iPhone 12 haitokubali spare hata kutoka kwa iPhone nyingine


Mkuu kuna kitu kikubwa sana hujakielewa, yan bado unaongelea quantity kwamba iliweza kufanya hiki mara kile, issue ni kwamba baada ya iphone ya kwanza kutoka simu tech ikabadilika na kudhibitisha hili ndo tech tuliyonayo kwa sasa, hauhitaji imagination kuona , we angalia tu simu zilizopo kwa sasa zilinganishe na hizo nokia zako, na iphone ya kwanza ndo utajua kwamba tech ilibadirika kufuata upepo wa iphone. Hii ni fact si mambo ya kubishana.
Kila siku nawaambia the best tech siyo ile inaweza fanya kile au hiki, best ni inafanyaje hicho kitu . Mambo ya kukosa au kuwa na copy and paste siyo issue.

Kwa hiyo issue siyo how many task issue ni how do u do them. Iphone was revolutionary na hili jambo ukiweka ushabiki pembeni utakubaliana nalo.


Hao ni investopedia ukipata muda pitia hiyo article .
 

Why nokia and BB failed , jibu liko kwenye hii video.


Jobs was visionary si ajabu leo tumefuata muundo huu wa simu ambao ulikuwa mpya kwa wakati huo . He made things differently. Hakujaza specs alijaza features

Hiki ndo kiliua hizo cm mnazoshabikia bila kuangalia fact , angalia hii iphone ya wakati huo na angalia smartphone ya sasa utaona game lilivyochange kufuata upepo wa iphone, sasa sijui tunabishana nini hapa

View attachment 1618357
 
Iphone users ni kama wameoa mke mzuri mwenye tabia chafu
 

picha nyeupe kabisa ni hiyo.

au kwa namna nyingine labda wanataka,kuweka mazingira ya kufanya biashara nyingine inayojotegemea kupitia charger.
 
Mimi naweza kusema developers wa hiyo platform wanafanya just for fun.
 
Mkuu mimi si mtoto mdogo, i need reasons nishaona propaganda nyingi za kusifia Apple ila unaongea na mtu ambaye ameanza kumiliki simu kabla ya iphone kutoka,

Nimekuuliza maswali hujajibu hata moja. Nafafanua zaidi.

1. Ni kweli sio quantity bali price pia, kampuni ambayo ilikuwa inasifika kuuza simu za bei rahisi za 30,000 ghafla wateja wake wamechukuliwa na kampuni inayouza simu mamilioni ya Hela ina make sense kwako? Hebu tumia hata 1% ya brain,

unachoongea hapa ni kama unasema soko la machinga limeuliwa na super market za masaki na Obey ghafla watanzania hawavai mitumba na nguo za kichina bali wanavaa jeans na tshirt branded.

2. Highend za Nokia zilitumia Open source kuanzia 2004 Maemo mpaka 2011 Meego, Simu kama N9, N900, N800, N810 etc zilitumika na Mahackers mbali mbali, Watu wanaorun distro mbalimbali za Linux, watu wanaocode na mambo mengi ya super users, so unataka kuniambia hawa watu ghafla wakaacha kuwa super user na wakaenda jela ya Ios?

3. Symbian pia ilikuwa ni maarufu kwa watu wanaopenda kutumia simu kwa matumizi makubwa, kudownload movies, miziki, magame mbalimbali, emulators, kucustomize simu, themes etc mambo haya hayakuwepo iphone na huwezi ukatoka kwenye hivi vitu ukaingia jela na kuwa sawa.

Hakuna hata mmoja anaeweza kuprove iphone imeiua Nokia ni Blah blah na Propaganda za kimarekani tu.

Lete reason hapa.
 
Mimi naweza kusema developers wa hiyo platform wanafanya just for fun.
Sio for Fun nacheza Aoho ni mmorpg toka zaidi ya miaka 10 iliopita, mpaka leo ina Active user kibao, na bado wapo active kumaintain client yao. In app purchase zinalipwa kama kawaida na hela zinaingia. Sometime server moja online at same time munaweza kuwa mamia ya watu.

Simu nyingi za s60v3 zina roho ya paka, kuna custom rom za kirusi, viet etc unaweka inafix mambo mengi, watu wananunua used na kutumia.

Nimeingia mara moja unaona mitaa ilivyojaa hapo, unaona na chat walivyojaa warusi. Hio ni server ya Urusi, zipo pia za waviet na nchi nyengine za Sea kama Indonesia.

Kifupi mkuu kuna Dunia Kubwa sana Nje ya Us na Ulaya Magharibi, and trust me Huko Sea na kwengineko wana Taste tofauti kabisa.
 
Umeongelea wacheza games. Na sie tusiocheza games?
 
Ni $10Bln.

Sio $10Trl.
 
Moja ya consumer behaviour inasema kama kitu huwezi ku-afford kaa nacho mbali.

Ni sawa na watanzania wanavyokwambia usinunue Benz au Nissan kisa spare ni ghali sana.

Sawa na simu. Apple wapo kwenye luxury category. Wanajifahamu na wanafanya kile wanachotaka kwasababu wanajua wanunuzi wapo na wataendelea kuwepo.

Sisi wabongo tusijitutumue na kitu kilicho juu ya uwezo wetu. Kama huwezi afford kununua original iphone au spare parts rudi tecno.
 
Umeongelea wacheza games. Na sie tusiocheza games?
Mkuu kama mambo yakiwa hivyo ina maana siyo game tu, kila heavy task itakuwa inafanyika kwenye cloud, ikiwemo kurun heavy apps ina maana simu hata zenye features ndogo zitawez kufanya process kubwa kama kuprocess picha, kuedit vitu, na mambo mengine ambayo yalihitaji high end phones.
Nimeona hii kwa mfano, kwasasa kuna platform kibao za kutengeneza mziki za clouds. Yani badala ya kuinstall program na plugins kwenye simu wewe unarun kila kitu kwenye cloud. Huhitaji kuwa na pc powerful sana bali unahitaji uwe na internet stable tu.
 
Umeongelea wacheza games. Na sie tusiocheza games?
Chukulia mfano personal assistance kama Google now ama Siri, anaweza fanya mambo kama kukupa matokeo ya mechi, taarifa ya Hali ya hewa, kumanage vitu kama alarm, reminders na calender, na mambo mengine madogo madogo

Pia angalia siku hizi kuna progressive web apps (pwa) hizi zinakuwa ni apps zinazotokana na website, siku hizi zinatumika kama alternative nzuri kwenye social media, mfano unaweza test Pwa ya Instagram kwenye windows 10.

Hivyo unaona hapo vitu viwili tu Pwa(browser) na personal Assistant zinaweza kureplace maelfu ya Native apps.

Bado hatujafika huko ila tunaelekea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…