I know. Nimetolea tu mfano kuwa inayoiona siyo namba iliyosajiliwa nayo. Mfano tu mjengoni zipo gari kama 10 ambazo zina ngao ya taifa, na kwenye misafara mara nyingi lazima 2 ziwepo.Mkuu gari ya Waziri inajulikana kwa namba zake hazipo kumi zote zitumie namba moja.
Unaongea vitu vingine hata hujui hizi namba ni 10m sio 5m. Soma vizuri nilichoandika utagundua tofauti ya hizo namba za 10m na hii tunayoizungumzia hapa.Hivi uko TZ mkuu kweli?? Hujaona magari yaliyo na plate number za majina ya watu mkuu? Kuna MO, JAVAN n.k hata wewe unaweza kupata plate kwa jina lako unalipia TZS 5,000,000.00 kwa mwaka kama hiyo fee haijabadirika.
Tofauti yake ni nini? Ninachojua zote ni Special Plate Number!Unaongea vitu vingine hata hujui hizi namba ni 10m sio 5m. Soma vizuri nilichoandika utagundua tofauti ya hizo namba za 10m na hii tunayoizungumzia hapa.
Tatizo sio jina, bali magari mengi ya aina tofauti mpaka mengine yanaweka kitambaa cha CCM badala ya namba. Je ikitokea ajali au uhalifu halafu wakakimbia itakuwaje?Hivi uko TZ mkuu kweli?? Hujaona magari yaliyo na plate number za majina ya watu mkuu? Kuna MO, JAVAN n.k hata wewe unaweza kupata plate kwa jina lako unalipia TZS 5,000,000.00 kwa mwaka kama hiyo fee haijabadirika.
Huyo anajitoa ufahamu kwa maslahi ya CCM.Unaongea vitu vingine hata hujui hizi namba ni 10m sio 5m. Soma vizuri nilichoandika utagundua tofauti ya hizo namba za 10m na hii tunayoizungumzia hapa.
Uspeshoo wa hiki kitambaa hapa ni upi?Tofauti yake ni nini? Ninachojua zote ni Special Plate Number!
May be undercover!Tatizo sio jina,bali magari mengi ya aina tofauti mpaka mengine yanaweka kitambaa cha CCM badala ya namba. Je ikitokea ajali au uhalifu halafu wakakimbia itakuwaje?View attachment 1592374
Kwamba sheria inataka isiwe applied kwao..!?Sheria? Au hujui kuna upande wa jamii ambao sheria hazi-apply kwao?
Nilijaribu kufikiria tu vile.
Mkuu mimi nazungumzia Special Plate Number siyo hiyo undercover plate number!!Uspeshoo wa hiki kitambaa hapa ni upi?View attachment 1592378
Sahihi. Lakini hizi sivyo. Ukiwa na plate no ya MO italitambulisha gari vizuri kwa kuwa MO hazitakuwa mbili. Ila unaweza kuwa na MO 2, MO 3, n.k. Au MO, MODEWJI, MOENT, n.k. Hizi za hawa zote zina ID hiyo hiyo. Ni uhuni, ushamba wa waliofanya hivyo na uoga wa polisi, TRA, na sisi wote.Hivi uko TZ mkuu kweli?? Hujaona magari yaliyo na plate number za majina ya watu mkuu? Kuna MO, JAVAN n.k hata wewe unaweza kupata plate kwa jina lako unalipia TZS 5,000,000.00 kwa mwaka kama hiyo fee haijabadirika.
Kwani JPM si Rais wa wanyonge?Hiki kitoyota Wallah hata Magu mwenyewe hafurahii kuona kimewekewa jina lake na nakwambia Traffic watakukamata tu ukizingua road maana inaonekana dhahiri wewe kwny msafara wa Mamba ni kenge tu.
Kuna vyombo kama Discovery 4/5,Ma Range rover,Ma V8(Lc 200),Patrol Y62 nimeziona zina hio No. Plates Ya Magu na ukweli hata road hawatakamatwa maana gari yenyewe tu inajieleza.
Sasa unakuja na ka brevis sijui mark x No. plate Inasoma T2020JPM utapata tabu sana braza.
'hata wewe unaweza kupata plate kwa jina lako unalipia TZS 5,000,000.00 kwa mwaka kama hiyo fee'.Hivi uko TZ mkuu kweli?? Hujaona magari yaliyo na plate number za majina ya watu mkuu? Kuna MO, JAVAN n.k hata wewe unaweza kupata plate kwa jina lako unalipia TZS 5,000,000.00 kwa mwaka kama hiyo fee haijabadirika.
Hata bodaboda wanaweka hizo bendera kwny no. Plates mkuu.Nimekutana na gari za Kampeni za Gwajima ile sehemu ya Number wameweka bendera ya CCM,inaonekana ukiwa CCM huguswi na mtu yeyote