Inawezekana Wamarekani ni wajinga ajabu? Wamemchagua mwanaume na kumtosa Mwanamke. 2025 Watanzania tuchague mwanamke kuonesha tuna akili zaidi yao?

Wamarekani wamechagua mtu wanae ona atatatua shida zao hawaja chagua jinsia mmeona mama yenu hatoshi kwenye kiti unakuja na hoja kipumbavu eti tuchague mwanamke 🤔🤔 huo uanamke wake utaongeza shilingi ngapi kwenye pato la taifa au utapunguza umaskini kwa watanzania wangapi 🤔🤔 kwa kifupi hapo wewe sio mjinga tuu lakini ni mpumbavu
 
Wanabodi,
Hapo nilipo bado nimepigwa bumbuwazi na matokeo ya uchaguzi wa Marekani, na kujiuliza
Inawezekana hawa Wamarekani ni majitu majinga ajabu!, wamemchagua rais mwanaume, na kumtosa Mwanamke kwasababu tuu ni mwanamke?.

Mnaonaje kama 2025, sisi Watanzania tuchague mwanamke ili kuonyeshea kuwa tuna akili zaidi yao hao majinga ya Marekani?

Na kufuatia matokeo haya, sisi akina Tomaso, sio watu wa kujikalia tuu na kujiuliza, ngoja tufanye michakato ya kusogelea maeneo ya karibu na golini kujua ni nini haswa kimetokea!, maana...!

Duh...!.

Paskali
Angalieni mwingine, vinginevyo mtaangukia pua kama K.ama.la alivyoangukia pua.
Chura kiziwi aliyepanda juu ya mti hadi juu asipokuwa makini, ataanguka vibaya sana na kupasuka
😁😁😁😁😁😁
 
Wanabodi,
Hapo nilipo bado nimepigwa bumbuwazi na matokeo ya uchaguzi wa Marekani, na kujiuliza
Inawezekana hawa Wamarekani ni majitu majinga ajabu!, wamemchagua rais mwanaume, na kumtosa Mwanamke kwasababu tuu ni mwanamke?.

Mnaonaje kama 2025, sisi Watanzania tuchague mwanamke ili kuonyeshea kuwa tuna akili zaidi yao hao majinga ya Marekani?

Na kufuatia matokeo haya, sisi akina Tomaso, sio watu wa kujikalia tuu na kujiuliza, ngoja tufanye michakato ya kusogelea maeneo ya karibu na golini kujua ni nini haswa kimetokea!, maana...!

Duh...!.

Paskali
Mwanamke ameumbwa kuwa msaidizi na sio kuwa mkuu. Ukiona nchi inampa Mwanamke uongozi wa nchi basi uhue kuna mawili: Ama wanaume wa nchi hiyo hawajiwezi au mifumo ya nchi imeshawekwa vizuri kiasi kwamba Rais hana chake cha kuanzisha. Pamoja na mifumo ya Marekani kukaa vizuri lakini Wamarekani wamesema muda wa mwanamke bado. Huku kwetu wanataka tu kulazimishia lakini bado!
 
Hivi ujue nakuheshim sana mkuu Pascal Mayalla 🤨☹️
Mkuu Ushimen ,kwanza asante kuniheshimu, heshima kitu cha bure, mkubwa amuheshimu mdogo,mdogo amuheshimu mkubwa, watu wote tuheshimiane hata kama hatukubaliani jambo, tunakubaliana kutokukubaliana, mfano, Watanzania walio wengi tumekubaliana kwa kauli moja, 2025, twende na mwanamke, tukitaraji tunaanza na the biggest democracy, US kwa kumchagua mwanamke, hivyo haya ma Marekani majinga ajabu!,si yakamtosa mwanamke na kumchagua tena yule kichaa!。 Sasa sisi Tanzania, 2025 tutawaonyesha jinsi tulivyo na akili,tutamchagua rais mwanamke!。
P
 
Usifuate upepo, issue haikuwa uanamke au uanamume, ilikuwa ni ushoga na kutoa mimba na vita ya Ukraine na kukumbatia magaidi wa Hamas. We go by principles not whims
 
Wanabodi,
Hapo nilipo bado nimepigwa bumbuwazi na matokeo ya uchaguzi wa Marekani, na kujiuliza
Inawezekana hawa Wamarekani ni majitu majinga ajabu!, wamemchagua rais mwanaume, na kumtosa Mwanamke kwasababu tuu ni mwanamke?.

Mnaonaje kama 2025, sisi Watanzania tuchague mwanamke ili kuonyeshea kuwa tuna akili zaidi yao hao majinga ya Marekani?

