na wapi?
Story ya Yoga ni maarufu sana Hapa Jamvini ipo tangu 2021 kama sikosei MkuuLInk mkuu
Naam,Aisee, umeiweka vizuri sana hii. Na kimsingi huwezi kutenganisha kura za Mgombea na Mgombea mwenza; hawa wote wanabebana!
Huitaji rejea ya practice wakati rejea ya Mwandishi ipo (Katiba)Hindsight is 20/20.. hizi ni cheap reactionary politics.. ingekuwa Kuna Rais amewahi kufariki madarakani hapo sawa.
Nimesearch hapa nimeiona , sikua nakumbuka kama yoga ndo mtoa uzi. Nipo naurudiaStory ya Yoga ni maarufu sana Hapa Jamvini ipo tangu 2021 kama sikosei Mkuu