Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Favoritism to women.Magreth Thatcher wa Uingereza aliacha madhara gani ?
Mh. Tulia anatoshaMwanamke yupi? yupi pascal? mbona unakuwa kituko? yupi? wa wapi? Usukumani? Uhayani? kizimkazi? wa wapi?
Angalieni mwingine, vinginevyo mtaangukia pua kama K.ama.la alivyoangukia pua.Wanabodi,
Hapo nilipo bado nimepigwa bumbuwazi na matokeo ya uchaguzi wa Marekani, na kujiuliza
Inawezekana hawa Wamarekani ni majitu majinga ajabu!, wamemchagua rais mwanaume, na kumtosa Mwanamke kwasababu tuu ni mwanamke?.
Mnaonaje kama 2025, sisi Watanzania tuchague mwanamke ili kuonyeshea kuwa tuna akili zaidi yao hao majinga ya Marekani?
Na kufuatia matokeo haya, sisi akina Tomaso, sio watu wa kujikalia tuu na kujiuliza, ngoja tufanye michakato ya kusogelea maeneo ya karibu na golini kujua ni nini haswa kimetokea!, maana...!
Duh...!.
Paskali
Naungana na SheikhHuyu maza pamoja hakuchaguliwa 2025 twende na mawaidha ya shekhe mkuu wa dsm alhaji walid
Mwanamke ameumbwa kuwa msaidizi na sio kuwa mkuu. Ukiona nchi inampa Mwanamke uongozi wa nchi basi uhue kuna mawili: Ama wanaume wa nchi hiyo hawajiwezi au mifumo ya nchi imeshawekwa vizuri kiasi kwamba Rais hana chake cha kuanzisha. Pamoja na mifumo ya Marekani kukaa vizuri lakini Wamarekani wamesema muda wa mwanamke bado. Huku kwetu wanataka tu kulazimishia lakini bado!Wanabodi,
Hapo nilipo bado nimepigwa bumbuwazi na matokeo ya uchaguzi wa Marekani, na kujiuliza
Inawezekana hawa Wamarekani ni majitu majinga ajabu!, wamemchagua rais mwanaume, na kumtosa Mwanamke kwasababu tuu ni mwanamke?.
Mnaonaje kama 2025, sisi Watanzania tuchague mwanamke ili kuonyeshea kuwa tuna akili zaidi yao hao majinga ya Marekani?
Na kufuatia matokeo haya, sisi akina Tomaso, sio watu wa kujikalia tuu na kujiuliza, ngoja tufanye michakato ya kusogelea maeneo ya karibu na golini kujua ni nini haswa kimetokea!, maana...!
Duh...!.
Paskali
Mkuu Ushimen ,kwanza asante kuniheshimu, heshima kitu cha bure, mkubwa amuheshimu mdogo,mdogo amuheshimu mkubwa, watu wote tuheshimiane hata kama hatukubaliani jambo, tunakubaliana kutokukubaliana, mfano, Watanzania walio wengi tumekubaliana kwa kauli moja, 2025, twende na mwanamke, tukitaraji tunaanza na the biggest democracy, US kwa kumchagua mwanamke, hivyo haya ma Marekani majinga ajabu!,si yakamtosa mwanamke na kumchagua tena yule kichaa!。 Sasa sisi Tanzania, 2025 tutawaonyesha jinsi tulivyo na akili,tutamchagua rais mwanamke!。Hivi ujue nakuheshim sana mkuu Pascal Mayalla 🤨☹️
Nini maoni yako kuhusu hiyo clip ya sheikh wa mkoa wa DSM?Nilishauri Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!, hivyo sio lazima awe huyo unayemdhania wewe, anaweza kuwa mwanamke mwingine yoyote ali mradi ni mwanamke!, na hapa nikashauri Ukimuondoa Rais Samia, kama ni lazima awe mwanamke, then mwanamke huyo ni Dkt. Tulia, ameonesha uwezo, anaweza! Tumchagize au tuache tu bora liende? na hapa nikashauri tena Pongezi Spika Dr. Tulia, Umeonyesha Uwezo, na Unaweza!, Jee tumshauri Dada Mkubwa, ikimpendeza, ampishe tuu Dada Mdogo Kwenye Lile Jambo Letu Lile?
