Ingiza $1 kila siku kirahisi kabisa bila kufanya kazi

My favourite place hata Zenji lakini ni lazima uwe na package ya maana kwa sababu utanunuwa souvenir lakini Mimi kule nina familia 🤣🤣🤣
Alafu uzungu ni mwingi sana.
Hayo mambo ya uzungu ndio ninayoyapenda dada yako....nakula zangu bwanga za linen,makofia mbona naenda nao sawa,jioni kwenye karaoke aaah weekend Zanzibar patamu Bwana....sema kwenye package kama unavyosema
 
Ahsante kwa mchongo "nimedanlod" 20$....
 
My favourite place hata Zenji lakini ni lazima uwe na package ya maana kwa sababu utanunuwa souvenir lakini Mimi kule nina familia 🤣🤣🤣
Alafu uzungu ni mwingi sana.
Lini sasa twende? Nimemiss kuzurula 🤣🤣🤣
Sema nimebongeka nyash inafoka na nataka kutinga g-string muda wa kuswim itakuwaje??
 
Hayo mambo ya uzungu ndio ninayoyapenda dada yako....nakula zangu bwanga za linen,makofia mbona naenda nao sawa,jioni kwenye karaoke aaah weekend Zanzibar patamu Bwana....sema kwenye package kama unavyosema
Aisee hizo ni pigo zangu jioni kama hii umevaa shati linen white na panty black au kipensi cha jinsi unabarizi maeneo ya Darajani, Shangani, Hurumzi mpaka Forodhani kwenye sea food na menu yangu pendwa urojo yaani ni 👌🏼😋😋😋
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…