Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
50k ni 8mbps.Chief, mimi matumizi yangu ni zoom meetings na Ms Teams meeting nyingi na online streaming kwenye Smart TV kubwa.
Je kwa uzoefu wako hii ASDL internet ya TTCL inaweza kunifaa kweli nikifunga nyumbani kwaajili ya home office?
Let's say nikichagua plan ya 50K kwa mwezi.
What's the maximum Mbps kwa 50K plan?
Asante
Ila haitakufaa Adsl mkuu, maana kustream youtube na Netflix ni Tofauti na Zoom.
Zoom ni video streaming inatumia both download na upload speed pamoja na ping inabidi iwe nzuri kote.
Adsl upload speed ni 1mbps tu, hivyo hata ukichukua packgae ya 8mbps bado speed yako ya ku upload itakua Ndogo, unayeongea nae kule atakuona unakata kata,
Pia ping ya Adsl ni kubwa kwa vitu vya real time si nzuri sana.
Best option kwa Video conference ni Fiber na supakasi Voda.