P
Post za kijinga zimejaa hisia kuliko uhalisia,Wanabodi,
Hapo nilipo bado nimepigwa bumbuwazi na matokeo ya uchaguzi wa Marekani, na kujiuliza
Inawezekana hawa Wamarekani ni majitu majinga ajabu!, wamemchagua rais mwanaume, na kumtosa Mwanamke kwasababu tuu ni mwanamke?.
Mnaonaje kama 2025, sisi Watanzania tuchague mwanamke ili kuonyeshea kuwa tuna akili zaidi yao hao majinga ya Marekani?
Na kufuatia matokeo haya, sisi akina Tomaso, sio watu wa kujikalia tuu na kujiuliza, ngoja tufanye michakato ya kusogelea maeneo ya karibu na golini kujua ni nini haswa kimetokea!, maana...!
Duh...!.
Paskali
Ujinga wao upo kwenye uchaguzi Kwan? Kuchagua jinsia flan kunaonyesha jinsi taifa lilivyo na akili? Hata kama mtu ana sera mbaya kiasi gani anaweza kuchaguliwa Kisa jinsia yake?Wanabodi,
Hapo nilipo bado nimepigwa bumbuwazi na matokeo ya uchaguzi wa Marekani, na kujiuliza
Inawezekana hawa Wamarekani ni majitu majinga ajabu!, wamemchagua rais mwanaume, na kumtosa Mwanamke kwasababu tuu ni mwanamke?.
Mnaonaje kama 2025, sisi Watanzania tuchague mwanamke ili kuonyeshea kuwa tuna akili zaidi yao hao majinga ya Marekani?
Na kufuatia matokeo haya, sisi akina Tomaso, sio watu wa kujikalia tuu na kujiuliza, ngoja tufanye michakato ya kusogelea maeneo ya karibu na golini kujua ni nini haswa kimetokea!, maana...!
Duh...!.
Paskali
Nani kakwambia wamemtosa kwa sababu ya uke wake? Walichofanya ni demokrasia na haki zao. Kama mnamshabikia huyu wenu kwa uke wake go ahead and vote for her. Ila nashauri muangalia sera badala ya jinsia. Kamala aliingia akiwa amechelewa tokana na ung'ang'anizi wa jolly joe. Pia, alitetea sera ambazo hazikuwaridhisha wamarekani. Hivyo, wanaodhani amebwagwa kwa sababu ni mwanamke, wafikiri upya.Wanabodi,
Hapo nilipo bado nimepigwa bumbuwazi na matokeo ya uchaguzi wa Marekani, na kujiuliza
Inawezekana hawa Wamarekani ni majitu majinga ajabu!, wamemchagua rais mwanaume, na kumtosa Mwanamke kwasababu tuu ni mwanamke?.
Mnaonaje kama 2025, sisi Watanzania tuchague mwanamke ili kuonyeshea kuwa tuna akili zaidi yao hao majinga ya Marekani?
Na kufuatia matokeo haya, sisi akina Tomaso, sio watu wa kujikalia tuu na kujiuliza, ngoja tufanye michakato ya kusogelea maeneo ya karibu na golini kujua ni nini haswa kimetokea!, maana...!
Duh...!.
Paskali
Uli declare interest kuwa huyu ni Mwalimu wako?na hapa nikashauri tena
Hii kitu ngosha unayotaka kutufanyia ni bullying kwetu sisi wanaume! Kama ndivyo hivyo basi na sisi wacha tujibu mapigo! Hebu tuache kusumbua wanawake bwana, hao tuwaachie wafanye kazi waliyochagua tangu wakiwa pale bustani ya Eden. Kazi ya wanawake wanayoweza kuifanya kwa sahihi ni ya kuhesabu mabati! Tuwaachie wafanye kazi hiyo!Mnaonaje kama 2025, sisi Watanzania tuchague mwanamke ili kuonyeshea kuwa tuna akili zaidi yao hao majinga ya Marekani?
Wacha hiyo wewe! Huyu tumekuwa naye kwa bahati mbaya sana! Hebu aishie hapo alipofikia imetosha sasa! Kama Wamarekani wamemkataa mtu mwe ye IQ kubwa sisi ni nani hata tuendelee na zero?Nimemsikia, kauli hiyo ni sedition!.
Mtu tayari ni rais, huwezi kusema hawezi kuwa mwanamke hawezi kuwa rais wakati tayari tuna rais mwanamke!.
P
Huyu jamaa nahisi ameleta hii mada akiwa na maana nyingine chokonoziUwezo wako wa kufikiri umetamatika una hoja dhaifu mno