Ingizo jipya JF: Ni nani na nani wanatamba kwa sasa?

Nikikumbuka zamani jukwaa la wakubwa na mizagamuano ya wanna jf mwisho wa siku wanakuja kutoleana uvivu humu aisee natamani siku zirudi nyuma kipindi jf inajadiliwa bungeni!
hilo jukwa la wakubwa walikuja kulitoa connection zote zilikua mule demi na Evelyn Salt walikua wanalichangamsha sana hilo jukwaa,melo alikija kulitoa maana lilikua ni hatari kipindi hicho dah
 
hilo jukwa la wakubwa walikuja kulitoa connection zote zilikua mule demi na Evelyn Salt walikua wanalichangamsha sana hilo jukwaa,melo alikija kulitoa maana lilikua ni hatari kipindi hicho dah
Sure upande wa maconection ya kipindi kile Evelyn Salt apewe maua yake💐💐 kwakweli memba wa chaputa wali enjoy sana.Kama sikosei Kuna kesi Moja ilikuja humu ya mke wa mtu ikapelekea ndoa kufa I think ndio chanzo Mello akatupoka haki yetu sababu ilifikia watu wanapiga picha na video halisi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…