Internet ya uhakika na bei sawa na bure ni Adsl ya TTCL

Chief, mimi matumizi yangu ni zoom meetings na Ms Teams meeting nyingi na online streaming kwenye Smart TV kubwa.

Je kwa uzoefu wako hii ASDL internet ya TTCL inaweza kunifaa kweli nikifunga nyumbani kwaajili ya home office?

Let's say nikichagua plan ya 50K kwa mwezi.
What's the maximum Mbps kwa 50K plan?

Asante
50k ni 8mbps.

Ila haitakufaa Adsl mkuu, maana kustream youtube na Netflix ni Tofauti na Zoom.

Zoom ni video streaming inatumia both download na upload speed pamoja na ping inabidi iwe nzuri kote.

Adsl upload speed ni 1mbps tu, hivyo hata ukichukua packgae ya 8mbps bado speed yako ya ku upload itakua Ndogo, unayeongea nae kule atakuona unakata kata,

Pia ping ya Adsl ni kubwa kwa vitu vya real time si nzuri sana.

Best option kwa Video conference ni Fiber na supakasi Voda.
 
Nafuatilia sana kiongozi. Mikoani hizo waya zime nyooka tu Main Road (underground). Tena barabara Kuu tu. Hata hawatangazi wanao taka kuvuta. Wavute (shs ngapi). It means hawaja jiandaa. Hizo ni porojo za huku mitandaoni mkuu.

Tz walio connect Fibre hawafiki hata 1%ya watumiaji wa Internet uki linganisha na Kenya. Huu Mkongo wa Mawasiliano ya Taifa hautukimi ipasavyo! Hata hivi vifurushi vya Voda, Airtel, Tigo, nk wangeshusha wenyewe bila kelele. Ila wamechukulia opportunity ya mapungufu ya Wizara, TCRA na TTCL ktk kusambaza fibre ktk makazi ya watu.

Napenda kuona wakisambaza kama Maji.
Unaongea sahihi.

TTCL wamelala, hawajaamua kujibrand taarifa zisambae.

Ni kama vijana wanavyopambana kupata 'connection'.
 
Ni sawa mkuu unachoongea ila realistically fiber haitakua maeneo yote even nchi zilizoendelea maeneo ya Vijijini Adsl na satelite zinatumika sana.
Hata mjini fiber bado sana. Hata kama imesambaa, huwezi ona wametangaza watu waombe wajiunge.
 
The Cutizen: 26/9/2022.

Analysis of speedtest intelligence data to explore mobile internet performance in select East African countries. Examined operator groups - Airtel, Vodacom, MTN, and Organge.

Tanzania has performed poorly on download speed compared to other EAC member countries.

Ranking of across East African market:
Download Upload
Mbps Mbps
1. Safaricom Kenya. 36.25 13.83
2. MTN Uganda 32.71. 9.68
3. Orange DRC 29.18 7.72
4. Airtel Kenya 28.58. 8.44
5. Airtel Uganda 28.48. 14.84
6. MTN Rwanda 27.77. 4.8
7. Vodacom Tanzania 17.08 8.62
8. Airtel Rwanda 15.21. 3.02
9. Airtel Tanzania. 12.89. 9.02

Vodacom subsidiary Safaricom won the accolade in Kenya vis a vis Airtel, in Tanzania there was no clear winner as Vodacom won the download speed and Airtel the upload.
 
Kwamba Airtel wana speed kuliko Halotel 4G? Methodology za kibongo bongo bado sana
 
1. Safaricom Kenya 36.25 13.83
2. MTN Uganda 32.71 9.68
3. Orange DRC 29.18 7.72
4. Airtel Kenya 28.58 8.44
5. Airtel Uganda 28.48 14.84
6. MTN Rwanda 27.77 4.8
7. Vodacom Tanzania 17.08 8.62
8. Airtel Rwanda 15.21 3.02
9. Airtel Tanzania 12.89 9.02

kama ni ile website yaani speedtest.net si methodology nzuri maana sidhani kama watu wengi wanatumia. website kama youtube wanaweza tupa data nzuri sana.

ila 4g za voda na Halotel zipo juu sana compare na Airtel.
 
