Ingiza $1 kila siku kirahisi kabisa bila kufanya kazi

Ingiza $1 kila siku kirahisi kabisa bila kufanya kazi

Aisee hizo ni pigo zangu jioni kama hii umevaa shati linen white na panty black au kipensi cha jinsi unabarizi maeneo ya Darajani, Shangani, Hurumzi mpaka Forodhani kwenye sea food na menu yangu pendwa urojo yaani ni 👌🏼😋😋😋
Umeona mambo hayo!Tena we mwenyeji sana inaonyesha kwa hiyo utakuwa tour guide wetu
 
Hiyo shower gel ninayo na mengine kibao 🤣🤣
Dove product zake ziko vizuri sana.. mwili unateleza ukitoka kuoga.!
Vaseline ndio kabisaa ninazo za kutosha.
Yaani uzuri wa dove unatoka kuoga unanikia vizurii,sio dada mzima unanukia ki Eva😂.......
 
Dove ina balaa, mimi nna lotion mpk za usiku.!!
Kuna siku rafiki yangu aliniambia utalombwa na majini mahaba shauri yako 😂😂😂
Waaoh...I think I need those night stuff..
 
Habari za mchana wakuu, mimi kazi yangu ni kuwasogezea michongo ya online ya kuingiza pesa.
View attachment 3094950

Kuna huu mchongo rahisi kabisa unaokupa $1 kila siku kwa simu yako na internet yako bila hata ya kuhangaika kufanya kazi. Kuna hii App inalipa kwa kushare internet yako tu. Ikifika $5 unaweza kuitoa fresh !!

Jiunge hapa fasta kuchangamkia mchongo huu: Welcome - Pawns
Uelezee uwo mchongo Kwa undani kwanza
 
Siuzi cosmetics bana, mi nauza vijora
Boss, Lamomy nilitakakuku-PM lakini nimeona hauPIEMIKI. Nilikuwa Nina shida ya kufahamu chimbo la vijora ambalo nitapata Kwa bei ambayo Yale maduka ya Kariakoo wanakonunulia. Maana madukani 11,000 na 6000-5500. Nataka na Mimi nikauze Kwa Bei hizo, je chimbo ni wapi?.
 
Mombasa Kenya
 
Back
Top Bottom