Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Usijali sooon itakuja hiyo parte 🥳🥳🥳Eeeeehhhh nataka dada nikija na pombe yangu watu watesi wote watulize mishono
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijali sooon itakuja hiyo parte 🥳🥳🥳Eeeeehhhh nataka dada nikija na pombe yangu watu watesi wote watulize mishono
You will see 😁😁😁How?
Sawa,kwa hiyo nimeshaalikwa?You will see 😁😁😁
Aah sa number ya nini party yenyewe humuhumu,tungekuwa tunaenda kula bata Zenji kweli 😂😜Alafu hata namba yako sina Ni DM
🤣🤣🤣🤣Aah sa number ya nini party yenyewe humuhumu,tungekuwa tunaenda kula bata Zenji kweli 😂😜
Mmmh Iringa tena kwa kina niangusage sambi sako mwenyewe mmmmh🤣🤣🤣🤣
Zenji bata huwa halina vibe aisee, bata ni Iringa 🥳🥳🥳🥳
My favourite place hata Zenji lakini ni lazima uwe na package ya maana kwa sababu utanunuwa souvenir lakini Mimi kule nina familia 🤣🤣🤣Mmmh Iringa tena kwa kina niangusage sambi sako mwenyewe mmmmh
Mi mzigo wangu huo,yaani huwezi amini hiyo baseline ya maji sijawahi nunua ila inanivutia kila nikiiona,je ni nzuri?Akhu!! Nna karangi ka urithi nafoka nako 😂😂
Mzigo huo natumia
Hayo mambo ya uzungu ndio ninayoyapenda dada yako....nakula zangu bwanga za linen,makofia mbona naenda nao sawa,jioni kwenye karaoke aaah weekend Zanzibar patamu Bwana....sema kwenye package kama unavyosemaMy favourite place hata Zenji lakini ni lazima uwe na package ya maana kwa sababu utanunuwa souvenir lakini Mimi kule nina familia 🤣🤣🤣
Alafu uzungu ni mwingi sana.
Tuko pamoja sisy 😂😂Waaoh,yaani wewe ni my wangu kabisa mie mzigo wangu huo
Hiyo shower gel ninayo na mengine kibao 🤣🤣Mi mzigo wangu huo,yaani huwezi amini hiyo baseline ya maji sijawahi nunua ila inanivutia kila nikiiona,je ni nzuri?View attachment 3095799
Ahsante kwa mchongo "nimedanlod" 20$....Habari za mchana wakuu, mimi kazi yangu ni kuwasogezea michongo ya online ya kuingiza pesa.
View attachment 3094950
Kuna huu mchongo rahisi kabisa unaokupa $1 kila siku kwa simu yako na internet yako bila hata ya kuhangaika kufanya kazi. Kuna hii App inalipa kwa kushare internet yako tu. Ikifika $5 unaweza kuitoa fresh !!
Jiunge hapa fasta kuchangamkia mchongo huu: Welcome - Pawns
Lini sasa twende? Nimemiss kuzurula 🤣🤣🤣My favourite place hata Zenji lakini ni lazima uwe na package ya maana kwa sababu utanunuwa souvenir lakini Mimi kule nina familia 🤣🤣🤣
Alafu uzungu ni mwingi sana.
Aisee hizo ni pigo zangu jioni kama hii umevaa shati linen white na panty black au kipensi cha jinsi unabarizi maeneo ya Darajani, Shangani, Hurumzi mpaka Forodhani kwenye sea food na menu yangu pendwa urojo yaani ni 👌🏼😋😋😋Hayo mambo ya uzungu ndio ninayoyapenda dada yako....nakula zangu bwanga za linen,makofia mbona naenda nao sawa,jioni kwenye karaoke aaah weekend Zanzibar patamu Bwana....sema kwenye package kama unavyosema
Lini sasa?? Mi nna hamu ya kutoka 🤣🤣Hayo mambo ya uzungu ndio ninayoyapenda dada yako....nakula zangu bwanga za linen,makofia mbona naenda nao sawa,jioni kwenye karaoke aaah weekend Zanzibar patamu Bwana....sema kwenye package kama unavyosema