Income ipo, expenses za ofisi zipo chini yake lakini profit haiendani na juhudi

Gharama za uendeshaji? Kumbuka ukiwa na idadi kubwa ya wateja, utaajiri watu pia, hugakuwa mwenyewe, costs zinapngezeka. Ikishakuwa katikati ya mji kodi ni kubwa sana, watu wanalipa hadi 1m lwa mwezi kodi tu. Nilichojifunza kwenye hizi biashara, return yako itaendana na uwekezaji wako. Huyo kawekeza pesa ndefu kwenye kodi, setup ya eneo, vifaa nk lazima return iwe kubwa.
 
Dahh! Biashara pasua kichwa🤯 ameajiri watu kama 8-10, kuna bills hapo umeme na maji taka lazima, vitendea kazi vikipungua lazima uongeze, kitu kikiharibika lazima ununue/urekebishe🥵
 
Dahh! Biashara pasua kichwa🤯 ameajiri watu kama 8-10, kuna bills hapo umeme na maji taka lazima, vitendea kazi vikipungua lazima uongeze, kitu kikiharibika lazima ununue/urekebishe🥵
Anaweza asipate hiyo, au akapata zaidi ya hiyo. Mjini kuna watu wanatengeneza pesa sana kwa kweli.
 
idea zipo kibao mbona inategemeana na location

weka hapo ata karanga vijuisi , softdrinks, za baridi uwauzie wateja wako wakati wanasuguliwa kucha.
Mkuu uko sahihi sana. Hata mimi nilishawahi kupitia wakati mgumu sana wakati fulani ikabidi nijifunze kupika bites mbalimbali na kuziweka dukani. Mimi sikuwahi kupika bites yoyote ikabidi nijifunze you tube. Siku ya kwanza nilipika chapati ambazo hata mimi mwenyewe nilishindwa kuzila. Lakini baada ya muda nikawa masta na kujikuta bites zinanitatulia mambo kadhaa kiasi kwamba hela ya dukani ilibaki dukani tu.
 
Umenitia moyo sana! Mzunguko sio mkubwa maana sio mjini, pia nimewaza kufanya hivyo ni either nianzishe nyingine au niipanue hiyo kwa kuhamishia eneo jingine!
Ama ongeza huduma, kama ni saluni unaremba watu consider vitu kama kuuza vipodozi, kama una wenzako karibu consider kununua raw materials mnazotumia kuremba uwa supply na wao etc.
 
Mkuu inategemea na uwekezaji unaufanyia wapi.. location ikiwa sio sahihi utaishia kupoteza pesa. Masanja alifungua mgahawa mzuri sana Magomeni akawa anauza pizza na ndugu zake kina keki. Haikuchukua muda akafunga.
 
Ukigawa hiyo 59k kwa kila siku ni kama 8k hivi. Nahisi kama faida ni ndogo bado haiwezi kabisa kusustain biashara, japo mleta mada kasema ina vary, huenda kuna wiki inapanda zaidi.
Na ukiangalia alichotumia Kupata hio 8000 ni 16,000, biashara gani ya uhakika ina faida kubwa hivyo? Tatizo hapo sio faida Bali mzunguko wake mdogo, kama pato la wiki ni chini ya laki 2 hio faida ni reasonable kabisa. Hata hao kina Mo na Bakhresa hawana margin kubwa hivyo.
 
Mm nisaidie tu. Hii app inaitwaj
 
Duhh umenichanganya hapa kwakweli! Hii faida kwa week ni kubwa kwa vigezo vipi unasema kina bakhresa hawana margin kubwa hivi?
 
KinaMo price margin ni ndogo ila ni millions.
Huku mtaani inaweza isifike 5000 kulingana na mtaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…