Na kufuatia matokeo haya, sisi akina Tomaso, sio watu wa kujikalia tuu na kujiuliza, ngoja tufanye michakato ya kusogelea maeneo ya karibu na golini kujua ni nini haswa kimetokea!, maana...!

Duh...!.

Paskali
Post za kijinga zimejaa hisia kuliko uhalisia,
Wenye akili hatongozwinna hisia wa jinsia,

kama mwanamke
atatushawishi kutuleta katiba mpya tutamchagi

Vivyo hivyo Kama mwanaume atatulea katiba mpya tutamchagua

Watu smart hatuyumbishwi na matukio ni tafiti facts tu
 
Wanabodi,
Hapo nilipo bado nimepigwa bumbuwazi na matokeo ya uchaguzi wa Marekani, na kujiuliza
Inawezekana hawa Wamarekani ni majitu majinga ajabu!, wamemchagua rais mwanaume, na kumtosa Mwanamke kwasababu tuu ni mwanamke?.

Mnaonaje kama 2025, sisi Watanzania tuchague mwanamke ili kuonyeshea kuwa tuna akili zaidi yao hao majinga ya Marekani?

Na kufuatia matokeo haya, sisi akina Tomaso, sio watu wa kujikalia tuu na kujiuliza, ngoja tufanye michakato ya kusogelea maeneo ya karibu na golini kujua ni nini haswa kimetokea!, maana...!

Duh...!.

Paskali
Ujinga wao upo kwenye uchaguzi Kwan? Kuchagua jinsia flan kunaonyesha jinsi taifa lilivyo na akili? Hata kama mtu ana sera mbaya kiasi gani anaweza kuchaguliwa Kisa jinsia yake?
 
Wanabodi,
Hapo nilipo bado nimepigwa bumbuwazi na matokeo ya uchaguzi wa Marekani, na kujiuliza
Inawezekana hawa Wamarekani ni majitu majinga ajabu!, wamemchagua rais mwanaume, na kumtosa Mwanamke kwasababu tuu ni mwanamke?.

Mnaonaje kama 2025, sisi Watanzania tuchague mwanamke ili kuonyeshea kuwa tuna akili zaidi yao hao majinga ya Marekani?

Na kufuatia matokeo haya, sisi akina Tomaso, sio watu wa kujikalia tuu na kujiuliza, ngoja tufanye michakato ya kusogelea maeneo ya karibu na golini kujua ni nini haswa kimetokea!, maana...!

Duh...!.

Paskali
Nani kakwambia wamemtosa kwa sababu ya uke wake? Walichofanya ni demokrasia na haki zao. Kama mnamshabikia huyu wenu kwa uke wake go ahead and vote for her. Ila nashauri muangalia sera badala ya jinsia. Kamala aliingia akiwa amechelewa tokana na ung'ang'anizi wa jolly joe. Pia, alitetea sera ambazo hazikuwaridhisha wamarekani. Hivyo, wanaodhani amebwagwa kwa sababu ni mwanamke, wafikiri upya.
 
Mnaonaje kama 2025, sisi Watanzania tuchague mwanamke ili kuonyeshea kuwa tuna akili zaidi yao hao majinga ya Marekani?
Hii kitu ngosha unayotaka kutufanyia ni bullying kwetu sisi wanaume! Kama ndivyo hivyo basi na sisi wacha tujibu mapigo! Hebu tuache kusumbua wanawake bwana, hao tuwaachie wafanye kazi waliyochagua tangu wakiwa pale bustani ya Eden. Kazi ya wanawake wanayoweza kuifanya kwa sahihi ni ya kuhesabu mabati! Tuwaachie wafanye kazi hiyo!
 
Nimemsikia, kauli hiyo ni sedition!.
Mtu tayari ni rais, huwezi kusema hawezi kuwa mwanamke hawezi kuwa rais wakati tayari tuna rais mwanamke!.
P
Wacha hiyo wewe! Huyu tumekuwa naye kwa bahati mbaya sana! Hebu aishie hapo alipofikia imetosha sasa! Kama Wamarekani wamemkataa mtu mwe ye IQ kubwa sisi ni nani hata tuendelee na zero?
 
Labda mwenzetu huoni vituko vinavyoendelea IKULU?!
Pamekuwa 'Leaders Club'!
Haya labda kaka wajuwa zaidi yetu! Ila IKULU ya leo siyo kina JKN, BM, JMK!
Hapana tofauti na vijiwe vya wahuni, ma lobist, matapeli, wasanii, wababaishaji!
Panadhalilika huku tukiwa HATUNA LA KUFANYA!
 
Back
Top Bottom