Instagram: Vita kati ya Lulu na Gigy Money dhidi ya Mwanamuziki TEKNO

Instagram: Vita kati ya Lulu na Gigy Money dhidi ya Mwanamuziki TEKNO

Status
Not open for further replies.
Mama yake alikuwa malaya huko Keko nasikia...

Alafu nasikia mamake enzi zake alikuwa na tako la haja, huyo Gigy angelipata basi angemkimbiza mpaka Masogange..
Mhhhhhh,kaka kwa habari hizi tu sikuwezi!!!!!
 
Tuzae watoto wa kiume wawe mashoga,tuzae vya kike viwe type ya gigy na wachafu wengine..dah😕😕sijui tutafute watoto wa jinsia gani!!
70% ya tabia ya mtoto anaitoa nyumbani kwa wazazi...

Kama baba na mama kila siku mnashinda Bar alafu mkirudi nyumbani ni kupigana na kutukana matusi basi ndivyo watoto watakavyokuwa...

Na kwa hawa mashoga wazazi pia wanachangia kwa kiasi fulani watoto wao kuwa hivyo... Nakumbuka miaka fulani hivi Jirani yetu alikuwa hamwelewi elewi mtoto wake wa kiume, ikabidi aje aniombe mimi na kaka yangu tuwe tunampeleka mpeleka kiume kwasababu hapo kwao kulikuwa na wadada tu.. Tukawa tunamchukua tunaenda nae mazoezi (Basketball) tukawa tunamlazimisha nae acheze (alivyoanza hata kurusha mpira alikuwa hawezi), siku nyingine tukawa tunamchukua tukiwa tunatoka, tukamtafutia na kademu akaanza kujifunza kidogo kidogo mpaka leo kawa malaya kuliko kaka zake tuliomfundisha.. Lakini kama mzee wake angemwacha aendelee kucheza rede na dada zake getini basi kuna possibility huyu nae angekuwa anapakuliwa leo...
 
Msisahau Huawei ni almaarufu wa kuwakana wanawake wa Kibongo aliowatafuna.
Alimkana Masogange kwa Diva, akamkana Diva kwa Masogange
Safari hii kamkana Giggy atakuja amruke na mjane wetu.
Ila kwa kweli giggy machupi ametia fora, kwani ukilal.wa lazima kila mtu ajue??
Alafu nasikia hiki kitoto ni cha 97...
 
nifah nimeperuz na nimefika mpaka insta,huyu bint ndo leo namsoma hapa,who is Gigy?anafanya shughuli gani?nimeona picha zake kule ni ufiraun kwakweli,
 
Usmart kama ule wa matusi ya jokate na mapumbu ya kiba😉
Alipewa fact akapanick haha" hua inatokea bt most of discussion kule ni points na zamaana compare to IG umbea #twentyfourseventhreesixtofive
 
Huyo tecno kaimba wimbo gani?
Na huyo Dada yenu anashughulika na nini hadi kawa maarufu?
 
Huyo tecno kaimba wimbo gani?
Na huyo Dada yenu anashughulika na nini hadi kawa maarufu?
Inaitwa #Duro uskute ushawah kuicheza au kuiimba kama sio kuisikia zaid ya mara 100 coz 2015 ulikua kama wimbo wa Taifa..
 
Muite tu dada atakuchamba hadi utapike, mbona Id yake ya instagram huwa anaitaja

nimeomba msamaha hapo juu sikujua wakuu , naogopa asije kunitumbua jipu , Ila namkubali sana nahitaji kumfolo insta
 
Huyu gigy s alishawh kusema kwenye interview yak ya wimbo wake mmoja iv ambao haukhit hata kidogo efm..kuwa sista ake ni porn star huko kwa obama..
aiseee
 
Utoto na hii mitandao, inawachanganya akili sana watu kwa kujitoa muhanga hadharani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom