Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
- Thread starter
-
- #101
Vipi kuhusu sheria zilizopo katika dini, je hazina umuhimu katika maisha ya kawaida ya mwanadamu?Kungekuwa hakuna marginalization wala watu kupigika na shida (hence finding hope) wala dini zisingekuwepo...
In short the mass needs their Opium....
Waliishi kwa kufuata mila ambazo hazikuwa na ukamilifu na maudhui ya kutosha kuhusu namna ya kuishi na kutendaMleta mada Mvivu kutafuta vitu...Dini hapa Tanzania Imeingia karne ya 19 Jiulize izo karne nyingine watu waliishije?
Ingekuwa ni tafrani sana, mdudu angekuwa famous pande zoteKwanza wale watu wa upande ulee, wangekula kitimoto
Kwa upande wa Sheria za dini ya Budha umesema imetungwa na binadamu. Vipi kuhusu sheria za dini nyingine? Nani alizitunga na lini?Kwa hiyo umekubali kwamba sheria za dini zilitungwa na wanadamu?
Mwingine aliitwa Muhammad. Alizaliwa Macca,Sawa, kwasababu Budha wao hawana Mungu hivyo lazima sheria watunge wenyewe.
Mkuu kwa mfano ni zipi baadhi ya elimu zilizo kuwepo awali pamoja na sheria zake?Zipo elimu nyingi sana nje ya dini kabla ya ujio wa dini
Ni wapi alisema yeye ndiye mtunzi wa sheria?Mwingine aliitwa Muhammad. Alizaliwa Macca,
Baada ya kuzidiwa kichapo na raia waliokataa sheria za dini yake alizotunga akakimbilia madina na kujificha kwenye mapango.
Alikuwa mwanadamu.
Sijui ingekuwaje, watu wanaoa watoto wa miaka 9.
Watu wangejilimbikizia wanawake 1000 na wengne kukosa.
Mababu zetu waliishi kwa mila zao lakini hazikukamilika kwa upande wa sheria na namna ya kuishi kwa utaratibu maalumuKabla ya hizi imani za kizungu, mababu zetu waliishi kwa nidhamu ya hali ya juu kwa kutumia imani zao za jadi.
Mwingine ni Yesu wa Nazareti, mtoto wa fundi seremala.Ni wapi alisema yeye ndiye mtunzi wa sheria?
Sodoma na Gomora nchi nzima walikuwa wanaf**, manefili walitaka kuwaF malaila, unataka kusema dini ndio iliwafundisha hao au unaandika tu kutokea sebuleni kwa shemeji yako bila kushirikisha ubongo?Mila na tamaduni usizisahau ndizo zilisimamia wema na ubaya dini ikaja kuzifuta ndio saiv inaleta ndoa za jinsia 1 na haki sawa
Vipi kama ukiondoa dini na serikali na kuweka mila na tamadunimaisha yatakuwaje
Malezi na maadili ni jambo muhimu sana, na katika sheria za dini kuna maelezo muhimu kuhusu maadili na maleziBinadamu kutambua mema na mabaya wala haitaji dini kulitambua hilo, dini ni mifumo iliyobuniwa tu na binadamu ,binadamu ndio mwanzilishi wa dini kama ilivyo binadamu alivyo mwanzilishi wa technology, ni sawa na useme ingekua vipi binadamu kuishi bila teknolojia?
Kamwe dini haijengi maadili bali malezi na makuzi ndio yanajenga maadili kwenye jamiii.
Kweli hao wote ni binadamu, lakini hakuna sehemu umethibitisha wao ndio watunzi wa sheria hizoMwingine ni Yesu wa Nazareti, mtoto wa fundi seremala.
Huyu yeye, baada ya kuanza kufundisha sheria za dini yake ya ukristo aliyoianzisha, raia walikataa kabisa na kuamua kumpiga hadi kumtundika juu ya mti hadi kupoteza maisha.
Huyu nae alikuwa binadamu.
Ukifuata vitabu vya dini 100% utajikuta umekua mbaguzi kwa watu wasio wa dini yako ,pamoja na dini kuwepo na mtu kuwa na dini inahitajika busara za malezi na makuzi kuishi na watu wasio wa dini yako njee kabisa ya dini.Malezi na maadili ni jambo muhimu sana, na katika sheria za dini kuna maelezo muhimu kuhusu maadili na malezi
Waumini wengi wa dini hawajui na hawaelewi vyema sheria zao, ndymaana unaona ubaguzi na migogoro.Ukifuata vitabu vya dini 100% utajikuta umekua mbaguzi kwa watu wasio wa dini yako ,pamoja na dini kuwepo na mtu kuwa na dini inahitajika busara za malezi na makuzi kuishi na watu wasio wa dini yako njee kabisa ya dini.
Sheria zinazaliwa ndani ya utashi wa watu tu , na kukubaliana kama wamoja kuziishi katika misingi ipi kwa pamoja , ili kuwa na uwiano mzuri wa maisha.Kweli hao wote ni binadamu, lakini hakuna sehemu umethibitisha wao ndio watunzi wa sheria hizo