Ipi ni njia sahihi ya kukabiliana na ongezeko la ukahaba katika jamii?

Huyo wa kushare ni malaya sio demu, demu hana gharama at all
Wewe itakuwa bado mtoto mdogo..hata mke ndani ya ndoa anagharama sembuse demu..msijidanganye....ulizeni wenye ndoa..
Au hamfuatilii wanaopinga ndoa..kataa ndoa...??Point yao kubwa ni nini??Mwanaume anakuwa exploited wakati mke au mwanamke anakula kwa mtelezo...
Msijidanganye kupigwa vizinga na wanawake hakuepukiki..mpaka siku unaingia kaburini..ndo uanaume huo
 
Itabidi tupige sensa tuone kati ya walio kwenye mahusiano ya kudumu na wanaonunua malaya nani wanatumia gharama kubwa per month tuone
 
Tukiweza kupunguza pia ni hatua nzuri
 
Bila picha na takwimu hatuamini kama kuna ongezeko. Makahaba ni bora mara mia wawepo ila mashoga ndo iwe vita ya chini kwa chini kuhakikisha wanaisha.
 
Bila picha na takwimu hatuamini kama kuna ongezeko. Makahaba ni bora mara mia wawepo ila mashoga ndo iwe vita ya chini kwa chini kuhakikisha wanaisha.
Unaipendelea jinsia yako wewe unadhani hao makahaba wenyewe wanapenda au watu wa jinsia ke wanafurahi kuona ke wenzie wanajiuza am not sure
 
Biashara ikikosa wateja lazima ife
 
Et Demu anacost yan saiv kuingia kwenye relationship ni cost aiepukiki.we ujiulizi kwann vijana wengi wa kislamu wameoa kuliko vijana wakiristo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…