Intelligent businessman na Half american kupanda ulingoni kuzichapa 😎. Pambano la monetary doctor dhidi ya poor brain laahirishwa kisa UE.

Huyo jamaa sio kama tapambana nae ila takua najipigia..
Haiwezekani yeye kila nyuzi ananiita mimi mtoto wake...

Am not their son blood
 
Mods wakishindwa majukumu watu wanaandaa fist fight.

Poor Brain Ndugu yangu kutoka Ukonga usiingie kwenye mapambano haya hayana maana juzi hapa vijana wamepigana huku kwetu ulongoni mtu mmoja katoka Hana kidudu.

Ignore inatosha
Hapana lazima kieleweke mkuu huyu jamaa kazidi kunichokoza sasa..

An kiufupi kanya ninapokojoa
 
Halafu secretarybird mambo ya kunitag bila idhini yangu iwe mwisho,

Kuna huyu kijana Poor Brain annajidai kapitia jeshi hili hili la majibu wa sheria ?

kwenda kuimba chenja na mabio kukimbia ndo jeshini,

Mimi babako nilipita Rwamkoma JKT mwaka mmoja na nusu, kujitolea nikiwa nasubiri kujiunga na diploma yangu ya ualimu mkwawa university,

Nilikuwa kitengo Cha combat karate, jitu la miraba minne nimepanda hewani,

Ntakudunda mpka unukie kifo, umkimbilie mama supu

Halafu ndege mm ni babako nani ana UE,

Saa hz nawaza pension tuu hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…