ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Najua sana tena Jamii forum ya kipindi cha nyuma ilikua ya hovyo yenye majungu na kudhalilishanaKabisa jamiiforums jamiiforums kila siku , nilikua na I'd ya 2012 mambo ya hovyo yalikuwepo tu , watu wamechakatana na kuumbuana vibaya sana , wanawadanganyeni tu π
Bwashee huwa Nakuona sana unajitahidi kuwaelekeza hawa wanaolalamika kupotea kwa jfJipya litakuaje kama haulileti wewe mkuu
Just imagine mtu anataka akute kaanzishiwa uzi anao utaka yeyeBwashee huwa Nakuona sana unajitahidi kuwaelekeza hawa wanaolalamika kupotea kwa jf
Inabidi waelewe kuwa jf inatengenezwa na members na members wenyewe ndiyo sisi
Ukisema hakuna anayeleta vibe au cha maana leta wewe tukuunge mkono
Na sio unabaki kulalamika wakati we mwenyewe hutoi mchango
Na wanaoleta hicho cha maana kamwe hauwezi kuta wanalalamika , wanaolalamika ni wale wale walizoea kutafuniwa tuBwashee huwa Nakuona sana unajitahidi kuwaelekeza hawa wanaolalamika kupotea kwa jf
Inabidi waelewe kuwa jf inatengenezwa na members na members wenyewe ndiyo sisi
Ukisema hakuna anayeleta vibe au cha maana leta wewe tukuunge mkono
Na sio unabaki kulalamika wakati we mwenyewe hutoi mchango
Ukizeeka lazima ulalamike mara chakula kina chumvi nyingi,mara mabinti wa siku hizi π japo nimezeeka na pia nalalamika ila nalijua tatizo la msingiπNajua sana tena Jamii forum ya kipindi cha nyuma ilikua ya hovyo yenye majungu na kudhalilishana
Kuna watu walijivika u special saiv wamekutana na Gz wanawapuuza wanaanza malalamikoππ
π€£π€£π€£WatajeNajua sana tena Jamii forum ya kipindi cha nyuma ilikua ya hovyo yenye majungu na kudhalilishana
Kuna watu walijivika u special saiv wamekutana na Gz wanawapuuza wanaanza malalamikoππ
Unakabia kwa ukaribu sana bwasheeππ€£π€£π€£Wataje
π€£Box to box midfielderUnakabia kwa ukaribu sana bwasheeπ
Daaah kitambo sana mkuu..Nilikaa mda sana bila kuifungua juzi tu ndio nimetest mtambo ukafunguka.
sijui hawa wako wapii Poor Brain dronedrake Evelyn Salt
Biashara zinaendaje..?Jana na leo
Chanika stent ya mbagala....πππππSisi tuliojoin 2026 Tukae wapi?
Nini kimefanya sasa hivi hakuna nyuzi za moto bwashee? Na nani wa kulaumiwa?π€£Box to box midfielder
nkawaza nkafikiri mo29 aliwapitiaDaaah kitambo sana mkuu..
Hivi ulikua wapi mtaaalam proton wa pump..ππππ
nlikuwa ushagoo (mashambani) mkuuDaaah kitambo sana mkuu..
Hivi ulikua wapi mtaaalam proton wa pump..ππππππππ
X mpaka vpn, nime ingia muda si mrefu.Hata x niliona wadai imeachiwa