Inawezekana vipi mtu mwenye zaidi ya miaka 35 kuumia kwasababu ya mapenzi?

Siku nikilia kisa mwanamke dunia itakua imefika mwisho.
Hua nahisi sina hisia labda. I don't care. [emoji848]

Si kwamba huna hisia, unazo ila is how you express them. Stoick behaviour huwa inakuja kutokana na malezi au inborn.
 
Tatizo mkiwa na mahusiano mnakuwa serious as if unapambana na paper ya physics.

Haha haipogo hivyo.

Take kila kitu easy.

Ukinichiti nakuchiti kwakweli na kusepa juu
 
Wewe ulianza mahusiano ukiwa una 14yrs , wengine walianza wakiwa 20's na wengine 30's hivyo basi mnatofautiana experience, pamoja na idadi ya watu uliokuwa nao kwenye mahusiano na aina ya mahusiano yenyewe(serious/playing around)
Haijalishi umeanza kujihusisha nayo ukiwa na age gani but kwa mtu mwenye 35+ yrs haimpasi kuumizwa na mapenzi, huo ni muda wa ku-focus na mambo mengine siyo mapenzi tena.
 
The good thing ni kwamba ukishaumia mara moja hutokaa uumie tena utakua unawaumiza wengine tu... ni kama surua ukiipata unakuwa umepata kinga.
 
🀣🀣🀣🀣
Kwakweli..haswa ukikulwa na ukapigwa tukio🀣🀣🀣🀣🀣
Alafu bora ukutane na akina mzabzab ambao hawajui ata kugegeda...ukutane na Mzee wa kupambania amekugegeda vizuri alafu ndio anakubwaga.....kila ukikumbuka de libolo lake moyo unazidi kuuma tuu
 
Miaka 30s unabadi kupambana kuacha Legacy

Kuna Malaya mmoja ana 35 na mwanae wa kike ana 19 wote wanatombwa na Kuna kipindi unawakuta wanazungumzia jinsi mapenzi yanavyotesa it all about Fucking kushindwa kuwa utimamu wa Akili wa kufahamu kuwa umeshakuwa matured Enough
 
Exactly, a man should have a mission to accomplish siyo kukaa kulia lia ety kisa mapenzi, wanaume tuumie kwa sababu za msingi, mfano umepata hasara ya millions of money.
 
"Aliyeumba Mapenzi hakusema yana maumivu,
Aliyeumba Mapenzi hakusema unaua wivu,

Gharama, mapenzi gharama, utachukia ndugu, marafiki ugomvi na Mama,
Gharama, mapenzi gharama, ni donda ndugu halitibiki ukishazama...."
 
Alafu bora ukutane na akina mzabzab ambao hawajui ata kugegeda...ukutane na Mzee wa kupambania amekugegeda vizuri alafu ndio anakubwaga.....kila ukikumbuka de libolo lake moyo unazidi kuuma tuu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Na wakati huo kakupiga matukio ya kutosha mixer dharau za hadharani...Unajikuta una makasiriko ..zuri kwako baya ..baya kwako baya..heheiyaaa
 
Mwamba hujagonga nao threesome kweli?
 
"Aliyeumba Mapenzi hakusema yana maumivu,
Aliyeumba Mapenzi hakusema unaua wivu,

Gharama, mapenzi gharama, utachukia ndugu, marafiki ugomvi na Mama,
Gharama, mapenzi gharama, ni donda ndugu halitibiki ukishazama...."
"Unamuamini na kuzani ndugu yako,

kumbe kijini, ndiyo baby wa baby wako,

MAPENZII YATAWAUA, BORA MTAFUTE PESA MUANZE JISHAUA....."
 
Mnaijua hii PC ilipigwa kiberiti kisa kipochi manyoya. Jamaa anahudumia afu anakitembeza kwa washkaji. Jamaa akaona isiwe tabu piga sindao ya sumu akaona huyu anaweza asife akapiga mafuta ya petroliView attachment 2557139
Hii case nlivosoma habari mbalimbali haihusiani na mapenzi,kifo chake ni work related
 
Malaya ndio hawaumii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…