Intelijensia ya Rwanda sio ya mchezo mchezo, kinara wa Hotel Rwanda anashangaa kujikuta Kigali Airport

Oparation nzuri sana kama imefanyika kwa zaidi ya miaka kumi na tano,basi inabidi kuwa makini sana na hawa jamaa wanaweza kukufuatilia kwa muda mrefu hadi ukahisi hawana tena story na wewe kumbe ndo wamezidi kujua mambo yako mengi hadi kinyaji unachopendelea kunywa.
 
Rwanda wakiamini mtu fulani anahatarisha usalama wa nchi yao basi ajue hayuko salama popote pale alipo duniani. Nakumbuka miaka ya 1980s Nigeria walijaribu kumteka aliyekua waziri wao wa mambo ya nje akakimbila Uk lakini issue ika backfire airport
Umaru Diko,alikua waziri wa mafuta na usafirishaji,aliiba dola bilioni moja
Jenerali katili kuwahi kutokea Sani Abacha,alituma makachero,wakamteka wakamtia katika sanduku ,wakaandika kuwa ni mzigo wa kidiplomasia
Kilichomuokoa airport alipiga chafya kama tatu mfululizo kwa jili ya dawa za usingizi zilikua zinaisha nguvu,wazungu wakasema fungua mzigo msitutanie!
 
Hivi Rwanda wameshafikiria nani atakuwa Raisi wao baada ya Kagame?
Mbele giza...
 
Mpaka hapa umeshatulisha matango pori, Rusesabagina hajawahi kucheza sinema
 
Duh
 
Rusesabagina hajawahi kuwa na mpango huo. Kinachomuudhi PAKA ni kuwabRusesabagina anasema ukweli wa kilichotokea kuwa waliouawa siyo watutsi tu..........
 
Muwe mnasoma thread kwa thread sio kukurupuka......
Nijibu kwa nilichonukuu, usisome ili ujibu, usome ili uelewe na ujibu ulichoelewa. Kama uko kwa ajili ya kupotosha chaguanjukwaa lako halisi
 
Rusesabagina hajawahi kuwa na mpango huo. Kinachomuudhi PAKA ni kuwabRusesabagina anasema ukweli wa kilichotokea kuwa waliouawa siyo watutsi tu..........
Sijakuelewa Mkuu, kwamba kusema waliouwawa sio Watutsi pekee ni kosa?
 
Ha
Uganda umri wa kustaafu m7 umefika , wazee wa wakaenda RITA ya Uganda kudai umri wa m7 kustaafu bado wao ndio wanaojua umri sahihi bado kama 5yrs. Hahaaa! Africa!
Halafu kuna General Mhoozi Kainerugaba anapiga jaramba kuchukua nafasi ya Baba wakati utakapowadia
 
Stop beating around the bush mr, be candid!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…