Ingizo jipya JF: Ni nani na nani wanatamba kwa sasa?

Ah Mimi mbn genZ. Type shit.🀣

ila sasa ukiangalia tokea wafanye hivyo, forumz zote zimepotea zikabaki hizi 3 tu. Ambazo ni za udaku na mapenzi.

1. MUM
2. Habari na hoja
3. Jukwaa la siasa.

Majukwaa yote ya serious hayana ishu skuizi
Wewe unafikiri chini ya kitovu isingekuwepo members wa hayo majukwaa serious wangetoka wapi bwashee?πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…