We baba mtumishi umenichoka kondoo wako? Nianike namba hapa?weka namba tufanye jambo😂
Sungura nyama yake ipo kama nyama ya kuku mchanga , nyama ya kuku wa kienyeji tamu zaidihivi kuku na sungura mtamu wa ladha ni yupi,pale goba kuna mama mmoja anauza sungura nataka niwe mteja wake nasikia sungura utamu wake kuku anasubiri
mtata kweli 🤣🤣 amekua adimu sana ,kuna kipindi alibadilisha sana ID akapoteaIla huyo dada😃
Hujawahi kuonja? Tutamu kama playboy balaahivi kuku na sungura mtamu wa ladha ni yupi,pale goba kuna mama mmoja anauza sungura nataka niwe mteja wake nasikia sungura utamu wake kuku anasubiri
Hahaha ile ni namba nyingine , kuna mwingine yule alikula life ban😅mtata kweli 🤣🤣 amekua adimu sana ,kuna kipindi alibadilisha sana ID akapotea
unataka kuweka wapi😂😂😂 tusikaribishe mianya ya kutenda dhambi😂😂😂We baba mtumishi umenichoka kondoo wako? Nianike namba hapa?
sijawahi eti nimechelewa sana kumla sungura 😂Hujawahi kuonja? Tutamu kama playboy balaa
simkumbuki nikumbushe ila kipindi kile jf ilikua serous sana na sheria ban nje nje naona wameona haina haja sasa kupiga ban watu,kuna uzi juzi juzi nimeuona watu wanatukanana balaa na hakuna banHahaha ile ni namba nyingine , kuna mwingine yule alikula life ban😅
eti kama playboy nimecheka😂😂😂😂Hujawahi kuonja? Tutamu kama playboy balaa
wewe noma mkuu umejua kutofautisha nataka nifuge kabisa sungura ,ni kweli kuku na sungura ladha zinakaribiana nasikia kama hujaambiwa ukaletewa utasema tu ni kuku😂😂Sungura nyama yake ipo kama nyama ya kuku mchanga , nyama ya kuku wa kienyeji tamu zaidi
Niekee kwenye ile lipa yangu😂unataka kuweka wapi😂😂😂 tusikaribishe mianya ya kutenda dhambi😂😂😂
Ni mtamu kuzidi naniliuu😅👌🏽sijawahi eti nimechelewa sana kumla sungura 😂
Hebu nitag huko nikashushe sukari ba mtumishi🤗simkumbuki nikumbushe ila kipindi kile jf ilikua serous sana na sheria ban nje nje naona wameona haina haja sasa kupiga ban watu,kuna uzi juzi juzi nimeuona watu wanatukanana balaa na hakuna ban
Ba mchungaji mla kondoo siona mkaishi maisha marefu nitawafungisha mimi ndoa ba mchungaji nipo hapa
tulia hapa utapofuka macho😂Hebu nitag huko nikashushe sukari ba mtumishi🤗