Hahahha chagua humu humu bwashee na ndoto za kupata mke humu๐Ngoja nikuchagulie mmoja
Pole sanaHuu wimbo Nilikuwa naukubali kinoma na. Kuuimba kabisa ila tokea muimbaji yamkute mazito si upendi naona kama na mimi yatanikuta
Hahaha hivi mwamba demu wake alikua manka kwani?Huu wimbo Nilikuwa naukubali kinoma na. Kuuimba kabisa ila tokea muimbaji yamkute mazito si upendi naona kama na mimi yatanikuta
Familia yanguUkiwa fala unanyooshwa humu๐
Me bado yajanikuta na naomba yasinikutePole sana
Yule sijui kabila gani maana anashambulia kama mu Iran ๐Hahaha hivi mwamba demu wake alikua manka kwani?
seran unanyooshwa kivipi mama?Ukiwa fala unanyooshwa humu๐
Kijana yakikukuta usilie chukulia tu ni challengeMe bado yajanikuta na naomba yasinikute
Ila acha nipokee pole kwa niaba ya muimbaji ๐ฅบ๐
Kwa lile Tako sioni kama ni manka bwasheeYule sijui kabila gani maana anashambulia kama mu Iran ๐
Awe na weusi mzuri halafu msukuma bwashee ๐Nipe vigezo chap!
Tatizo โhujui basi โ ila ningekuchagua wewe uwe unanipa motivation ๐Kijana yakikukuta usilie chukulia tu ni challenge
Mhimu uwe na mtu wa kuku motivet kutafuta hela kama hivyo akuombe sana helaaa๐
Poleee sitaweza nipo in love pahala๐ฅฐ๐๐โโ๏ธTatizo โhujui basi โ ila ningekuchagua wewe uwe unanipa motivation ๐
Ka hata najua nilikaona selfika ๐Tatizo โhujui basi โ ila ningekuchagua wewe uwe unanipa motivation ๐
Mkiachana utanibeep ๐Poleee sitaweza nipo in love pahala๐ฅฐ๐๐โโ๏ธ
Kumbe kule selfika huwa mnaonana inabidi na mimi nianze kupita pita kule ๐Ka hata najua nilikaona selfika ๐
Hatuachani ng'oooMkiachana utanibeep ๐
Bwashee kwani sisi ni mizimu tusionane๐ unakosa vingi sanaKumbe kule selfika huwa mnaonana inabidi na mimi nianze kupita pita kule ๐