Husikii..MENEMENE TEKERI NA PERESI
Assalaam alaykum warahmatullah wabarakatuh
Vipi usalama upo hujashikwa bega hukoπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
MENEMENE TEKERI NA PERESIHusikii..
Mama mkwe ,hasikii nini bwana ? πHusikii..
Sijajua ila wazazi uona mbali ,sasa tusemeje maana ,katazo la kikubwa hilo "HUSIKII"π
Ahaa nimeelewa saafiπSijajua ila wazazi uona mbali ,sasa tusemeje maana ,katazo la kikubwa hilo "HUSIKII"π
Kwako pia aise hivi bado inaendelea enhe?Kheri ya pasaka π₯
Ndio leo ni Juma 3 ya pasakaKwako pia aise hivi bado inaendelea enhe?
Kuna bill imetumika huko ?Ndio leo ni Juma 3 ya pasaka
Unataka kulipa bills πββοΈπββοΈπββοΈ
Namwambia akaoshe vyombo ndio achatiπMama mkwe ,hasikii nini bwana ? π
NdioKuna bill imetumika huko ?
Uwe makini hachelewi kukushushia mitusi kwa ID nyingine ili kufidia mateso.Kumbeeeπ
Huwezi kukosha vyombo bwanaNdio
Hivi upo tayali nioshe vyombo π₯Ή
Mh sio kweli nimeona mama mkwe ,haya mambo haya π€Namwambia akaoshe vyombo ndio achatiπ
nakuombea mrembo wa yesu usijaliπMchungaji please niombee
Mama ataleta sadaka J2
hujabahatika wa kuoa humu miaka yote hii legendππKwa kweli tupeweπππ
kondoo mtata wewe kazi sana kukurudisha kwa Bwana πMchungaji miyeyusho ww
msiwape nguvu zenu wanawake msimame kiumeππHizo nguvu tunazo basi Mzee mwenzangu