Eagle girl
JF-Expert Member
- May 1, 2024
- 299
- 462
Ni kweli Kuna muda wazazi ni muhimu sana kufwatilia mienendo ya kijana kipindi Cha ukuaji maana ni kipindi hatari sanaNi kuwa tunakwepa ukweli ila suala la maadili sio suala la hiyari ni lazima nguvu itumike
Kuna wakati kijana akiingia kwenye adolescent aga hashikiki hapa kama yupo kwenye familia legelege anapotea mazima
Kabisa changamoto ni kuwa wazazi wanalea kisasa siku izi mtoto nae ana haki zake za kujiamulia future yakeNi kweli Kuna muda wazazi ni muhimu sana kufwatilia mienendo ya kijana kipindi Cha ukuaji maana ni kipindi hatari sana
Tatizo kubwa sana maana hata serikali inaonyesha kuzidiwa na mmong'onyoko wa maadili kila kukicha yanazaliwa mapyaKabisa changamoto ni kuwa wazazi wanalea kisasa siku izi mtoto nae ana haki zake za kujiamulia future yake
Kwa hao walioharibika tayari ni serikali tu inaweza kuwarekebisha tofauti na hapo hamna mbadala addiction ni mbaya sana
ah kabisa yaani. kwanza ashukuriwe aliyekuja na dating appas kama tinder, tagged na badoo. amerahisisha ambo kinomaaaaa🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂Kijana anashindwa kuelewa namna wanatusaidia sisi wenye mdomo mzito
Ila nje ya wale wanaojianika barabarani wapo wanawake wazuri ila wana wanaume wengi nao ni kundi hilo hilo tu 😁😁
Inatokeaga kondom Zina basti Ila watu wanapeleka Moto tu.Duh mimba huyo kajitakia.
Watunge tu sheria za faragha ambazo haziumizi ila zenye lengo la kuzuia au kupunguza ukahaba,Tatizo kubwa sana maana hata serikali inaonyesha kuzidiwa na mmong'onyoko wa maadili kila kukicha yanazaliwa mapya
Umenena mkubwaWatunge tu sheria za faragha ambazo haziumizi ila zenye lengo la kuzuia au kupunguza ukahaba,
Maisha hayajawahi kuwa rahisi hata huko ughaibuni maisha yameboreshwa kwa wananchi ila ukahaba upo wa kutosha
Ukahaba ni tabia sio ugumu wa maisha, kuna njia nyingi za kupambana na maisha sio kuwa malaya
Soma kisa cha Yuda na Tamari ndani ya biblia halafu utwambie kinafundisha nini?Kumekuwepo na malalamiko miongoni mwa jinsia ya kike na ya kiume
Wanawake wanasema wanaume ndio chanzo cha ukahaba kwakuwa wao ndio wanunuzi na watumiaji wa huduma itolewayo na wauzaji(wanawake) hivyo wakiacha kununua hakutakuwa na wauzaji
Huku wanaume wakilaumu wanawake kujirahisisha na kuwa cheap na kujiuza kwa ajili ya kujikwamua kimaisha au kutimiza malengo yao.
Je? Ni ipi njia sahihi, wanawake wawezeshwe waache kujiuza au wanaume waache kununua malaya ili kupunguza ongezeko la ukahaba?
Nawasilisha
Chanzo ni Ufukara uliopitiliza na umasikini, 50% ya Wananchi wanaishi Chini ya Mstari wa umasikini unategemea nini?Familia, style za malezi au malezi kwa ujumla ndio chanzo.
Kumbe hadi Biblia hua unaipitiapitia visa vyake kweli Yesu Kristu ni Bwana na Mwokozi wako leo FaizaFoxy unaunyemelea Wokovu leo Wokovu umemtembelea nyumbani kwake, haya fumba macho nikuongoze Sala ya TobaSoma kisa cha Yuda na Tamari ndani ya biblia halafu utwambie kinafundisha nini?
Nakubaliana na wewe ila kuna nchi wananchi wake hawana umasikini kama wa kwetu lakini ukahaba upo palepaleChanzo ni Ufukara uliopitiliza na umasikini, 50% ya Wananchi wanaishi Chini ya Mstari wa umasikini unategemea nini?
Mkiacha kununua biashara itakoma according to member hapo juuKuna wengine wanauza indirect, ndio maana ni wanaume wachache sana ambao hawaja wahi kununua mwanamke, wengi kupitia mahusiano tushanunua malaya either direct or indirect.
Ubaya kuna baadhi ya wanawake wanawauzia indirect waume zao mpaka kwenye ndoa,ndio maana ndoa nyingi zikipitia changamoto za kiuchumi,ndoa inakuwa na asilimia kubwa ya kuvunjika.
Chanzo sio tabia nakupinga, chanzo cha ukahaba ni Ufukara uliopitiliza na umasikini usioshikika masikini wengi ndio makahaba huwezi kumkuta mtoto wa kibopa eti anafanya ukahaba, cha Msingi watengenezee watoto mazingira mazuri ya kutokuingia hukoWatunge tu sheria za faragha ambazo haziumizi ila zenye lengo la kuzuia au kupunguza ukahaba,
Maisha hayajawahi kuwa rahisi hata huko ughaibuni maisha yameboreshwa kwa wananchi ila ukahaba upo wa kutosha
Ukahaba ni tabia sio ugumu wa maisha, kuna njia nyingi za kupambana na maisha sio kuwa malaya
Hio biashara haiwezi kufa labda Masikini na Mafukara wote wafutwe, km hujaelewa hapo hautoweza kuelewa kamweMkiacha kununua biashara itakoma according to member hapo juu
Ni kweli ila tabia nayo inahusika mkuu kuna koo za kichaga kwa kushikana mikono wapo vizuri mtu kama hana mtaji ndugu wanatafuta namna ya kumuwezesha ila bado wengine wanatoroka makwao na kuja kudanga mjiniChanzo sio tabia nakupinga, chanzo cha ukahaba ni Ufukara uliopitiliza na umasikini usioshikika masikini wengi ndio makahaba huwezi kumkuta mtoto wa kibopa eti anafanya ukahaba, cha Msingi watengenezee watoto mazingira mazuri ya kutokuingia huko