Wanawake tunawaheshimu na kuwapenda, maana ni mama zetu, ni dada zetu na wake zetu pia, lakini tunatofautiana nao katika majukumu.
Lakini ni ukweli kuwa familia isiyo na baba, inayoongozwa na mwanamke, huwa imepungukiwa. Baba ndiye kichwa cha familia, jamii zetu ndivyo zinavyotamka, na hata vitabu vitakatifu vya dini zote, vinavyotamka.
Familia inaweza kuongozwa na mama katika dharula tu, kama vile kifo cha Baba wa familia au maradhi yanayomfanya Baba asimudu majukumu yake, hata hivyo yule mama hatakuwa Baba wa familia, atabakia kuwa Mama, ambaye ni msaidizi wa Baba. Nyumba inayoongozwa na mwanamke, Wakati Baba yupo, yule Baba huitwa bwege. Je, wanaume wote wa Tanzania ni mabwege?
Akina mama, tangu asilia, tangu enzi na Eva/Hawa, ni wepesi wa kubadilika, ni rahisi kuyumbishwa. Urais ni wadhifa mkubwa unaohitaji mtu asiyeyumba.
Nyote ni mashahidi:
Wa kwetu aliapa akiwa ameshikilia msahafu kuwa atalinda katiba, muda kidogo akageuka na kusema katiba ni kijitabu tu!! Maana yake anaongoza nchi bila mwongozo mkuu ambao ni katiba.
Akasema anasimamia 4Rs, muda kidogo wakosoaji wake, wakaanza kutekwa, huku yeye akisema eti ni drama. Waliotekwa walipothibitika kuwa wameuawa, ghafla akasema anatuma salamu za rambirambi na akasema ameagiza uchunguzi ufanyike haraka, apelekewe taarifa za matokeo ya uchunguzi, mara ikawa kimya mpaka leo. Baadaye akageuka tena na kusema huko kutekwa, kupotezwa na kuuawa kwa viongozi wa vyama vya upinzani na wakosoaji, eti ni mambo ya kawaida, akidai kuwa kifo ni kifo tu, akimaanisha kuwa hakuna haja ya uchunguzi.
3) Alisema kuwa anaanzisha mchakato wa kukamilisha mchakato wa katiba, ghafla akabadilika, na kudai kuwa watanzania inatakiwa kwanza kupata mafunzo ya katiba kwa miaka 3!! Hivi ninyi mnaelewa hayo mafunzo yalianza lini, yanafanywa na nani, na wapi?
Huyu wa kwetu ana tabia zote za mwanamke dhaifu, anayebadilika kila dakika. Hata akitamka kitu huwezi kumwamini.
Namkumbuka Pascal na ile mada yake, kuwa mwaka 2025, tunaenda na mwanaume, tena lazima atoke Tanganyika, asiwe wa kutapanya rasilimali zetu kwa wageni hawa wa kiarabu, ambao mpaka sasa wamepewa karibia njia zote kuu za kiuchumi.
Nadhani baada ya miaka kadhaa, Dunia itakuja kujifunza Tanganyika juu ya madhara ya kuongozwa na mwanamke.