Mkuu pole na majukumu, kuna hawa watu wanaitwa gofiber naona mtaani kwetu wanaweka mabango yao kwa kasi ..vipi unaweza kunipa mbili tatu zao
 
Hao wapo muda tu, ni katika makampuni ambayo Zuku ameyafukuza mjini. Kuna kipindi wanakuwa na offer ya Installation bure. Kama huna option nyengine si wabaya fiber zote zipo vizuri Tanzania.
 
Modem za zamani hazikuwa na wifi ya kutumia wireless kwenye simu, laptop, n.k
Ulikuwa unatengeneza Ad-hoc wireless kwenye computr yako. Unanunua dongo (kifaa) unachomeka kwenye laptop au desktop au card maalum unafunga kwenye desktop PC yako.
Au unatengeneza wireless access point kwenye router yako.
 
Kwamba Airtel wana speed kuliko Halotel 4G? Methodology za kibongo bongo bado sana
Speed mara nyingi inatokana na location.

Ninapokaa mtandao pekee wenye speed nzuri ni voda na smile pekee.

Airtel na Halotel hata calls hupati.
 
Tigo hamna?

Kwenye 4G jinsi band inavyokuwa kubwa basi speed nayo inakuwa kubwa na ndio jinsi coverage inakuwa ndogo.

Halotel 4G ina speed sana, sio reliable kama voda ila kama unaipata sehemu inakimbiza, 100mbps inafika. Tatizo band yao 2600 ina coverage ndogo

Tigo mjini, voda, TTCL, Airtel wanatumia band 1800, hii ina balance baina ya coverage na speed, ndio maana ukiwa mjini Tigo inakimbiza kiaina.

Tigo nje ya jiji na smile wanatumia band 800 hii coverage yake kubwa sana ila speed ya kawaida ukiangalia hawa jamaa speed zao ikikazana sana ni 20 ama 30mbps,
 
Hao wapo muda tu, ni katika makampuni ambayo Zuku ameyafukuza mjini. Kuna kipindi wanakuwa na offer ya Installation bure. Kama huna option nyengine si wabaya fiber zote zipo vizuri Tanzania.
Asante mkuu..naona wanasogea nje ya mji kidogo
 
[mention]Chief-Mkwawa [/mention] ninayo hii, naweza itumia kwenye hiyo huduma ya TTCL kwenye internet ambayo ni copper?
IMG_3363.jpg

IMG_3364.jpg

IMG_3365.jpg

IMG_3366.jpg

IMG_3367.jpg

IMG_3368.jpg

IMG_3369.jpg
 
Tigo hamna?

Kwenye 4G jinsi band inavyokuwa kubwa basi speed nayo inakuwa kubwa na ndio jinsi coverage inakuwa ndogo.

Halotel 4G ina speed sana, sio reliable kama voda ila kama unaipata sehemu inakimbiza, 100mbps inafika. Tatizo band yao 2600 ina coverage ndogo

Tigo mjini, voda, TTCL, Airtel wanatumia band 1800, hii ina balance baina ya coverage na speed, ndio maana ukiwa mjini Tigo inakimbiza kiaina.

Tigo nje ya jiji na smile wanatumia band 800 hii coverage yake kubwa sana ila speed ya kawaida ukiangalia hawa jamaa speed zao ikikazana sana ni 20 ama 30mbps,
Tigo speed kama 3G. Just basic.
 
Assume mkuu haina lock, yes inakubali adsl

Tena router kali sana kushinda ya TTCL.

Bei gani mkuu?

Sikumbuki ni bei gani. Ilikuja kama zawadi mwaka 2015 baada ya kununua photocopy mashine kutoka eBay. Kuhusu kwamba kuwa na lock ndio sijajua. Nawezaje kuangalia kama ina lock au haina?
 
Back
Top Bottom