Uchaguzi 2020 Inawezekana vipi gari zote hizi tena aina tofauti ziwe na namba hii ya T 2020 JPM?

Uchaguzi 2020 Inawezekana vipi gari zote hizi tena aina tofauti ziwe na namba hii ya T 2020 JPM?

Mkuu gari ya Waziri inajulikana kwa namba zake hazipo kumi zote zitumie namba moja.
I know. Nimetolea tu mfano kuwa inayoiona siyo namba iliyosajiliwa nayo. Mfano tu mjengoni zipo gari kama 10 ambazo zina ngao ya taifa, na kwenye misafara mara nyingi lazima 2 ziwepo.
 
Hivi uko TZ mkuu kweli?? Hujaona magari yaliyo na plate number za majina ya watu mkuu? Kuna MO, JAVAN n.k hata wewe unaweza kupata plate kwa jina lako unalipia TZS 5,000,000.00 kwa mwaka kama hiyo fee haijabadirika.
Unaongea vitu vingine hata hujui hizi namba ni 10m sio 5m. Soma vizuri nilichoandika utagundua tofauti ya hizo namba za 10m na hii tunayoizungumzia hapa.
 
Unaongea vitu vingine hata hujui hizi namba ni 10m sio 5m. Soma vizuri nilichoandika utagundua tofauti ya hizo namba za 10m na hii tunayoizungumzia hapa.
Tofauti yake ni nini? Ninachojua zote ni Special Plate Number!
 
Hivi uko TZ mkuu kweli?? Hujaona magari yaliyo na plate number za majina ya watu mkuu? Kuna MO, JAVAN n.k hata wewe unaweza kupata plate kwa jina lako unalipia TZS 5,000,000.00 kwa mwaka kama hiyo fee haijabadirika.
Tatizo sio jina, bali magari mengi ya aina tofauti mpaka mengine yanaweka kitambaa cha CCM badala ya namba. Je ikitokea ajali au uhalifu halafu wakakimbia itakuwaje?
tapatalk_1601934644781.jpeg
 
Hivi uko TZ mkuu kweli?? Hujaona magari yaliyo na plate number za majina ya watu mkuu? Kuna MO, JAVAN n.k hata wewe unaweza kupata plate kwa jina lako unalipia TZS 5,000,000.00 kwa mwaka kama hiyo fee haijabadirika.
Sahihi. Lakini hizi sivyo. Ukiwa na plate no ya MO italitambulisha gari vizuri kwa kuwa MO hazitakuwa mbili. Ila unaweza kuwa na MO 2, MO 3, n.k. Au MO, MODEWJI, MOENT, n.k. Hizi za hawa zote zina ID hiyo hiyo. Ni uhuni, ushamba wa waliofanya hivyo na uoga wa polisi, TRA, na sisi wote.
 
Hiki kitoyota Wallah hata Magu mwenyewe hafurahii kuona kimewekewa jina lake na nakwambia Traffic watakukamata tu ukizingua road maana inaonekana dhahiri wewe kwny msafara wa Mamba ni kenge tu.

Kuna vyombo kama Discovery 4/5,Ma Range rover,Ma V8(Lc 200),Patrol Y62 nimeziona zina hio No. Plates Ya Magu na ukweli hata road hawatakamatwa maana gari yenyewe tu inajieleza.

Sasa unakuja na ka brevis sijui mark x No. plate Inasoma T2020JPM utapata tabu sana braza.
Kwani JPM si Rais wa wanyonge?
 
Hivi uko TZ mkuu kweli?? Hujaona magari yaliyo na plate number za majina ya watu mkuu? Kuna MO, JAVAN n.k hata wewe unaweza kupata plate kwa jina lako unalipia TZS 5,000,000.00 kwa mwaka kama hiyo fee haijabadirika.
'hata wewe unaweza kupata plate kwa jina lako unalipia TZS 5,000,000.00 kwa mwaka kama hiyo fee'.

Daah Ungetulia tu mzee baba ukasoma maoni ya wadau wengine na ukajifunza.
 
Mkuu huyu hajawahi kumiliki gari hawezikujua hizo special vehicle plate number na zinavyooperate!
Hahah mwanangu RRONDO inabidi utafute hata ka vitz aiseee, maana naona unapigwa madongo huku.
 
Back
Top Bottom