Inawezekana Wamarekani ni wajinga ajabu? Wamemchagua mwanaume na kumtosa Mwanamke. 2025 Watanzania tuchague mwanamke kuonesha tuna akili zaidi yao?

Ukiwasikiliza wamerekani na kuwafuata utaingia shimoni......maana wanacho kisema na watakacho tenda ni tofauti kabisa.
Wanajifanya kuwa mwananke anahaki sawa na mwaname lakini historia inaonyesha zama hizo Mwanamke wa kimarekani alikuwa haruhusiwi kugombea nafasi yoyote.
Kwakifupi wamarekani hawaamini jinsia ya Kike katika nafasi ya juu.
 
Aliyekwambia kuchagua mwanamke ni kuwa na akili nani?
Kama unachagua wa kuoa sawa ni uthibitisho kuwa umekuwa mtu mzima mwenye akili. Ila kuchagua kiongozi mwanamke si uthibitisho kuwa umekuwa mtu mzima mwenye akili.
Hata kama ni kuchagua na kuoa unaweza ukasngukia kuchagua nyangarakasha ambalo liliwahi kuchaguliwa na kuolewa lakini likatoswa, wewe bila kujua unalikwaa huku walijualo wanakucheka.
 
Nimekuelewa unachomaanisha Paskali!
But Wamarekani hawakuchagua jinsia bali sera za mgombea!
Kamala Harris alionyesha uwezo mdogo sana hasa siku ya kukubali uteuzi wa Democrats!
Muda mwingi alitumia kum- attack Trump badala ya kuelezea sera zake !
Kamala Harris hakuwa na sera za maana zaidi ya kupigania utoaji mimba na ushoga vitu ambavyo inaonekana watu wengi hawavitaki!
Unakuwa na sera ya kutoza Kodi kwa mapato ambayo hayajapatikana?!
Kamala hakuwa na sera madhubuti kuhusu immigration ( uhamiaji), wazamiaji haramu wamejaa kwa sasa Marekani.
Paskali Sisi tuendelee kuongozwa na jinsia, akina Steve Mengele "Nyerere", Mwijaku n.k. Marekani ni level nyingine hawachagui Rais kufurahisha hisia bali mtu mwenye sera na maono ya kutatua shida zao kwa wakati husika.
 
Nimemsikia, kauli hiyo ni sedition!.
Mtu tayari ni rais, huwezi kusema hawezi kuwa mwanamke hawezi kuwa rais wakati tayari tuna rais mwanamke!.
P
Mbona Paschal nikikusoma between lines ni kwamba unanga mkono kauli ya huyo sheikh. Naamini yeyote mwenye D mbili atang'amua hidden meaning ndani ya thread yako.
 
Sisi wavuta bangi na Unga wa CUBA tumekuelewa Mkuu ni kweli sisi ni mabombonya
 
Vipi Hilary Clinton na yeye aliingia muda umeisha
 
Ulisema wewe ni wakili?
 
Wewe Mayala umefilisika inaelekea njaa imekushika pabaya.

Sisi wote wenye akili tunawasifu wamarekani hasa wanawake wa marekani kwa kukataa kuburuzwa na ajenti wa shetani Kamala. Wamaekani wamepigakuara kwa kuangalia changamoto walizonazo na nani anafaa zaidi kuaminiwa kuzitatua. Masuala ya tumpe fulani kura kwa sababu ya jinsia yake wao hawana ujinga huo .

Wewe umekuwa ukitumia jukwaa hili kupotosha watanganyika.
 
Mmeanza kumtusi Samia naona...

Yani uchague mtu kuonyesha watu una akili badala ya kuzingatia future ya Taifa? Huu ni utumwa na umsukule wa kimataifa.

Mwanamke hata kuongoza familia hawez sembuse watu zaid ya 60M?, Tuwe serious kidogo👎
 
Kuongozwa na mwanamke ni sawa na kupanda mtumbwi unaopelekwa na mawimbi ya bahari.
 
Unafikiri mwanamke pekee ndiye mwenye haki ya kuchaguliwa?! Nakushangaa kiongozi unawaita wamarekani wajinga?!
 
Anachaguliwa mtu kwasababu ya uwezo na siyo gender yake........kama mtu ni incompetent akafanye kazi nyingine
 
Wewe Paschal ndo jingalao !!! Na ndo mana mama hakupi teuzi ! Pamoja na kusoma kooote lakini akili haijakaa sawa ???
 




Hata mama yako akikutawala basi huwezi kuwa na familia imara kwani ataingia kwenye mgogoro na mkeo kugombea madaraka kwa sababu mkeo naye atataka kukutawala.

Kifupi Laana iliingia pale Adam alipokubali kuongozwa na Mwanamke aitwaye Hawa au Eva.
 
Bwana Mayalla, familia yako inaongozwa na nani?

Ukinijibu hili urudi nyuma uanze kufikiria kama kweli huyo mwanamke anaweza kuongoza nchi.

Americans are no fools...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…