Inawezekana Wamarekani ni wajinga ajabu? Wamemchagua mwanaume na kumtosa Mwanamke. 2025 Watanzania tuchague mwanamke kuonesha tuna akili zaidi yao?

Paschal,kama wazungu wamezingatia mfumo dume,je nyinyi wasukuma? Na Sisi waislamu tufanyaje? Hatutakuwa tunamkiuka Mwenyezi Mungu ( S.A.W)
 
Kwa hakika watu hawamtaki mwanamke si kwa sababu ya mfumo dume.Ni kwa sababu Samia na Dk Tulia wameharibu.
Kama,kwa mfano,mada hii ingekuja miezi mitatu baada ya Samia kuwa Rais,maoni mengi yangekuwa ; "Mwanamke anaweza"
 
Wewe Mzee Wacha kuwa hamnazo,Kwamba Democrats walikuwa hawajui kwamba wamarekani hawawezi mchgua mwanamke Kwa mantiki ya hoja Yako Hadi wakasimamisha mara 2? Kwamba wao ni wajinga ila wewe na wengine wenye mawazo kama Yako ndio mna akili?

Unazeeka vibaya sana ,Harris na Hilary Wameshindwa Kwa sababu za sera na si vinginevyo.

Your pennis size does not increase your IQ.

Mwisho wewe si ni Mwanaume una akili gombea basi tukuone. ha
 
Mtemi Mayalla kwa hoja hujambo. It will take time for many of us to get your naturality!
 
Unapima upepo...😀
 
Yaani una akili halafu kutwa unaomba misaada mpaka ya kujenga matundu ya vyoo? huwezi kumuomba msaada mtu unayemzidi akili hata dak 1.
 
Mkuu acha kujificha kwenye kichaka cha kiulizo (?). Toa maoni yako
 
Kuna mtu nilimsikia akisema kuhusu uchaguzi
Amesema Kamala katika miaka 4 ofisini kama VP hakusikika kabisa na hana uwezo hivyo
Lakini kama Michele Obama ambae amezunguka na mme wake na kuijua vyema sera za nchi na nini wananchi wanataka kwa kuwa amekaa Ikulu miaka 8 basi angepita na kumgaragaza Trump

Mwisho wa kunukuu
 
Maswali nimengi majibu machache ungeweka kichwa cha habari vizuri. Japo sidhani kama wazo lako litatimilika. Alama zinaonyesha opposite sides
 
Nchi imekuwa familia? Acha upumbavu
 
Nonsense
 
Video 400 ni tatizo kubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…