Ingizo jipya JF: Ni nani na nani wanatamba kwa sasa?

Huwa hakuna kitu napenda kuona MTU ana exit zaidi ya generation Moja mpaka mbili tatu .

Mfano kama MTU alijiunga hapa JF 2006 na akawa active mpaka Sasa atakuwa Kuna generation mbili zimezaliwa na kumkuta jukwaani

15 na 20 yrs wote Hawa wamo humu JF

Hata kububujikwa na machozi πŸ˜„ akiwemo
 
John wambua unaweza Dhani amebeba shopping akipelekea mamake ushago, lakini jamaa alikuwa amemuua bibi yake Fridah na kumkatakata na kumueka kwa hiyo bag na kuingia Town CBD kutafuta mahali atawacha io bag πŸ’”Hii siku police walikuwa patrol side ya Kelly towers stopped wambua, the bag he had carried raised suspicion, but nothing about his face showed panic. He firmly stood there, as if it was just another ordinary morning. On stopping him and opening the bag ,,,what followed was shock, inside the were pΓ Ε•ts of human b0dy of her wife😭😭 hear he is cooling his knees at kamiti maximum pΕ•Γ¬sΓ²n.


View: https://youtu.be/OqEfX1snjFs
 
Mungu nijaalie demu mpenda pesa kila siku nitamani kuwa Bakhresa.....

Asinipende mimi apende Verosa wanaomegewa wengi ndio kitu wamekosa....

Ukiwa na Demu anayependa vidogo....
Huwezi kuwa tajiri wa kumshinda kigogo....

Yani niwe na Demu ambaye anamsifia Boss wangu...
Ili nipate Uchungu nami nijenge kiwanda changu....

Sitaki demu wa kitanga Jioni moja kanga tayari amejipanga Kwa mabusu mangapi...
Dem ninayemtaka Manka wa kichaga Jioni anaulizaga Umeingiza shingapi........

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Kwahiyo hapa bado umelewa au una hangover?
Acha nitafute mtu nianze kumuomba hela 😁 ila usiwe unaniingiza chaka nikaitwa omba omba
 
*Yani niwe na Demu ambaye anamsifia Boss wangu...
Ili nipate Uchungu nami nijenge kiwanda changu.*πŸ˜‚
 
Huu wimbo Nilikuwa naukubali kinoma na. Kuuimba kabisa ila tokea muimbaji yamkute mazito si upendi naona kama na mimi yatanikuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…