Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
70% ya tabia ya mtoto anaitoa nyumbani kwa wazazi...Tuzae watoto wa kiume wawe mashoga,tuzae vya kike viwe type ya gigy na wachafu wengine..dah😕😕sijui tutafute watoto wa jinsia gani!!
Wala huyu Gigy sikuwa namjua mpaka nilivyopata hii habari...Mhhhhhh,kaka kwa habari hizi tu sikuwezi!!!!!
Alafu nasikia hiki kitoto ni cha 97...Msisahau Huawei ni almaarufu wa kuwakana wanawake wa Kibongo aliowatafuna.
Alimkana Masogange kwa Diva, akamkana Diva kwa Masogange
Safari hii kamkana Giggy atakuja amruke na mjane wetu.
Ila kwa kweli giggy machupi ametia fora, kwani ukilal.wa lazima kila mtu ajue??
Who is Gigy???ni nani ana shughuli gani?Gigy alikua anatafuta umaarufu kwa nguvu sana, nadhani this time amepata
Alipewa fact akapanick haha" hua inatokea bt most of discussion kule ni points na zamaana compare to IG umbea #twentyfourseventhreesixtofiveUsmart kama ule wa matusi ya jokate na mapumbu ya kiba😉
Gigy au tekno???Alafu nasikia hiki kitoto ni cha 97...
Na tunajua kufanya utalii wa ndaniWabongo sisi wakarimu sana
Inaitwa #Duro uskute ushawah kuicheza au kuiimba kama sio kuisikia zaid ya mara 100 coz 2015 ulikua kama wimbo wa Taifa..Huyo tecno kaimba wimbo gani?
Na huyo Dada yenu anashughulika na nini hadi kawa maarufu?
Huyo Gigy..Gigy au tekno???
Khaa..97 limama lote lile???Huyo Gigy..
Muite tu dada atakuchamba hadi utapike, mbona Id yake ya instagram huwa anaitaja
Nasikia hivyo...Khaa..97 limama lote lile???
aiseeeHuyu gigy s alishawh kusema kwenye interview yak ya wimbo wake mmoja iv ambao haukhit hata kidogo efm..kuwa sista ake ni porn star huko kwa obama..
Lulu huyu huyu mjane mdogo kuliko wote Tanzania